Dunian sijawai kuona mji wa kipuuzi Kama Phuket unazunguka hotel zaidi ya 200 zote full?

Jitafute braza, hakuna mtu anatafuta kwa ajili yako.
Ni aibu kwa mwanaume kulilia misaada toka kwa wanaume wengine.

Nani kakwambia kila mtu anamuamini Mungu kama wewe?? Nani kasema watu hawasaidii??

Leta nyuzi zako za kusaidia watu ili uinspire wengine sio lawama, alaaa.

Hebu muheshimu babu britanicca
 
No siteki audience tu! I mean it
Itamsaidiaje raia ya kawaida Kama sio kuchukua shilingi zake kadhaa, kwani wewe kutembea huko ulisoma kitabu gani.
Yaani unataka ufanye wengine wasafiri kwa kusoma kweli. Bora uweke YouTube uwe YouTuber you'll be paid by number of viewers
 

Tatizo mnaenda ugenini mkisha pigwa tukio ndio mnakuja huku kulalamika
Kwa nini usiulize kabla ya kwenda, upewe michongo?
Mfano wa hoteli za bei poa hapo Patong;
Phuket Inn Patong $60 hii naipenda
Sea Front Home $60
Pimrada Hotel $55
At Home Patong $40
Hata hivyo kale kamji ni kadogo/ka kawaida saana sidhani kama kuna hotel 100 pale; labda kama unahesabu na guest house
 
Boss Phuket wamasema
Kwamba ni majira ya high season muda huu
 
Boss Phuket wamasema
Kwamba ni majira ya high season muda huu

Kiongozi, hizo bei nimekupa hata ukitaka kubook leo unapata.....
Siku nyingne unabook na kulipia kabla ya kwenda. Biashara ya kwenda kutafuta Hoteli ukifika hiyo inafanyika huku Africa tena kwa Nchi masikini.
Ukienda tu hapo kwa mandela, Misri, Nigeria nk bila booking utapigwa
 
Wanasema January na December ni higher season Ona hapa

Hiyo ni one day na angalia wanaweka kwa thai baht

Na one baht ni 89 Tzsh now zidisha
 
Dadeq mbona akili finyu wewe!!

Hakuna aliyejitafuta mwenyewe tunategemeana sawa.

We unadhani Mkoloni angekuwa mchoyo wa maarifa sahivi ungekuwa kijijini kwenu NYAKABONGO unachunga ng'ombe. Acha ubinafsi
 
Dadeq mbona akili finyu wewe!!

Hakuna aliyejitafuta mwenyewe tunategemeana sawa.

We unadhani Mkoloni angekuwa mchoyo wa maarifa sahivi ungekuwa kijijini kwenu NYAKABONGO unachunga ng'ombe. Acha ubinafsi
Kutegemeana ni wewe unampa nini na yeye anakupa nini. Mkoloni alikupa elimu ili utawale wenzio na iwe rahisi kwake kutawala.

Sasa wewe ukae zako huko mbwinde utake watu waache kuenjoy waje wakusaidie wewe chauvivu, wakati wenzio wanatafuta hizo hela za kukwea pipa wewe ulikua wapi??
 
Ni halali maana unaonekana ni mji wa kitalii, nilienda Zanzibar guest house zote zilikuwa full ad tulipotoka nje ya mji ndo tulipata
 
Nakisubiri nisome maana hata hapo Kenya tu sijawahi fika 😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…