Tetesi: Dunia inasubiri Taarifa moja tu ya kutisha kutoka Russian federation

Wewe kwa mtogole una taarifa ila Putin hana taarifa au sio.
Jf is where you can be anybody and be anywhere..
 
Mkuu unawapenda MOSSAD Sana!!!Au ndio wale mnaoamini hao Jamaa ni Taifa teule!!!?
Ndio moja ya special urgency kfk uso wa duniaa inafanya mambo hayafikiri. Moja ya kaz zao ambayo dunia nzima ina. Tishwa nayo ni ule uwezo wakufanya jambo na kamwe usijuwe wao ndio waliofanya. Pia kukaa krk nchi ambayo Palestinian wanaita ya kwao yani wanaishi na adui pia ni moja ya kazi ina wapandisha chati. Uwezo wakusikiliza maongez ya maadui pasipo kujulikana pia ni noma yani kaa mbal na mossad.
 
Tushawazoea nyie, sasa hivi kipigo kikiwakolea mnatafuta tuhabari habari twa kujifariji natwo.
Ukweli mzee baba Putin kawakamata kalio.
Saadam mlimvagaa akiwa hajarusha risasi hata moja kwa raia wake au hata kirani yake, Muamali mlimvagaa eti kisa mnalinda demockrasia, hivyo hivyo Syria, hila kusahau Afghanistan.
Sasa Putin yupo anachabanga kinana wenu makwenzi, mnaishia kubweka. Kwanini hamfanyi kama mlivyofanya Iraq, Libya, hata Syria au Afghanistan.
 
Sasa kama siri hii umeijua wewe chinga sasa anashundwaje Putin kujua? Alafu usipate shida sana Israel hawataki kujiingiza kwenye huu mgogoro sema mnamforce ajiingize tu ila hataki ata kdg.

Usitishe watu hii vita ni kati ya Russia na U.S (Ukraine)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂😂😂😂😂 I see we kijana nilikuwa nakuamini katika masuala ya Chadema na ccm lakini Sasa nimekudharau kabisa. Ujue wewe huko bush country Russia wasijue na kujipanga.
 
Bunuasi amefufuka!
 
Hizi habari za vijiwe vya kahawa huko Gongolamboto.
Huu mgogoro unazaidi ya miaka 10 kama unaufuatilia vizuri, chanzo kikubwa western wanamlalamikia Putin kustep down from President to Prime minister. Then Rais wa US wakati huo akiwa Obama wakiamini atakimbiza maana Putin is no longer in Presidential position, Obama alikwenda Moscow akiamini atakutana na Sergey Medvedev Rais wa wakati huo wa Urus, badala yake chuma PM Putin kikaomba kikutane na Obama.

Matokeo ya ziara ya Obama yakafail, moja ya vitu kama ulifuatilia ni mpango wa Nuclear ambao ulikuwepo kati ya US na Russia. Kila nchi husika na kila baada ya mwaka kuwasilisha kwa mwenzie nuclear hatarishi ili ziharibiwe, Russia ilikua inafanya peke yake huku US ikiwa inategea, miaka kadhaa ilipita bila US kuwasilisha mavitu yake.

Hao MOSAD kwa wakati huo hawakuwepo au inteligensia yao ilifail?
 
Thread 'Je, Umoja wa Ulaya (EU) walitaka kutikisa mbuyu wakajikuta wanatikisa makalio?' Je, Umoja wa Ulaya (EU) walitaka kutikisa mbuyu wakajikuta wanatikisa makalio?
 
Viongozi gani hao ! Wataje. Hao hao wanao minya democracy, kuua watu wao ndani na nje ya nchi ? They killed two families of business tycoons just yesterday! Russia under Putin has become a wholly killer nation !
Demokrasia ni mfumo wa hovyo kuwahi kutokea duniani
Hao wanaodedishwa huko abroad na RUSSIA wanatakiwa wauliwe zaidi maana niwasaliti WAKUBWA
 
Ukute upo zako nanjilinji ushashiba ming’oko huko umeamua kuja kutoa ugoro hapa nyie pro Ukraine mnazingua sana humu haha.
 
Nataka Kununua hiki kitabu mkuu....nimeipenda story yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…