Dunia yashangazwa na kubadilika ghafla kwa Rais Samia kutoka kuwa mtenda haki na kuanza uonevu

Dunia yashangazwa na kubadilika ghafla kwa Rais Samia kutoka kuwa mtenda haki na kuanza uonevu

Nimegundua hawa jamaa wanaelewa kila kitu kinachoendelea nchi hii.

Ukiacha hili la Mbowe,huyo Prof. anajua mpaka habari ya hizi tozo za laini za simu na wanasema kabisa ni za kututia watanzania umasikini.

Tuko uchi!
Uko uchi peke yako!

Hivyo ni vitu vya kawaida ambavyo mtu yoyote angeweza kuvijua. They only know what the government had decided to let them know.

Kama wanajua kila kitu basi wangewaonya nyinyi vibaraka wao kwamba Mbowe hatoboi juzi hivyo asitokee
 
Naona wewe una mentality ya kwamba raisi wa Tanzania ni mfalme kiasi kwamba inabidi "aombwe" jambo hata kama ni haki yako
Kuitisha kongamano kuna kosa gani la kisheria?
JPM alikuwa katili na Muuaji, si lazima na Samia naye aaende katika njia hizohizo!
Unasema ampe rais muda, ampe muda mpaka lini?, Tangu lini kazi ya kujenga uchumi ikawa na mwisho?
Lakini hizo ngebe za Mbowe hatukuziona wakati wa JPM,au unataka kusema swala la katiba ndo limeanza hivi karibuni baada ya SSH kushika hatamu?

Kwa mtu yeyote mwenye akili atangundua kwamba,CDM walitaka kujaribu kina cha maji.SSH amewajibu vyema kama mnavyostahili.
 
Kwani nyinyi niliposema mtanyoa mlifaidika na nini? Yul le aliyesema hawezi kumpa muda SSH kwanini hawezi kujitia huko aliko bila SSH?
Kunyoa ni lugha ya picha wewe, ni lugha ya kawaida sana, ni tamathali ya semi ya kawaida. Jifunzeni lugha ya kiswahili
kwani CCM kwenye wimbo wao wa kampeni wa mwaka 2015, walipokuwa wanasema wembe ni uleule walikuwa wanataka kumyoa ni nani?
 
Wana best intelligence inayowapa up to date information ya kinachojiri.

Samia anaanza kuonekana kituko mbele ya Dunia iliyostaarabika, Sijui nani alimdanganya avunje kiapo chake cha kutenda haki bila kuonea!
Best intelligence mavi ya kuku?? Hayo mambo hata gilly bony TV wanaweza kuripoti. Hahaahahaha! Suala la tozo hata viji TV vya ndani ndani huko Sudan ya kusini vinaweza kuripoti.

CCM imeendelea na itaendelea kuzalisha viongozi Bora na wazalendo for many years to come, na vibaraka wa wazungu ndani ya nchi yetu hawana nafasi
 
Kunyoa ni lugha ya picha wewe, ni lugha ya kawaida sana, ni tamathali ya semi ya kawaida. Jifunzeni lugha ya kiswahili
kwani CCM kwenye wimbo wao wa kampeni wa mwaka 2015, walipokuwa wanasema wembe ni uleule walikuwa wanataka kumyoa ni nani?
Haikuwa lugha sahihi, ilotolewa mahali sahihi na wakati sahihi.

"Mwambieni huyo mama yenu,wembe niliotumia kumnyolea mtangulizi wake,ndio huohuo nitaitumia kumnyoa akileta dharau"- Mdude Nyangali.

Pia kiusalama hiyo ni lugha ya kigaidi, ya kutishia usalama wa raisi na yenye kuleta hofu.

Chadema anzeni kufikiria kufanya tathmini juu ya wanasiasa wenu.

Wengi wa wanasiasa wenu wakiongozwa na Mbowe hawafahamu kutumia lugha za kisiasa.

Pia hawafahamu namna ya kusoma alama za nyakati.
 
She is Magufuli wannabe!

Ndiyo maana mtaani raia hawamuelewi kabisa na hizi series za makosa yake anayoyafanya.
Mama Samia ni rais na nusu mzee.

In a very short period of time ameweza ku-cement jina lake na kuunyesha ulimwengu kwamba amani ya Tanzania yetu haiwezi kuchezewa.

Alitoa onyo moja tu kuhusu chokochoko zenu, na sasa mnalialia tu
 
Samia hajabadilika,Kaacha utawala wa sheria uganye kaZi yake... Kaacha mahakama na polisi na usalama kufanya kaZi

Kelsi ikiisha ataheshimu maamuzi, Ndicho tulichokua tunataka... Sasa akiingilia Leo kesho la polisi tutakua tunamsaidia?

Inakua vipi Leo chadema mnataka Samia aingilie mahakama? Tulieni, kama ya mdudr au kesi nyingine maamuzi yatatoka

Pia mbowe asome alama za nyakati - sio kila publicity inamjenga, this one imemchonganishaa zaidi na wananchi wa kawaida... The drama he created was unnecessary
Na Sisi wananchi tunamuachia Mbowe balaa lake apambane nalo mwenyewe.

Naskia mtu wa Ubelgiji alisema tuandamane?? Aje yeye aandamane huku nyambaf
 
Kunyoa ni lugha ya picha wewe, ni lugha ya kawaida sana, ni tamathali ya semi ya kawaida. Jifunzeni lugha ya kiswahili
kwani CCM kwenye wimbo wao wa kampeni wa mwaka 2015, walipokuwa wanasema wembe ni uleule walikuwa wanataka kumyoa ni nani?
Bora hata wimbo wa CCM umekuacha na swali la kujiuliza kwamba walipanga kumnyoa nani?

Rudi kwenye kauli ya CDM sasa "Mwambieni huyo mama yenu,wembe niliotumia kumnyolea mtangulizi wake,ndio huohuo nitaitumia kumnyoa akileta dharau"

Mpaka hapo utajua kabisa kuwa mlengwa ni SSH, na kimsingi hiyo ni kauli hatishi kwa usalama wa Rais (kauli ya kigaidi) na kwakua Mbowe hakuonekana kuikemea,ni wazi kuwa kijana aliyezungumza vile alikuwa na baraka zote za chama.

Watusaidie sasa kujua aliyepita walimnyoaje , na huyu aliyepo watamnyoaje?
 
Na bado Kama hataona na kushutuka na kubaki kumbatia ushauri mbovu, makubwa yanakuja juu yao asema BWANA,

Tunasema wanabeza ngoja tuone ,twende tu
Wana best intelligence inayowapa up to date information ya kinachojiri.

Samia anaanza kuonekana kituko mbele ya Dunia iliyostaarabika, Sijui nani alimdanganya avunje kiapo chake cha kutenda haki bila kuonea!
 
Kunya anye kuku, akinya bata kaharisha. Wakati Sabaya anakamatwa Mbowe na genge lake walishangilia sana na kumuona mama kuwa ni mtoa haki pekee ambae hajawahi kupatikana toka dunia iumbwe, leo imekuwa zamu ya Mbowe watu waliomsifu mama wanaanza tena kumeza matapishi yao kwa kugeuza sifa zake kuwa matusi. Lkn hili wenye akili hatushangai maana ni kawaida upinzani kubadilika badilika, leo lowasa fisadi, kesho lowasa sio fisadi, leo kikwete dhaifu kesho kikwete ni raisi bora na magufuli ni dikteta, leo mama anaupiga mwingi, kesho mama ni katili zaidi ya ukatili wa magufuli nk.
Hawa ni losers!

Hawatushangazi. Na Mama ameshawajua.

Serikali itakula nao sahani moja
 
Na Sisi wananchi tunamuachia Mbowe balaa lake apambane nalo mwenyewe.

Naskia mtu wa Ubelgiji alisema tuandamane?? Aje yeye aandamane huku nyambaf
Bora wangeandamana na kupendekeza solution ya tozo (kitu ambacho upunzani ilikua mzuri Sana kwenye kutoa alternative budgets and solutions enzi zile) kuliko hii ya sasa
 
ChADeMa wanapenda drama,hawana tofauti na mke mpenda sifa, Kila siku anaanzisha ugomvi ndani, akila kichapo kelele zake mtaa mzima watajua na siku zote atakusema vibaya
 
Back
Top Bottom