Hizo mantiki (logics) za ufikiri wa mtindo huo, huwa hazina mashiko na ni fikira potofu au fikira mgando.
Wacha wee...
Tuna Bush Lawyers, na bila shaka tunao Bush Economists!
Dunia inaendelea kwa kasi kubwa. Dunia ya leo ni ya kidijitali inayotumia mitandao ya kikomputa. Mamillion ya watu wamepoteza ajira zao za awali kwa sababu kazi hizo sasa zinafanywa komputa na robots tena kwa ufanisi mkubwa zaidi. Hususani kiwanda kilichokuwa kinaajiri wafanyakazi 100, sasa kinaajiri wafanyakazi 10 tu kwani kazi nyingi zinafanywa na komputa.
Huoni aibu unavyojaribu kulinganisha labor intensive state vs highly advanced states?!
Unalinganisha nchi zinazozalisha malaki ya ajira kwa mwaka na hivyo kuwezesha labor movements among sectors of economy wakati nchi yako haina uwezo huo!!
Unalinganisha nchi ambazo zina malaki kwa malaki ya fursa huku nchi yako ikiwa na limited opportunities...
In short, as usual, uelewa wako katika masuala ya uchumi ni duni!!
Aina nyingi za kazi kwa sasa hazina tena soko la ajira duniani.
Acha kukariri... tunazungumzia Tanzania na sio kwingineko duniani!!
All economic practices zinazofanyika kwa kuangalia kwingine duniani badala ya kuangalia mazingira ya nchi husika kwa kawaida ni practices zinazoishia kufeli.
Na ndo maana, back in 1993, akihutubia Jukwaa la Uongozi, Afrika, Lee Kuan Yew, aliyeipaisha Singapore alielezea jukwaa hilo sera zake zilzoifanya Singapore kuwa ilipo. Baada ya kueleza mengi, kisha akasema haya:-
Can I explain the reasons for the differences? I had difficulty in extracting the principles underlying Singapore’s policies that could be relevant to our countries in Africa. Finally I asked myself, if I were in Africa and had to govern Nigeria or Ghana or Kenya or Tanzania, what would I do in the same way as in Singapore?
Hata vyuo vyingi vimeshasitisha au kupunguza sana ufundishaji wa kozi hizo.
Kozi zipi?
We jamaa mbona MUONGO SANA wewe?!
Leo hii kwa kubonyeza tu kitufe, komputa yako inaanza kutaipu unachokisema tena kwa spidi kali bila makosa kuliko typist au sekretare uliyemwajiri.
Kwahiyo hapo ndo tayari unadhani unafahamu vema masuala ya teknolojia na impact yake kwenye uchumi, ama?!
Before 2015 nimefanya sana kazi za freelancing, na moja ya lucrative gigs ilikuwa Translation kabla ya Wakenya hawajavamia.
Pamoja na kwamba zilikuwa translation softwares lakini bado ALL TIME Clients walilisisitiza Manual Translation!
Nalazimika kutoa hiyo mifano ingawaje hapakuwa na sababu za msingi kwa sababu hapa tunazungumzia ni namna gani unaweza kushabikia suala la kuondoa mabasi 500 kwenye mzunguko bila kuangalia economic impact. Hata hivyo, hapa unaishia kutoa mifano ambayo ni VERY IRRELEVANT.
Leo hii daktari mmoja wa upasuaji (surgeon) kwa kutumia robot (computerized robot) anaweza kufanya idadi kubwa ya operesheni kwa siku sawa na idadi ambayo ingefanywa na madaktari 100, tena kwa ufanisi mkubwa zaidi. Na ndivyo hivyo hivyo kwa kazi nyingi zingine zikiwamo hizo unazozitetea za madereva, wakata tiketi, wapiga debe, utingo, mama lishe etc.
Mfano mwingine IRRELEVANT... Jikite kwenye hoja!
Watatafuta kazi zingine hususani za kilimo kwani tuna ardhi tele hadi nusu ya ardhi yetu tumeachia wakae nyumbu zetu, tembo, fisi na wanyama wengine.
Sasa kwa akili zako hizo si utasema huko nako tutumie robot kwenye huu ambao tunaelekea kwenye Agricultural AI !
Hayo mafuta ya mabasi na malori yatakayo okolewa yatatumika sehemu zingine za kiuchumi hasa viwandani na kilimo.
Kwanini yasiendelee kutumika huko kwenye mabasi kisha tukaangiza mafuta mengine kwa ajili ya huko kwingine?
Huu ndiyo uchumi wa leo ambao tulitegemea hizi treni za kisasa zingalitusaidia kutuvusha.
Kausome uchumi, na uuelewe!
Uchumi ni moja ya nyanja ambazo hazitaki kukariri bali kuelewa!
Tusikubali kushindwa na mafisadi.
Ni wapi Mafisadi wanaweza kufaidika zaidi kati ya kuondoa mabasi barabarani na kuyaacha mabasi barabarani?
Kama reliable mode of transportation itabaki kuwa treni peke yake ina maana major players watakuwa Wanasiasa na Government Officials...
Hao ndio watatoa tenda za ku-supply nishati ili treni iendelee kuwa operational...
Hao ndio watatoa tenda za vyakula ili treni ziweze kuuza vyakula
Hao ndo watakamatia ajira kwenye sekta ya usafiri...
Hao ndo watakamatia tenda za kuagiza mabehewa mengi zaidi kwa sababu demand ni kubwa kutokana na monopoly..., and so on!
What about mabasi?
Kusoma hujuji, ina maana hata picha ukutani huzioni?