mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Wilayani na Nchi jirani !Ma Bus Yao wapeleke wapi??.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wilayani na Nchi jirani !Ma Bus Yao wapeleke wapi??.
Kweli kabisa !!Vya dezo kwa lipi? Kwani hiyo SGR na hizo treni zimegharimiwa na nani?
Kwa taarifa yako huo mradi ni wa wananchi wote wa Tanzania. Wao ndiyo wameugharimikia na wataendelea kuugharimia kupitia kodi zao. Si mali ya hao wajanja wachache pekee yao. Wananchi ndiyo wenye mamlaka ya kupanga hiyo nauli ya treni yao na siyo hao akina Kadogosa, Mbawala na wafanya biashara za mabasi na malori.
Sio kuwa watapinga bali wataelekezana nyinyi fanyeni hiki sisi tunafanya hiki kumbuka wanafanya kwa team work kila fisadi anaplay part yake mwisho wa siku mfumo kamili wa ufisadi unakuwa operational.Hanapelekwa DRC ambayo ni nchi kubwa na tajiri kuliko nchi zote za Afrika. Ila utajiri wake unaporwa na mataifa mbalimbali ya dunia hii hadi nchi ya Rwanda, wamebaki wakipigana wenyewe kwa wenyewe! Tunataka Kigoma iwe kama Dubai, kijografia iko kwenye strategic location. Hizi treni za kisasa zingaliwezesha hili. Hii ni vita ya kiuchumi. Mabepari wenye mabasi na malori kama wewe lazima watapinga hili.
Leo Dr Akili umeamkaje..?Duniani kote usafiri wa reli ndiyo usafiri wa bei rahisi sana kuliko usafiri mwingine wowote. Malengo makuu ya kuboresha usafiri huu kwa kiwango cha SGR yalikuwa:
~Trip moja ya treni ya mizigo ingaliweza kusafirisha mzigo wa sawa na semi-trailers za malori 500 kwa mara moja, kwa spidi ya 120 kph na kwa bei ya sawa na bure ukilinganisha na malori.
Yaani mzigo wa ukubwa huo wa semi trailer 500 ungeweza kuondolewa kutoka bandari yetu ya Dar es Salaam kila siku na kufikishwa Mwanza au Kigoma ndani ya masaa 10 au 12 tu. Hakungalikuwa tena na mrundikano wa mizigo pale bandari ya Dar es Salaam.
Hata hizo bandari kavu zilizoko mkoa wa Dar es Salaam zingalikosa kazi. Bandari kavu zingalijengwa Mwanza na Kigoma. Uchumi wa nchi ungepaa kwa kasi kubwa na ndani ya muda mfupi tungeifikia Singapore ambayo uchumi wake unategemea bandari tu.
Barabara zetu zingalidumu zaidi kwani usafiri wa malori unalifikia kiama chake. Hata hizo ajali lukuki za barabarani zinazosababishwa na malori haya katika njia hizi kuu zingalifikia tamati. Traffic police wetu wangetafutiwa kazi zingine.
~ Hivyo ndivyo ingalikuwa kwa usafirishaji wa abiria. Trip moja ya passenger train yenye urefu wa si chini ya kilomita 3 ingalikuwa sawa na mabasi yasiyopungua 500 na wangalisafirishwa kwa raha kwa spidi ya 170 kph.
Yaani kutoka Dar es Salaam hadi Mwanza au Kigoma ni mwendo wa saa 7 tu, kwa bei ya chee ukilinganisha na mabasi ambayo nayo yalikuwa yafikie kiama chake kwa njia hizi kuu za uchumi wa nchi na kuokoa uharibifu wa barabara zetu na ajali lukuki za barabarani. Uchumi wa nchi ungalipaa na wananchi wangalipata furaha.
Bahati mbaya kabisa matarajio hayo ya wananchi yameshindikana kufikiwa. TRC imepanga nauli za train hizo za spidi kubwa kuwa mara tatu ya bei za usafiri wa mabasi. Kwa sasa mtu anasafiri kwa basi kutoka Dar es Salaam hadi Mwanza kwa nauli ya Sh 55,000 hadi 65,000.
Hii ni nauli ya kupanda kwa mafuta kwa sababu ya Ukraine. Kabla ya hapo ilikuwa Shs 35,000 hadi 45,000 na tunategemea hiyo Ukraine itakapokwisha bei hizi zitarejea. Sasa TRC wamepanga ziwe Sh 150,000 kwani hadi Dodoma tu ni Sh 75,000. Yaani ni karibu sawa na nauli ya ndege. Hawa Waha na Wasukuma wetu kweli watazipanda hizo treni?
Bado TRC hawajatoa nauli za mabehewa ya mizigo. Kwa mantiki hiyo hiyo bei inayotarajiwa ni mara tatu ya bei ya kukodi lori la semi trailer. Hivyo tutegemee mambo kubaki kama kawa. Matajiri wa malori na mabasi wamekataa kufika kiama.
Wameshinda hiyo vita na inasemekana hata hizo treni za SGR zitaendeshwa na wafanya biashara binafsi kwa mtindo wa PPP (private public partnership)! Ni wajanja, wametupokonya SGR yetu tuliyoijenga na tunaendelea kuijenga kwa kodi zetu. Zingine tumekopa lakini tutazirejesha kwa kodi zetu.
Mapendekezo:
1. Nauli ya abiria kutoka Dar had Mwanza isizidi Sh 25,000 kwa economy class. Yaani isizidi nusu ya nauli ya basi. Hayo madaraja mengine mnaweza kuweka mnavyotaka. Hao wanaoishia njiani hususani Dodoma ziende kwa uhusiano huo wa umbali hadi Mwanza.
2. Behewa la mizigo bei yake isizidi theluthi moja ya bei ya kukodi lori.
3. Hakuna mantiki ya kuwa na tofauti ya nauli kati ya MGR inayotumia dizeli na SGR inayotumia umeme. Kwa vyovyote vile uendeshaji (running cost) ya ile ya umeme ni rahisi kuliko ile ya dizeli.
TRC lazima ijue kuwa jukumu lake ni kutoa huduma na si biashara ya kutaka kurejesha kile serikali imewekeza kwenye huo mradi wa SGR. Wanachotakiwa ni kukusanya tu pesa itakayowawezesha kulipa mishahara ya staff wao na mambo mengine ya uendeshaji.
Lazima itakuwa hivyo. Tayari wakina Maharage walishaanza harakati ya kuuweka kwenye private public partnership!! Hata huu unaopatikana kwa kuchoma migesi walishapendekeza huko ewura uongezwe bei mara dufu kama tunataka waache hii katakata yao.Tusije kushangaa umeme huo ukaja kuwa ghali zaidi ya huu wa sasa..!!
Bora umemjibu huyu ndezi......Vya dezo kwa lipi? Kwani hiyo SGR na hizo treni zimegharimiwa na nani?
Kwa taarifa yako huo mradi ni wa wananchi wote wa Tanzania. Wao ndiyo wameugharimikia na wataendelea kuugharimia kupitia kodi zao. Si mali ya hao wajanja wachache pekee yao. Wananchi ndiyo wenye mamlaka ya kupanga hiyo nauli ya treni yao na siyo hao akina Kadogosa, Mbawala na wafanya biashara za mabasi na malori.
Africa wasomi ndio wasio na elimuDuniani kote usafiri wa reli ndiyo usafiri wa bei rahisi sana kuliko usafiri mwingine wowote. Malengo makuu ya kuboresha usafiri huu kwa kiwango cha SGR yalikuwa:
~Trip moja ya treni ya mizigo ingaliweza kusafirisha mzigo wa sawa na semi-trailers za malori 500 kwa mara moja, kwa spidi ya 120 kph na kwa bei ya sawa na bure ukilinganisha na malori.
Yaani mzigo wa ukubwa huo wa semi trailer 500 ungeweza kuondolewa kutoka bandari yetu ya Dar es Salaam kila siku na kufikishwa Mwanza au Kigoma ndani ya masaa 10 au 12 tu. Hakungalikuwa tena na mrundikano wa mizigo pale bandari ya Dar es Salaam.
Hata hizo bandari kavu zilizoko mkoa wa Dar es Salaam zingalikosa kazi. Bandari kavu zingalijengwa Mwanza na Kigoma. Uchumi wa nchi ungepaa kwa kasi kubwa na ndani ya muda mfupi tungeifikia Singapore ambayo uchumi wake unategemea bandari tu.
Barabara zetu zingalidumu zaidi kwani usafiri wa malori unalifikia kiama chake. Hata hizo ajali lukuki za barabarani zinazosababishwa na malori haya katika njia hizi kuu zingalifikia tamati. Traffic police wetu wangetafutiwa kazi zingine.
~ Hivyo ndivyo ingalikuwa kwa usafirishaji wa abiria. Trip moja ya passenger train yenye urefu wa si chini ya kilomita 3 ingalikuwa sawa na mabasi yasiyopungua 500 na wangalisafirishwa kwa raha kwa spidi ya 170 kph.
Yaani kutoka Dar es Salaam hadi Mwanza au Kigoma ni mwendo wa saa 7 tu, kwa bei ya chee ukilinganisha na mabasi ambayo nayo yalikuwa yafikie kiama chake kwa njia hizi kuu za uchumi wa nchi na kuokoa uharibifu wa barabara zetu na ajali lukuki za barabarani. Uchumi wa nchi ungalipaa na wananchi wangalipata furaha.
Bahati mbaya kabisa matarajio hayo ya wananchi yameshindikana kufikiwa. TRC imepanga nauli za train hizo za spidi kubwa kuwa mara tatu ya bei za usafiri wa mabasi. Kwa sasa mtu anasafiri kwa basi kutoka Dar es Salaam hadi Mwanza kwa nauli ya Sh 55,000 hadi 65,000.
Hii ni nauli ya kupanda kwa mafuta kwa sababu ya Ukraine. Kabla ya hapo ilikuwa Shs 35,000 hadi 45,000 na tunategemea hiyo Ukraine itakapokwisha bei hizi zitarejea. Sasa TRC wamepanga ziwe Sh 150,000 kwani hadi Dodoma tu ni Sh 75,000. Yaani ni karibu sawa na nauli ya ndege. Hawa Waha na Wasukuma wetu kweli watazipanda hizo treni?
Bado TRC hawajatoa nauli za mabehewa ya mizigo. Kwa mantiki hiyo hiyo bei inayotarajiwa ni mara tatu ya bei ya kukodi lori la semi trailer. Hivyo tutegemee mambo kubaki kama kawa. Matajiri wa malori na mabasi wamekataa kufika kiama.
Wameshinda hiyo vita na inasemekana hata hizo treni za SGR zitaendeshwa na wafanya biashara binafsi kwa mtindo wa PPP (private public partnership)! Ni wajanja, wametupokonya SGR yetu tuliyoijenga na tunaendelea kuijenga kwa kodi zetu. Zingine tumekopa lakini tutazirejesha kwa kodi zetu.
Mapendekezo:
1. Nauli ya abiria kutoka Dar had Mwanza isizidi Sh 25,000 kwa economy class. Yaani isizidi nusu ya nauli ya basi. Hayo madaraja mengine mnaweza kuweka mnavyotaka. Hao wanaoishia njiani hususani Dodoma ziende kwa uhusiano huo wa umbali hadi Mwanza.
2. Behewa la mizigo bei yake isizidi theluthi moja ya bei ya kukodi lori.
3. Hakuna mantiki ya kuwa na tofauti ya nauli kati ya MGR inayotumia dizeli na SGR inayotumia umeme. Kwa vyovyote vile uendeshaji (running cost) ya ile ya umeme ni rahisi kuliko ile ya dizeli.
TRC lazima ijue kuwa jukumu lake ni kutoa huduma na si biashara ya kutaka kurejesha kile serikali imewekeza kwenye huo mradi wa SGR. Wanachotakiwa ni kukusanya tu pesa itakayowawezesha kulipa mishahara ya staff wao na mambo mengine ya uendeshaji.
Ndugu Bandari kavu Kigoma ni ufunguo mkubwa sana sio Goma tu angalia upya geographic yetuBandari kavu Kigoma kwamba unapeleka makontena Goma pekee?
Hata mimi niliwaza kama wewe, ila tuseme tu timu yetu haina bahati katika haya mashindano. Maana hii game tulikuwa tunashinda kabisa ila ndiyo hivyo tena, kipa wetu nambari moja tuliyemtegemea alipewa kadi nyekundu. Hakika wenye mapenzi na timu yetu tulihuzunika sana.Duniani kote usafiri wa reli ndiyo usafiri wa bei rahisi sana kuliko usafiri mwingine wowote. Malengo makuu ya kuboresha usafiri huu kwa kiwango cha SGR yalikuwa:
~Trip moja ya treni ya mizigo ingaliweza kusafirisha mzigo wa sawa na semi-trailers za malori 500 kwa mara moja, kwa spidi ya 120 kph na kwa bei ya sawa na bure ukilinganisha na malori.
Yaani mzigo wa ukubwa huo wa semi trailer 500 ungeweza kuondolewa kutoka bandari yetu ya Dar es Salaam kila siku na kufikishwa Mwanza au Kigoma ndani ya masaa 10 au 12 tu. Hakungalikuwa tena na mrundikano wa mizigo pale bandari ya Dar es Salaam.
Hata hizo bandari kavu zilizoko mkoa wa Dar es Salaam zingalikosa kazi. Bandari kavu zingalijengwa Mwanza na Kigoma. Uchumi wa nchi ungepaa kwa kasi kubwa na ndani ya muda mfupi tungeifikia Singapore ambayo uchumi wake unategemea bandari tu.
Barabara zetu zingalidumu zaidi kwani usafiri wa malori unalifikia kiama chake. Hata hizo ajali lukuki za barabarani zinazosababishwa na malori haya katika njia hizi kuu zingalifikia tamati. Traffic police wetu wangetafutiwa kazi zingine.
~ Hivyo ndivyo ingalikuwa kwa usafirishaji wa abiria. Trip moja ya passenger train yenye urefu wa si chini ya kilomita 3 ingalikuwa sawa na mabasi yasiyopungua 500 na wangalisafirishwa kwa raha kwa spidi ya 170 kph.
Yaani kutoka Dar es Salaam hadi Mwanza au Kigoma ni mwendo wa saa 7 tu, kwa bei ya chee ukilinganisha na mabasi ambayo nayo yalikuwa yafikie kiama chake kwa njia hizi kuu za uchumi wa nchi na kuokoa uharibifu wa barabara zetu na ajali lukuki za barabarani. Uchumi wa nchi ungalipaa na wananchi wangalipata furaha.
Bahati mbaya kabisa matarajio hayo ya wananchi yameshindikana kufikiwa. TRC imepanga nauli za train hizo za spidi kubwa kuwa mara tatu ya bei za usafiri wa mabasi. Kwa sasa mtu anasafiri kwa basi kutoka Dar es Salaam hadi Mwanza kwa nauli ya Sh 55,000 hadi 65,000.
Hii ni nauli ya kupanda kwa mafuta kwa sababu ya Ukraine. Kabla ya hapo ilikuwa Shs 35,000 hadi 45,000 na tunategemea hiyo Ukraine itakapokwisha bei hizi zitarejea. Sasa TRC wamepanga ziwe Sh 150,000 kwani hadi Dodoma tu ni Sh 75,000. Yaani ni karibu sawa na nauli ya ndege. Hawa Waha na Wasukuma wetu kweli watazipanda hizo treni?
Bado TRC hawajatoa nauli za mabehewa ya mizigo. Kwa mantiki hiyo hiyo bei inayotarajiwa ni mara tatu ya bei ya kukodi lori la semi trailer. Hivyo tutegemee mambo kubaki kama kawa. Matajiri wa malori na mabasi wamekataa kufika kiama.
Wameshinda hiyo vita na inasemekana hata hizo treni za SGR zitaendeshwa na wafanya biashara binafsi kwa mtindo wa PPP (private public partnership)! Ni wajanja, wametupokonya SGR yetu tuliyoijenga na tunaendelea kuijenga kwa kodi zetu. Zingine tumekopa lakini tutazirejesha kwa kodi zetu.
Mapendekezo:
1. Nauli ya abiria kutoka Dar had Mwanza isizidi Sh 25,000 kwa economy class. Yaani isizidi nusu ya nauli ya basi. Hayo madaraja mengine mnaweza kuweka mnavyotaka. Hao wanaoishia njiani hususani Dodoma ziende kwa uhusiano huo wa umbali hadi Mwanza.
2. Behewa la mizigo bei yake isizidi theluthi moja ya bei ya kukodi lori.
3. Hakuna mantiki ya kuwa na tofauti ya nauli kati ya MGR inayotumia dizeli na SGR inayotumia umeme. Kwa vyovyote vile uendeshaji (running cost) ya ile ya umeme ni rahisi kuliko ile ya dizeli.
TRC lazima ijue kuwa jukumu lake ni kutoa huduma na si biashara ya kutaka kurejesha kile serikali imewekeza kwenye huo mradi wa SGR. Wanachotakiwa ni kukusanya tu pesa itakayowawezesha kulipa mishahara ya staff wao na mambo mengine ya uendeshaji.
Umeme lazima uwe ghali zaidi ili kuoffset artificial costs zinazosababishwa na ufisadi ambao bado unaendelea kutendwa TANESCO.Leo Dr Akili umeamkaje..?
Yaani umetoa hoja mujarabu mpaka nimekupa "like✓"
Yes. Nakubaliana na wewe. Na hili na TRC kupanga nauli hizi limemshangaza kila mtu kiasi cha kuondoa maana kabisa ya ujenzi wa reli ya SGR. Hata kwenye ile reli ya MGR nauli hazikuwa ghali kiasi hiki...
Mimi naanza kupata shaka hata unafuu wa umeme tunaoambiwa kuwa utapatikana baada ya ujenzi wa bwawa la umeme la Stiglers George...
Tusije kushangaa umeme huo ukaja kuwa ghali zaidi ya huu wa sasa..!!
So far so good, SGR popote duniani ni almost 3/4 ya tiketi ya ndege ila sio SGR ya kusikama kila mahali .
Pili SGR ya kusimama kila mahali bei ni bei ni ndogo zaidi
Wamekuambia Bei rahisi Ni kiasi gani?Huko wanakotuambiaga akina Tundu Lisu.
Shinkansen! Umenikumbusha mbali kweli.Mshamba wewe usiyesafiti.
Nchi gani usafiri wa reli ni rahisi kuliko basi.
Kwa taarifa yako bus transport ndiyo cheapest and slowest.
Nenda Japan uone Shinkansen inavyo paa at 300km/hr kama ndege halafu ulinganishe na bus kati ya Tokyo na Osaka.
Ni kweli, hujawa nje ya mada. Kipa wetu tuliye mtegemea alikuwa anaitwa Kadogosa. Tulitamani stesheni ya SGR ya Dodoma au mojawapo ya mahandaki ya SGR iitwe Kadogosa SGR station au Kadogosa Tunnel! Dakika za mwisho kaachia goli la Mafisadi Team kwa makusudi. Tunahisi labda atakuwa kapewa mchongo.Hata mimi niliwaza kama wewe, ila tuseme tu timu yetu haina bahati katika haya mashindano. Maana hii game tulikuwa tunashinda kabisa ila ndiyo hivyo tena, kipa wetu nambari moja tuliyemtegemea alipewa kadi nyekundu. Hakika wenye mapenzi na timu yetu tulihuzunika sana.
Niwie radhi kwa kuandika maoni ambayo hayahusiani na mada uliyoandika
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app