Dunian sijawai kuona mji wa kipuuzi Kama Phuket unazunguka hotel zaidi ya 200 zote full?

Wassira ndio makamu mwenyekiti wako wa Ccm.
 
Uzi wako kidogo ufanane na week hii ya raia wasiyo na issue na mkutano wa CCM pale Dodoma kukosa Lodges na Hotels πŸ˜‚!
 
Mkuu, kitabu unawaandikia Watanzania wenzio, kwanini kiwe cha Kingereza?
 
Sasa kama mna pesa za kuzunguka dunia nzima na kuna watu wameshindwa kuendelea na masomo kutokana na ada, kuna watoto ni yatima wanakosa hela ya mavazi, malazi nq chakula.

Na imani utasema umepambana mwenyewe, Ila ninachojua kila mtu amewezeshwa, Mkoloni alisomesha watu, Watu wakasomesha watu ukawa ni mwendelezo. Ila kuna familia zingine zilikosa hiyo bahati.

Lakini kama nyie ndo watu mnaojidai kumwabudu Mungu ili kutoa support hamuwezi, Basi nimeamini huyo Mungu mnamwabudu kinafiki.

Nachukia nyuzi za sifa wakati kuna watu wana mahitaji.

Mungu kama kweli upo basi leta hata TSUNAMI ili wote tumezwe, Hii dunia imejaa unafiki.πŸ™
 
Acha uzwazwa, pesa ya mtu kaitafuta kwa jasho lake na akili zake wewe unampangia matumizi? Hao yatima kawalishe wewe na kuwasomesha wewe
 
Acha uhaya wa kijinga jamaa
 
Hicho kitabu hadhila wakuu ni watz au wazungu? Maana ni cha kiingereza.
 
Aiseeee...utasumbuka sana kama una mentality hiyo..nature haitaki watu wakujilalamisha namna yako!pambana tu
 
Nchi 125 au ww n baharia???...Ngoja nianze na Dubai this year nisije kufa bila kutoka Bongo
 
Kumbe ma dom kulikuwa na issues
Ahahahaaaa, nchi yote ilihamia Dodoma, kama ulifika one/two week before and for 18/1/25 unaondolewa lodge/hotel kwa kuambiwa waheshimiwa waliweka booking one month before, 😒 πŸ˜‚!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…