Dunia ina Umri gani? Mabillioni, Mamillioni, Malaki au Maelfu?

hujaongea chochote kuhusu unachoamini nje ya huu ujinga wangu. karibu lakini
Kwanza naomba utoe neno kuamini... Evolution ni fact uamini usiamini bado ipo palepale... OK hata tukitumia hilo neno lako kuwa ninaamini ! Inamaana muda wote huo niliopost kuhusu evolution bado hujui ninaamini nini ?!
 
Kwanza naomba utoe neno kuamini... Evolution ni fact uamini usiamini bado ipo palepale... OK hata tukitumia hilo neno lako kuwa ninaamini ! Inamaana muda wote huo niliopost kuhusu evolution bado hujui ninaamini nini ?!
Evolution ni fact????
Unazungumzia evolution ipi, Cosmic,organic, chemical, micro, macro au steller evolution.
Naona unaleta siasa. Jitahidi kuelezea vitu vyako kwa uwazi sio ujanjaujanja kama vinakushinda unarudi vitabuni. Kwa ufupi hujaeleza chochote kuhusu kwa nini dunia iwe na miaka Billioni hizo (as a result of Cosmic evolution)
 
Tunaomba mtazamo wako acha kurukaruko na utetee hizo billioni, ndio ulete hizi changamoto nyepesi kabisa. au uwa husomi content unarukia kuandika unavyofahamu kichwani.
 
UPO SAHIHI MAANA WANADAMU KATIKA KIPINDI HIKI CHA LALA SALAMA WANAPENDA SANA KUFUATA YALE WANAYOYAONA SIO YALE WANAYOYASIKIA.HERI ANAYEPENDA KUFUATA YALE ANAYOYASIKIA MAANA IMANI CHANZO CHAKE NI KUSIKIA
 
Mada nzuri sana nimependa michango ya baadhi ya wachangiaji
 
Mkuu hapo kwenye namba sita, sayari mfano kama Jupiter bila yenyewe huenda maisha duniani yangekuwa hayapo kabisa, sayari ya Jupiter ndio inayo hold comets belt sababu ya gravity yake kubwa comets, asteroids kubwa haziwezi kufika duniani kwa kuwa Jupiter inazivuta zote chache sana zinafika duniani tena ambazo ni ndogo, mkuu hata bila mwezi duniani maisha yangekuwa utata sana majira ya mwaka yangeweza kubadilika kila baada ya masaa kadhaa hata kilimo tusingefanya, everything is there for a reason
 
mtazamo huu au nadharia hii ipo na mimi huwa siitofautishi na evolution kwa kuingizaconcepts za miaka mingi. ila ukisoma bibilia yote Mungu aliyemfunulia Musa haya ndiye aliyempa zile mbao mbili alizoziandika kwa vidole. anasisitiza aliumba kila kitu kwa siku sita na ya saba akapumzika. hizo millioni hazina biblical base
 
Msingi wa miaka 6,0000 ni ktk maandiko matakatifu! Biblia kuruani zote zinaamini ktk uumbaji! Biblia inatoa mwanga mpana zaidi kwa kutaja umri wa MTU wa kwanza duniani, wa Pili, na kuendelea! Matukio yote yanayotajwa ktk biblia likiwemo la gharika ya Wakati wa Nuhu, wanasayansi wamethibitisha kuwa ni ya kweli! Kwa MTU asiyeamini ktk uumbaji ni vema akafundishwa kwanza jinsi ambavyo Biblia ni ya kweli na isivyojipinga no contradiction in the bible!
 
Hivi bado tu hujui kwamba toka Adam hadi ulipo sasa kwa mujibu wa biblia kuna miaka elfu saba na ushee?
Elfu sita unayozungumzia sijui unaitafsiri vipi.
Siku sita za juma moja?
Miaka elfu sita ya kalenda ya kibinadamu?
Mbona vyote hivyo vishapitiliza?
Kukariri ni kuzuri na ni kubaya. Ubaya una nafasi kubwa zaidi katika kukariri kuliko uzuri.
 
Nakubaliana na wewe mkuu
 
Mbingu na nchi ni neno moja lenye kubeba vitu lukuki ndani yake!
In the beginning God created heaven and earth.
if you ponder it deep you will find God talking about the orgin and birthday of time, space and matter.
But everything in universe was created in six good days.
 
Kuna documentary inasema enzi za ice age watu wengi walitawanyika sababu bahari iligeuka na kuwa barafu,ndio sababu ya mtawanyiko huo wa watu
Hiyo point haiwezi kutumika kusema watu walitawanyika kutoka Africa kwenda kwingineko duniani pindi tuzungumziapo Evolution?
 
Tunaomba mtazamo wako acha kurukaruko na utetee hizo billioni, ndio ulete hizi changamoto nyepesi kabisa. au uwa husomi content unarukia kuandika unavyofahamu kichwani.
Mkuu unafanya jambo la ajabu kidogo.....ni vigumu kuchambua Theories zote za origin of life ndani ya uzi mmoja......Kwa nini tusingejadili moja moja?.....ni maoni yangu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…