Sasa kama mna pesa za kuzunguka dunia nzima na kuna watu wameshindwa kuendelea na masomo kutokana na ada, kuna watoto ni yatima wanakosa hela ya mavazi, malazi nq chakula.
Na imani utasema umepambana mwenyewe, Ila ninachojua kila mtu amewezeshwa, Mkoloni alisomesha watu, Watu wakasomesha watu ukawa ni mwendelezo. Ila kuna familia zingine zilikosa hiyo bahati.
Lakini kama nyie ndo watu mnaojidai kumwabudu Mungu ili kutoa support hamuwezi, Basi nimeamini huyo Mungu mnamwabudu kinafiki.
Nachukia nyuzi za sifa wakati kuna watu wana mahitaji.
Mungu kama kweli upo basi leta hata TSUNAMI ili wote tumezwe, Hii dunia imejaa unafiki.🙏