Kama ni mtu anafuatilia mambo angesoma twitt ya Rais ya tanzania ya Anna M gmhira aone walivyokasirikaWewe unadhani watu lazima wafanye mivuruguvurugu ndo ujue wamekasirishwa na jambo
Watanzania siyo watu wa mivurugu lakini wakikasirshwa wanazungumza, wanasema wanatoa rai
Sasa kama wewe ni kiongozi mbabe unaweza kuamua kupuuza, lakini hii haimaanishi kuwa raia hawasemi