Duniani kote usafiri wa reli ndiyo rahisi kuliko wote. SGR tulitegemea kuwa kiama cha usafiri wa mabasi na malori, imeshindikana

Kweli kabisa !!
 
Sio kuwa watapinga bali wataelekezana nyinyi fanyeni hiki sisi tunafanya hiki kumbuka wanafanya kwa team work kila fisadi anaplay part yake mwisho wa siku mfumo kamili wa ufisadi unakuwa operational.

Juzi Dr Bashiru amesema katika uchaguzi uliomalizika wa CCM mafisadi walikuwa wanasimika wawakilishi wao NEC na alisemq wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa.
 
Leo Dr Akili umeamkaje..?

Yaani umetoa hoja mujarabu mpaka nimekupa "like✓"

Yes. Nakubaliana na wewe. Na hili na TRC kupanga nauli hizi limemshangaza kila mtu kiasi cha kuondoa maana kabisa ya ujenzi wa reli ya SGR. Hata kwenye ile reli ya MGR nauli hazikuwa ghali kiasi hiki...

Mimi naanza kupata shaka hata unafuu wa umeme tunaoambiwa kuwa utapatikana baada ya ujenzi wa bwawa la umeme la Stiglers George...

Tusije kushangaa umeme huo ukaja kuwa ghali zaidi ya huu wa sasa..!!
 
Tusije kushangaa umeme huo ukaja kuwa ghali zaidi ya huu wa sasa..!!
Lazima itakuwa hivyo. Tayari wakina Maharage walishaanza harakati ya kuuweka kwenye private public partnership!! Hata huu unaopatikana kwa kuchoma migesi walishapendekeza huko ewura uongezwe bei mara dufu kama tunataka waache hii katakata yao.
 
Bora umemjibu huyu ndezi......
 
Africa wasomi ndio wasio na elimu
 
So far so good, SGR popote duniani ni almost 3/4 ya tiketi ya ndege ila sio SGR ya kusimama simama kila mahali .

Pili SGR ya kusimama kila mahali bei ni bei ni ndogo zaidi
 
Hata mimi niliwaza kama wewe, ila tuseme tu timu yetu haina bahati katika haya mashindano. Maana hii game tulikuwa tunashinda kabisa ila ndiyo hivyo tena, kipa wetu nambari moja tuliyemtegemea alipewa kadi nyekundu. Hakika wenye mapenzi na timu yetu tulihuzunika sana.
Niwie radhi kwa kuandika maoni ambayo hayahusiani na mada uliyoandika

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Umeme lazima uwe ghali zaidi ili kuoffset artificial costs zinazosababishwa na ufisadi ambao bado unaendelea kutendwa TANESCO.
 
So far so good, SGR popote duniani ni almost 3/4 ya tiketi ya ndege ila sio SGR ya kusikama kila mahali .
Pili SGR ya kusimama kila mahali bei ni bei ni ndogo zaidi
Wanalinganisha hii ngarangara yao na high speed train zinazo operate kati ya majiji makubwa ya nchi zilizoendelea zinazokwenda zaidi ya 300km/hr, halafu wanafananisha uchumi wa hizo nchi na huu uchumi wa matango wa hapa bongolala ambapo nauli ya jero tu ni mtihani kwa wanyonge, mambo mengine ni vichekesho hata kuyalinganisha..........ni sawasawa na umweke mandonga ulingoni na Tyson.​
 
Mshamba wewe usiyesafiti.
Nchi gani usafiri wa reli ni rahisi kuliko basi.
Kwa taarifa yako bus transport ndiyo cheapest and slowest.
Nenda Japan uone Shinkansen inavyo paa at 300km/hr kama ndege halafu ulinganishe na bus kati ya Tokyo na Osaka.
Shinkansen! Umenikumbusha mbali kweli.
 
Ni kweli, hujawa nje ya mada. Kipa wetu tuliye mtegemea alikuwa anaitwa Kadogosa. Tulitamani stesheni ya SGR ya Dodoma au mojawapo ya mahandaki ya SGR iitwe Kadogosa SGR station au Kadogosa Tunnel! Dakika za mwisho kaachia goli la Mafisadi Team kwa makusudi. Tunahisi labda atakuwa kapewa mchongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…