Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Uko uchi peke yako!Nimegundua hawa jamaa wanaelewa kila kitu kinachoendelea nchi hii.
Ukiacha hili la Mbowe,huyo Prof. anajua mpaka habari ya hizi tozo za laini za simu na wanasema kabisa ni za kututia watanzania umasikini.
Tuko uchi!
Uko uchi peke yako!Nimegundua hawa jamaa wanaelewa kila kitu kinachoendelea nchi hii.
Ukiacha hili la Mbowe,huyo Prof. anajua mpaka habari ya hizi tozo za laini za simu na wanasema kabisa ni za kututia watanzania umasikini.
Tuko uchi!
Lakini hizo ngebe za Mbowe hatukuziona wakati wa JPM,au unataka kusema swala la katiba ndo limeanza hivi karibuni baada ya SSH kushika hatamu?Naona wewe una mentality ya kwamba raisi wa Tanzania ni mfalme kiasi kwamba inabidi "aombwe" jambo hata kama ni haki yako
Kuitisha kongamano kuna kosa gani la kisheria?
JPM alikuwa katili na Muuaji, si lazima na Samia naye aaende katika njia hizohizo!
Unasema ampe rais muda, ampe muda mpaka lini?, Tangu lini kazi ya kujenga uchumi ikawa na mwisho?
Kunyoa ni lugha ya picha wewe, ni lugha ya kawaida sana, ni tamathali ya semi ya kawaida. Jifunzeni lugha ya kiswahiliKwani nyinyi niliposema mtanyoa mlifaidika na nini? Yul le aliyesema hawezi kumpa muda SSH kwanini hawezi kujitia huko aliko bila SSH?
Best intelligence mavi ya kuku?? Hayo mambo hata gilly bony TV wanaweza kuripoti. Hahaahahaha! Suala la tozo hata viji TV vya ndani ndani huko Sudan ya kusini vinaweza kuripoti.Wana best intelligence inayowapa up to date information ya kinachojiri.
Samia anaanza kuonekana kituko mbele ya Dunia iliyostaarabika, Sijui nani alimdanganya avunje kiapo chake cha kutenda haki bila kuonea!
Haikuwa lugha sahihi, ilotolewa mahali sahihi na wakati sahihi.Kunyoa ni lugha ya picha wewe, ni lugha ya kawaida sana, ni tamathali ya semi ya kawaida. Jifunzeni lugha ya kiswahili
kwani CCM kwenye wimbo wao wa kampeni wa mwaka 2015, walipokuwa wanasema wembe ni uleule walikuwa wanataka kumyoa ni nani?
Mama Samia ni rais na nusu mzee.She is Magufuli wannabe!
Ndiyo maana mtaani raia hawamuelewi kabisa na hizi series za makosa yake anayoyafanya.
Na Sisi wananchi tunamuachia Mbowe balaa lake apambane nalo mwenyewe.Samia hajabadilika,Kaacha utawala wa sheria uganye kaZi yake... Kaacha mahakama na polisi na usalama kufanya kaZi
Kelsi ikiisha ataheshimu maamuzi, Ndicho tulichokua tunataka... Sasa akiingilia Leo kesho la polisi tutakua tunamsaidia?
Inakua vipi Leo chadema mnataka Samia aingilie mahakama? Tulieni, kama ya mdudr au kesi nyingine maamuzi yatatoka
Pia mbowe asome alama za nyakati - sio kila publicity inamjenga, this one imemchonganishaa zaidi na wananchi wa kawaida... The drama he created was unnecessary
hahahahahhahaha nimecheka kama mjingazile balozi pale Masaki, Upanga sio Club za muziki
Mtaishia kusema tu, sisi tunasonga mbeleMama samia,kasimu majaliwa,hii nchi itawashinda mmeshatia doa kuna wahuni watawaharibia vibaya na tutaishia pabaya ....rekebisheni hizi vitu mapema
Bora hata wimbo wa CCM umekuacha na swali la kujiuliza kwamba walipanga kumnyoa nani?Kunyoa ni lugha ya picha wewe, ni lugha ya kawaida sana, ni tamathali ya semi ya kawaida. Jifunzeni lugha ya kiswahili
kwani CCM kwenye wimbo wao wa kampeni wa mwaka 2015, walipokuwa wanasema wembe ni uleule walikuwa wanataka kumyoa ni nani?
Wana best intelligence inayowapa up to date information ya kinachojiri.
Samia anaanza kuonekana kituko mbele ya Dunia iliyostaarabika, Sijui nani alimdanganya avunje kiapo chake cha kutenda haki bila kuonea!
Huyo Bwana ni yule uliyembeza wakati Magu anasema tuombe kwa ajili ya corona?Na bado Kama ataona na kushutuka na kubaki kumbatia ushauri mbovu, makubwa yanakuja juu yao asema BWANA,
Tunasema wanabeza ngoja tuone ,twende tu
Hawa ni losers!Kunya anye kuku, akinya bata kaharisha. Wakati Sabaya anakamatwa Mbowe na genge lake walishangilia sana na kumuona mama kuwa ni mtoa haki pekee ambae hajawahi kupatikana toka dunia iumbwe, leo imekuwa zamu ya Mbowe watu waliomsifu mama wanaanza tena kumeza matapishi yao kwa kugeuza sifa zake kuwa matusi. Lkn hili wenye akili hatushangai maana ni kawaida upinzani kubadilika badilika, leo lowasa fisadi, kesho lowasa sio fisadi, leo kikwete dhaifu kesho kikwete ni raisi bora na magufuli ni dikteta, leo mama anaupiga mwingi, kesho mama ni katili zaidi ya ukatili wa magufuli nk.
Andika hivi - Haki hamna kabisahaki amna kabisa
Wabongo ndo mnapenda kukuza mambo kipuuzi tu,kupeleka habari nje kwa watu wasiotuhusu na kukuza maneno vijiweni na mitandaoniView attachment 1865155
View attachment 1865208
Hao ni CNN
View attachment 1865476
Na hao ni Aljazeera
Huwezi kuelewa maumivu ya serikali onevu mpaka yakukuteWabongo ndo mnapenda kukuza mambo kipuuzi tu,kupeleka habari nje kwa watu wasiotuhusu na kukuza maneno vijiweni na mitandaoni
Mpagani utamjua tu , ila hulitaja jina lile nyakati ngum kwao , na za mwisho kwaoHuyo Bwana ni yule uliyembeza wakati Magu anasema tuombe kwa ajili ya corona?
Bora wangeandamana na kupendekeza solution ya tozo (kitu ambacho upunzani ilikua mzuri Sana kwenye kutoa alternative budgets and solutions enzi zile) kuliko hii ya sasaNa Sisi wananchi tunamuachia Mbowe balaa lake apambane nalo mwenyewe.
Naskia mtu wa Ubelgiji alisema tuandamane?? Aje yeye aandamane huku nyambaf