Kama ni mtu anafuatilia mambo angesoma twitt ya Rais ya tanzania ya Anna M gmhira aone walivyokasirikaWewe unadhani watu lazima wafanye mivuruguvurugu ndo ujue wamekasirishwa na jambo
Watanzania siyo watu wa mivurugu lakini wakikasirshwa wanazungumza, wanasema wanatoa rai
Sasa kama wewe ni kiongozi mbabe unaweza kuamua kupuuza, lakini hii haimaanishi kuwa raia hawasemi
Huyo mama ni Mzanzibari, na kiuhalisia urais wa muungano kwa sasa ni watanzania Bara tu. Yeye ameupata kwa bahati mbaya. Hivyo ni lazima aongoze kwa maagizo ya watu wa bara, na kosa lake kubwa ni kubaki na mitume wa Magufuli kama sehemu ya kumshauri. Kwa vyovyote ni lazima wamshuritishe kutawala kwa approach za Magufuli. Hivyo huyo mama hana jinsi zaidi ya kuliridhisa kundi la Magufuli lililokuwa limefedheheka, baada ya yeye kuanza kutawala kwa kutenda haki.Wana best intelligence inayowapa up to date information ya kinachojiri.
Samia anaanza kuonekana kituko mbele ya Dunia iliyostaarabika, Sijui nani alimdanganya avunje kiapo chake cha kutenda haki bila kuonea!
Kuwa na adabu alaa!Ata bi mkubwa akienda kunya wanamcheki tu yeye anajifanya mwamba
Hoja yangu ya msingi ni kwamba, kutafuta huruma za watu wa nje badala ya kujenge hoja zitakazo fanya mkubalike kwa watanzania haitawasaidia.Wewe unadhani watu lazima wafanye mivuruguvurugu ndo ujue wamekasirishwa na jambo
Watanzania siyo watu wa mivurugu lakini wakikasirshwa wanazungumza, wanasema wanatoa rai
Sasa kama wewe ni kiongozi mbabe unaweza kuamua kupuuza, lakini hii haimaanishi kuwa raia hawasemi
Kwahiyo saivi Sukuma gang hawaisomi namba kama jinsi mlivyokuwa mnadai hapo awali?Huyo mama ni Mzanzibari, na kiuhalisia urais wa muungano kwa sasa ni watanzania Bara tu. Yeye ameupata kwa bahati mbaya. Hivyo ni lazima aongoze kwa maagizo ya watu wa bara, na kosa lake kubwa ni kubaki na mitume wa Magufuli kama sehemu ya kumshauri. Kwa vyovyote ni lazima wamshuritishe kutawala kwa approach za Magufuli. Hivyo huyo mama hana jinsi zaidi ya kuliridhisa kundi la Magufuli lililokuwa limefedheheka, baada ya yeye kuanza kutawala kwa kutenda haki.
Kikwete alisema akili ya kuambiwa changanya na yako siyo kila ushauri ni mzuri, katumia miezi minne kutengeneza jina zuri kaharibu kwa siku moja. Mfalme Sulemani aliomba hekima kwa Mwenyezi Mungu huwezi kutawala vizuri pasipo hekimaHuyo mama ni Mzanzibari, na kiuhalisia urais wa muungano kwa sasa ni watanzania Bara tu. Yeye ameupata kwa bahati mbaya. Hivyo ni lazima aongoze kwa maagizo ya watu wa bara, na kosa lake kubwa ni kubaki na mitume wa Magufuli kama sehemu ya kumshauri. Kwa vyovyote ni lazima wamshuritishe kutawala kwa approach za Magufuli. Hivyo huyo mama hana jinsi zaidi ya kuliridhisa kundi la Magufuli lililokuwa limefedheheka, baada ya yeye kuanza kutawala kwa kutenda haki.
Dhima kuu ya vyombo vya habari vya magharibi ni kueneza propaganda chafu dhidi ya mataifa ya Africa.Hivi wingereza kuna Democracy
Kwahiyo saivi Sukuma gang hawaisomi namba kama jinsi mlivyokuwa mnadai hapo awali?
Ni kweli, ila kwenye hili wako sawa. Habari ndio hiyo.Dhima kuu ya vyombo vya habari vya magharibi ni kueneza propaganda chafu dhidi ya mataifa ya Africa.
Hao ndo kusema watanzania wote? Zile comments ambazo hazifiki hata 5k zinatosha hata kuzifanya kama sample space ya idadi ya Watz waliokasirishwa? Ni twitter tu,mbona kwenye mitandao mingine Raia hawana hayo makasiriko, au wapiga kura wa mama ni watu wa twitter tu?Kama ni mtu anafuatilia mambo angesoma twitt ya Rais ya tanzania ya Anna M gmhira aone walivyokasirika
Hoja gani zisizoeleweka?Hoja yangu ya msingi ni kwamba, kutafuta huruma za watu wa nje badala ya kujenge hoja zitakazo fanya mkubalike kwa watanzania haitawasaidia.
Ile miaka mitano iliyopita pamoja na matamko mbalimbali yaliyotoka huko nje,ni kipi mlichofanikiwa?
Tatizo la nchi hii ni kuwa na vilaza wengi ukiwemo na wewe.Huyo mama ni Mzanzibari, na kiuhalisia urais wa muungano kwa sasa ni watanzania Bara tu. Yeye ameupata kwa bahati mbaya. Hivyo ni lazima aongoze kwa maagizo ya watu wa bara, na kosa lake kubwa ni kubaki na mitume wa Magufuli kama sehemu ya kumshauri. Kwa vyovyote ni lazima wamshuritishe kutawala kwa approach za Magufuli. Hivyo huyo mama hana jinsi zaidi ya kuliridhisa kundi la Magufuli lililokuwa limefedheheka, baada ya yeye kuanza kutawala kwa kutenda haki.
Sawa.Ni kweli, ila kwenye hili wako sawa. Habari ndio hiyo.
Kwani Samia asipotenda haki kwa mujibu wa kiapo alichokula wewe unafaidika na nini?Tatizo la nchi hii ni kuwa na vilaza wengi ukiwemo na wewe.
Ninachoweza kukuambia tu! Ukicheka na nyani utayavuna mabua. Ssh yupo sahihi
Tatizo la nchi hii ni kuwa na vilaza wengi ukiwemo na wewe.
Ninachoweza kukuambia tu! Ukicheka na nyani utayavuna mabua. Ssh yupo sahihi
Nafikiri hotuba ya SSH ilijieleza vya kutosha juu ya swala la katiba, yeye aliwaomba kistaarabu kabisa kuwa mmpe muda kidogo Ili amalize shughuli zinazomkabili Ili akimaliza ageukie swala la katiba.Hoja gani zisizoeleweka?
Kwani wewe hujui kuwa kufanya mikutano ya kisiasa kwa vyama vya siasa ni haki yao?
Au pia hujui umuhimu wa katiba mpya, katiba ambayo wananchi tulishiriki kutoa maoni yetu chini ya tume ya Jaji warioba, au unaridhika kwa watawala kupuuza maoni yetu?
Kwani nyinyi niliposema mtanyoa mlifaidika na nini? Yul le aliyesema hawezi kumpa muda SSH kwanini hawezi kujitia huko aliko bila SSH?Kwani Samia asipotenda haki kwa mujibu wa kiapo alichokula wewe unafaidika na nini?
Nafikiri hotuba ya SSH ilijieleza vya kutosha juu ya swala la katiba, yeye aliwaomba kistaarabu kabisa kuwa mmpe muda kidogo Ili amalize shughuli zinazomkabili Ili akimaliza ageukie swala la katiba.
Kiongozi wenu akaotisha kongamano na kumjibu kwa ngebe kuwa hawezi kumpa muda Rais,yeye kama nani? Ile miaka mitano ya JPM alikuwa wapi mbona hakuwahi kumjibu hivyo licha ya JPM kutangaza wazi kuwa hataki kusikia swala la katiba? Leo hii huyu aliekubali ndo amjibu hivyo?
Kivyovyote vile mbowe alimdharau saana SSH.