Dunia yashangazwa na kubadilika ghafla kwa Rais Samia kutoka kuwa mtenda haki na kuanza uonevu

Wewe unadhani watu lazima wafanye mivuruguvurugu ndo ujue wamekasirishwa na jambo
Watanzania siyo watu wa mivurugu lakini wakikasirshwa wanazungumza, wanasema wanatoa rai
Sasa kama wewe ni kiongozi mbabe unaweza kuamua kupuuza, lakini hii haimaanishi kuwa raia hawasemi
Kama ni mtu anafuatilia mambo angesoma twitt ya Rais ya tanzania ya Anna M gmhira aone walivyokasirika
 
Wana best intelligence inayowapa up to date information ya kinachojiri.

Samia anaanza kuonekana kituko mbele ya Dunia iliyostaarabika, Sijui nani alimdanganya avunje kiapo chake cha kutenda haki bila kuonea!
Huyo mama ni Mzanzibari, na kiuhalisia urais wa muungano kwa sasa ni watanzania Bara tu. Yeye ameupata kwa bahati mbaya. Hivyo ni lazima aongoze kwa maagizo ya watu wa bara, na kosa lake kubwa ni kubaki na mitume wa Magufuli kama sehemu ya kumshauri. Kwa vyovyote ni lazima wamshuritishe kutawala kwa approach za Magufuli. Hivyo huyo mama hana jinsi zaidi ya kuliridhisa kundi la Magufuli lililokuwa limefedheheka, baada ya yeye kuanza kutawala kwa kutenda haki.
 
Wewe unadhani watu lazima wafanye mivuruguvurugu ndo ujue wamekasirishwa na jambo
Watanzania siyo watu wa mivurugu lakini wakikasirshwa wanazungumza, wanasema wanatoa rai
Sasa kama wewe ni kiongozi mbabe unaweza kuamua kupuuza, lakini hii haimaanishi kuwa raia hawasemi
Hoja yangu ya msingi ni kwamba, kutafuta huruma za watu wa nje badala ya kujenge hoja zitakazo fanya mkubalike kwa watanzania haitawasaidia.

Ile miaka mitano iliyopita pamoja na matamko mbalimbali yaliyotoka huko nje,ni kipi mlichofanikiwa?
 
Kwanza hatuna President Hassan...
Huo ni upotoshaji, tuna President Samia Suluhu Hassan...

Kingine mambo yetu watuachie wenyewe, wao wahangaike na corona yao...
 
Huyo mama ni Mzanzibari, na kiuhalisia urais wa muungano kwa sasa ni watanzania Bara tu. Yeye ameupata kwa bahati mbaya. Hivyo ni lazima aongoze kwa maagizo ya watu wa bara, na kosa lake kubwa ni kubaki na mitume wa Magufuli kama sehemu ya kumshauri. Kwa vyovyote ni lazima wamshuritishe kutawala kwa approach za Magufuli. Hivyo huyo mama hana jinsi zaidi ya kuliridhisa kundi la Magufuli lililokuwa limefedheheka, baada ya yeye kuanza kutawala kwa kutenda haki.
Kwahiyo saivi Sukuma gang hawaisomi namba kama jinsi mlivyokuwa mnadai hapo awali?
 
Huyo mama ni Mzanzibari, na kiuhalisia urais wa muungano kwa sasa ni watanzania Bara tu. Yeye ameupata kwa bahati mbaya. Hivyo ni lazima aongoze kwa maagizo ya watu wa bara, na kosa lake kubwa ni kubaki na mitume wa Magufuli kama sehemu ya kumshauri. Kwa vyovyote ni lazima wamshuritishe kutawala kwa approach za Magufuli. Hivyo huyo mama hana jinsi zaidi ya kuliridhisa kundi la Magufuli lililokuwa limefedheheka, baada ya yeye kuanza kutawala kwa kutenda haki.
Kikwete alisema akili ya kuambiwa changanya na yako siyo kila ushauri ni mzuri, katumia miezi minne kutengeneza jina zuri kaharibu kwa siku moja. Mfalme Sulemani aliomba hekima kwa Mwenyezi Mungu huwezi kutawala vizuri pasipo hekima
 
Tulibug 2015..na Sasa makosa yanaendelea..kweli sie wa kuongezwa 2500 miaka yote hiyo ..mungu akatende miujiza tu..mana sion umuhimu wa kiongoz
 
Kama ni mtu anafuatilia mambo angesoma twitt ya Rais ya tanzania ya Anna M gmhira aone walivyokasirika
Hao ndo kusema watanzania wote? Zile comments ambazo hazifiki hata 5k zinatosha hata kuzifanya kama sample space ya idadi ya Watz waliokasirishwa? Ni twitter tu,mbona kwenye mitandao mingine Raia hawana hayo makasiriko, au wapiga kura wa mama ni watu wa twitter tu?

Huku mtaani mambo ni shwari na Lila kitu kinaendelea kama kawaida, Lissu aliitisha maandamano kupitia twitter nani alijitokeza?
 
Hoja yangu ya msingi ni kwamba, kutafuta huruma za watu wa nje badala ya kujenge hoja zitakazo fanya mkubalike kwa watanzania haitawasaidia.

Ile miaka mitano iliyopita pamoja na matamko mbalimbali yaliyotoka huko nje,ni kipi mlichofanikiwa?
Hoja gani zisizoeleweka?

Kwani wewe hujui kuwa kufanya mikutano ya kisiasa kwa vyama vya siasa ni haki yao?

Au pia hujui umuhimu wa katiba mpya, katiba ambayo wananchi tulishiriki kutoa maoni yetu chini ya tume ya Jaji warioba, au unaridhika kwa watawala kupuuza maoni yetu?
 
Huyo mama ni Mzanzibari, na kiuhalisia urais wa muungano kwa sasa ni watanzania Bara tu. Yeye ameupata kwa bahati mbaya. Hivyo ni lazima aongoze kwa maagizo ya watu wa bara, na kosa lake kubwa ni kubaki na mitume wa Magufuli kama sehemu ya kumshauri. Kwa vyovyote ni lazima wamshuritishe kutawala kwa approach za Magufuli. Hivyo huyo mama hana jinsi zaidi ya kuliridhisa kundi la Magufuli lililokuwa limefedheheka, baada ya yeye kuanza kutawala kwa kutenda haki.
Tatizo la nchi hii ni kuwa na vilaza wengi ukiwemo na wewe.

Ninachoweza kukuambia tu! Ukicheka na nyani utayavuna mabua. Ssh yupo sahihi
 
Hicho nilichokisema kiko hivyo hivyo, mama wa kambo hana jinsi zaidi kutawala kwa minajili ya kuwaridhisha sukuma Gang. Hutaki saga chupa umeze.
 
Hoja gani zisizoeleweka?

Kwani wewe hujui kuwa kufanya mikutano ya kisiasa kwa vyama vya siasa ni haki yao?

Au pia hujui umuhimu wa katiba mpya, katiba ambayo wananchi tulishiriki kutoa maoni yetu chini ya tume ya Jaji warioba, au unaridhika kwa watawala kupuuza maoni yetu?
Nafikiri hotuba ya SSH ilijieleza vya kutosha juu ya swala la katiba, yeye aliwaomba kistaarabu kabisa kuwa mmpe muda kidogo Ili amalize shughuli zinazomkabili Ili akimaliza ageukie swala la katiba.
Kiongozi wenu akaotisha kongamano na kumjibu kwa ngebe kuwa hawezi kumpa muda Rais,yeye kama nani? Ile miaka mitano ya JPM alikuwa wapi mbona hakuwahi kumjibu hivyo licha ya JPM kutangaza wazi kuwa hataki kusikia swala la katiba? Leo hii huyu aliekubali ndo amjibu hivyo?

Kivyovyote vile mbowe alimdharau saana SSH.
 
Naona wewe una mentality ya kwamba raisi wa Tanzania ni mfalme kiasi kwamba inabidi "aombwe" jambo hata kama ni haki yako
Kuitisha kongamano kuna kosa gani la kisheria?
JPM alikuwa katili na Muuaji, si lazima na Samia naye aaende katika njia hizohizo!
Unasema ampe rais muda, ampe muda mpaka lini?, Tangu lini kazi ya kujenga uchumi ikawa na mwisho?
 
Back
Top Bottom