Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Uko uchi peke yako!Nimegundua hawa jamaa wanaelewa kila kitu kinachoendelea nchi hii.
Ukiacha hili la Mbowe,huyo Prof. anajua mpaka habari ya hizi tozo za laini za simu na wanasema kabisa ni za kututia watanzania umasikini.
Tuko uchi!
Hivyo ni vitu vya kawaida ambavyo mtu yoyote angeweza kuvijua. They only know what the government had decided to let them know.
Kama wanajua kila kitu basi wangewaonya nyinyi vibaraka wao kwamba Mbowe hatoboi juzi hivyo asitokee