Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mkuu , hawa jamaa wa US kuna nyakati nawashangaa kidogo.Ukweli ni kwamba 'internet' ni chaka.
Na kwenye chaka mtu au kitu chochote chaweza jificha popote pale.
Kwa hiyo hackers wa Kimarekani wanaweza wakapozi kama vile ni Warusi ili kupoteza lengo.
Au yawezekana ikawa ni Waisrael lakini waliopozi kama vile ni Warusi.
Na ndo maana hakuna ushahidi wa uhakika kwamba kweli Warusi ndo waliofanya huo udukuzi.
Nyie jiulizeni tu...mdukuzi gani huyo adukue halafu aache nyayo zake waziwazi hivyo?
Mkuu , hawa jamaa wa US kuna nyakati nawashangaa kidogo.
Inapofikia mahalli wanafanyiwa hacking huwa kuna kauzumbe.
Nasema hivyo kwasababu mambo mengi magumu wanakuwa na majibu
Katika tech wao wanafunguo zote na wanaweza kutenda tu wakiamua
Hili suala tatizo lake ni moja, ile 'denial' ndiyo inalikuza
Trump anakuwa Rais in two weeks time, kama kuna upikaji wa habari anayo nafasi ya kuonyesha hilo kwasababu atakuwa top.
Kama aliwahi kusema atatafuta private investigator kuhusu emails, kuna tatizo gani akatafuta mwingine kuhusu hacking na kuwa prove wrong?
Kwasasa anapokuwa tofauti na kila mmoja katika rank za uongozi , inatia shaka isiyo na ulazima. Kuna uwezekano wakawa Waisrael au wengine, hilo nakubaliana nalo kabisa.
Niliwahi ku doubt sana kuhusu Bernie Sanders na habari alizokuwa nazo
Kama unafuatilia Sanders alikuwa na mkono nyuma ingawa haikutakiwa kuonekana hivyo. Hivyo ni possible kabisa, kosa ni kukataa bila kuwa na proof
Angecheza kisiasa kwa kukaa kimya au kuwaambia hakubaliana na suala la kuingiliwa uchaguzi na uchunguzi uendelee ili achukue hatua akiingia madarakani."Nyani Ngabu, post: 19148042, member: 188"]Ni kweli kabisa kuwa denial ya Trump inalipa kiki suala zima.
Na hasa yeye kuwa 'mtetezi' wa Russia ndiyo kabisa siasa inapata miguuIla mimi naamini kabisa kuwa suala zima liko politically motivated pia.
Dems kukomalia koo hizo habari kunawanufaisha kisiasa. Kunawanufaisha kwa sababu kunamjengea taswira rais mteule kuwa kasaidiwa na Urusi na hivyo ni kibaraka wa Putin.
Na hapa anaingia sec of state kwa ku insinuate kuwa wote wawili wana masilahi.Na zile kauli zake kuhusu Putin na ile perceived 'bromance' iliyopo kati yao [Trump na Putin] ina play vizuri sana katika hiyo narrative ya kwamba Urusi ili hack ili kumsaidia Trump ashinde.
Whatever the outcome, hili litakuwa 'strings' mbele ya safari.Mwisho wa siku, mimi naamini, hakutakuwa na lolote lile la maana hapa. Ni kama tu ilivokuwa kwenye zile recounts za Jill Stein na zile juhudi za kuwa lobby wale electors wamtose Trump. Nothing will come of it kwa sababu suala zima liko politically motivated.
Kukiri hadharani ni katika kutafuta kuungwa mkono na hilo limefanikiwa.Hivi mazee wewe huoni kama ni ajabu kidogo kama ingekuwa ni kweli kabisa Russia ndo imefanya hiyo hacking na Marekani kukiri hadharani?
Manake kukiri hadharani ni kukiri madhaifu yenu. Na tena si kukiri tu madhaifu yenu...ni kukiri kuwa mmezidiwa kete na hasimu wenu mkuu.
Angecheza kisiasa kwa kukaa kimya au kuwaambia hakubaliana na suala la kuingiliwa uchaguzi na uchunguzi uendelee ili achukue hatua akiingia madarakani.
Na hapa anaingia sec of state kwa ku insinuate kuwa wote wawili wana masilahi.
Lakini mbaya ni pale anapohusishwa na suala la tax return, makampuni yake na uhusiano wake na Russia. Hapa ndipo patamsumbua kama si leo ni down the road Whatever the outcome, hili litakuwa 'strings' mbele ya safari.
Hillary na emails ilikuwa hivi hivi, likarudi kwa kasi sana wakati wa uchaguzi
Ni kweli lina sura ya kisiasa kama ilivyokuwa kwa emails za Clinton.
Marekani ndivyo siasa zilivyo watakumbuka kura iliyopigwa miaka 30 na ikaleta tatizo
Emails zilitumiwa kisiasa na Trump hadi Comey alipobadilisha mwelekeo wa uchaguzi kabisa na kuwa sehemu ya anguko la Hillary.
Trump anasema anakwenda Washington to drain the swamp ikiwemo makosa kama ya Hillary. Watu wanapoangalia na kuona hataki uchunguzi,wanaomwamini wanaanza kupata shaka na anakaribisha curiosity hata kwa waliokuwa na doubt
Emails za Clinton the same will happen to Trump kama hatafanya damage control mapema. Hizi tweets zinabaki kama kumbu kumbu
Kukiri hadharani ni katika kutafuta kuungwa mkono na hilo limefanikiwa.
Republican ndio wamekomalia kuliko Dem
Hapa ni ku insinuate jambo litakaloanzisha hisia za 'inferiority' na US hawakubali hilo
Sidhani washauri wa Trump wanakubaliana na tweets zake na jinsi anavyo handle suala . Kwasasa it's OK lakini linaacha alama.
Nakuhakikishia miaka 4 baadaye litakuwa silaha dhidi yake.
Unakumbuka TPP ya Clinton ilivyogeuka silaha ya Bernie na Trump dhidi ya Hillary.
Unakumbuka Seccession na suala la ujaji .
Atakuwa confirmed lakini hana uhuru wa kazi kwasababu kuna prejudice dhidi yake
Unakumbuka kauli ya 'Najua zaidi ya majenerali' inavyomsumbua.
Kwasasa haipo obvious lakini failure of any military mission itakuwa associated
Katika hali inayoonyesha tatizo, Trump anasema ana habari zaidi ya watu wanazojua
Tayari kuna swali, ni kutoka source zipi? Na anaweka wapi IC zake?
Tatizo ana 'drag' na kulifanya story kila uchao mwenyewe
But now he is a politician ''by default'"Nyani Ngabu, post: 19149510, member: 188"]Lakini Trump si mwanasiasa hivyo mambo ya kucheza kisiasa kwake hayapo.
Jamaa hajawahi hata kuwa diwani...sasa kweli huyo unamtegemea awe na political savvy ya career politicians?
Atakapokwenda oval office anaweza kucheza kwa muda lakini si muda wote.Mimi nimeshaacha ku-bet dhidi ya Trump.Jamaa si tu ni teflon Don....ni Houdini kabisa.
Ni bonge moja la escape artist.
Tatizo anafanya kazi na politicians hawezi kuwakwepa na kukwepa politicsRules za political gravity kwake hazi apply/ hazifanyi kazi.
Ile tape haikummaliza, kuna factor nyingine.Sema ukweli...hivi pale ile tape ya 'grab them by the pussy' ilipovuja, wewe ulidhani atapona tena?
Diplomacy sio kukubali kulishwa taarifa ambazo watu hawana uhakika nazo na kwamba Rais mteule haruhusiwi kuhoji masuala ambayo yana chembe za kisiasa yanayomu-undermine.But now he is a politician ''by default'
Katika mazingira hayo anaweza kuendelea na misimamo yake mwisho wa siku akajikuta anakosana na inner circle yake kama Pence ambao ni wanasiasa. Kukosoana kutatokana na kusigishana within na hilo lilianza wakati wa kampeni. Hadi aliporejea kwenye teleprompter wenzake akiwemo Pence walishamuacha. Walikuwa wanajenga career zao
Katika uso wa dunia akiwa kiongozi wa Taifa lenye nguvu hawezi kuepuka diplomacy ambayo ni 'twin sister' wa politics.
Kila Rais ana preference yake kuhusiana na namna ya kuwasiliana na wananchi. Twitter inampa Trump nafasi ya kutupia mawazo yake briefly kwa wananchi kwa mcha mchache.Kinyume chake atakuwa mtu wa ''controversy'' kila mara na hapo atanasa. Atakapokwenda oval office anaweza kucheza kwa muda lakini si muda wote. Wanasiasa wapo katika mshangao lakini wanamsoma
Kwa mfano, hataki kuongea na media kwa kuogopa maswali na hoja. Hilo litafika mwisho kuna nyakati atalazimika kusimama kama president, hatakwepa media
Kwasasa ana leeway ya tweet, sidhani wakati wa masuala mazito ya kidunia akiwa the most powerful man in the planet anaweza kuandika maneno matatu au character 140 akaeleweka. Anaweza kufanya hivyo, haitachukua muda atageuka kuwa kituko
Suala la conflict of interest sio suala la kisiasa na Trump anaelewa hilo na ameonekana kuelewa hilo kwa mda mrefu hata kabla ya kipindi cha kampeni na kuonyesha nia ya kuondokana nalo.Tatizo anafanya kazi na politicians hawezi kuwakwepa na kukwepa politics
Kwa mfano alisema biashara zake hazizuiwi na sheria ataweza kuacha 'holding' yake.
Taratibu wanasiasa wamemzunguka anatafuta namna ya kukwepa conflict of interest
Mwanzoni alisema hakuna sheria, na ni kweli hakuna. Taratibu analegeza msimamo
Umeona jinsi anavyotoa kiki kwa hili jambo?"Nyani Ngabu, post: 19148042, member: 188"]Ni kweli kabisa kuwa denial ya Trump inalipa kiki suala zima
Umeona jinsi anavyotoa kiki kwa hili jambo?
Intel community imeahirisha mkutano naye hadi Ijumaa.
Sababu kubwa kuna clasified na non clsassified infromation.
Of course yupo entitled kwa classified walichotaka ni kuhakikisha wasiopaswa hawana access
Trump ka tweet ''....... pengine ili wajenge kesi' kwa maana wanataka kutengeneza kesi dhidi yake
Kwa hali yoyote hawa atafanya nao kazi, wanaweza kukaa kimya lakini wakawa source ya habari zake
Nimeona wapo wanao insinuate kuhusu kwanini anashikia bango Russia, wanahoji analinda masilahi yake au kuna kitu gani.
Sasa haya yote anayataka kwasababu angenyamaza hadi Ijumaa sijui kama angepungukiwa na kitu
MWALIMU MIMI nimekuwa kimya kwa sababu moja tu, thread imeingiliwa na ushabiki wa Kitanzania. Ndugu zangu Watanzania kuna wakati najiuliza hii laana tuliitoa wapi? Ubishi uliopo kwenye thread zinazomjadili Trump wetu (Magufuli) hazina tofauti na ninaoushuhudia humu.Unless timu ya Trump ije na uchunguzi mbadala na kutoa matokeo tofauti kuhusiana na kashfa ya udukuzi lakini kwa yeye kupingana na CIA/FBI kuhusiana na hili inaweza kumweka mtegoni siku za usoni. Tayari matamshi yake ya mara kwa mara akimsifu Putin kuwa kiongozi mzuri na kwamba atakuwa tayari kutambua eneo la Crimea kuwa ni sehemu ya Urusi yamesababisha atazamwe kwa jicho tofauti kidogo.
The last thing Trump would want is to be viewed as "soft" or "weak" against US arch nemesis Putin. Na kitendo cha Obama kuwatimua wale diplomats kinamweka Trump kwenye mtego zaidi manake Putin ameamua kukaa kimya akimsubiri akiingia madarakani arachukua uamuzi gani whether atatengua maamuzi ya Obama ya kuwafukuza wale maafisa ubalozi au atapotezea!
Ninachotaka kusema hapa ni kwamba kama kuna mtu atapata wakati mgumu Zaidi kwenye Urais Marekani, ni Donald Trump. Urais Marekani si lelemama, unatakiwa uwe na hekima, busara, uvumilivu na utunze kumbukumbu...sifa ambazo Trump hana, naomba tuzidi kuwa watazamaji.
Mkuu Mag3,MWALIMU MIMI nimekuwa kimya kwa sababu moja tu, thread imeingiliwa na ushabiki wa Kitanzania. Ndugu zangu Watanzania kuna wakati najiuliza hii laana tuliitoa wapi? Ubishi uliopo kwenye thread zinazomjadili Trump wetu (Magufuli) hazina tofauti na ninaoushuhudia humu.
Lakini tofauti na sisi ni kwamba Marekani, Rais si kila kitu na kumalizika uchaguzi hauwi mwisho wa siasa, ndio mwanzo. Obama, hata kabla ya kuapishwa mwaka 2008, Republicans waliapa kumkwamisha, lakini leo hao hao Republicans wanaomba Donald Trump apewe angalau nafasi.
Ninachotaka kusema hapa ni kwamba kama kuna mtu atapata wakati mgumu Zaidi kwenye Urais Marekani, ni Donald Trump. Urais Marekani si lelemama, unatakiwa uwe na hekima, busara, uvumilivu na utunze kumbukumbu...sifa ambazo Trump hana, naomba tuzidi kuwa watazamaji.
Mlisema, mkasema, mkahamisha, mmehamisha, sasa mnasema...who are you referring to?Mwanzo mlisema hata uteuzi wa kugombea hawezi kuupata. Alipoupata mkahamisha goli mkasema hawezi kumshinda bibi.
Sasa kamgaragaza bibi mmehamisha tena goli na mnasema atapata wakati mgumu kwenye urais.
Keep betting against Trump.
Team Dems aka team Hillary aka team losers aka team chockers[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mlisema, mkasema, mkahamisha, mmehamisha, sasa mnasema...who are you referring to?
Mkuu mag3 bora hata ungeendelea kukaa kimya,maana ulichoandika umeandika kitanzania haswaa...!! Yaani mpaka leo bado mnaamini trump atakwama!!? Kweli bado tuna safari ndefu. Mpaka leo hapa jukwaani mtu akiandika tofauti na maoni yenu anaonekana adui wa jukwaa..!! Ngoja me niendelee kusoma tu...MWALIMU MIMI nimekuwa kimya kwa sababu moja tu, thread imeingiliwa na ushabiki wa Kitanzania. Ndugu zangu Watanzania kuna wakati najiuliza hii laana tuliitoa wapi? Ubishi uliopo kwenye thread zinazomjadili Trump wetu (Magufuli) hazina tofauti na ninaoushuhudia humu.
Lakini tofauti na sisi ni kwamba Marekani, Rais si kila kitu na kumalizika uchaguzi hauwi mwisho wa siasa, ndio mwanzo. Obama, hata kabla ya kuapishwa mwaka 2008, Republicans waliapa kumkwamisha, lakini leo hao hao Republicans wanaomba Donald Trump apewe angalau nafasi.
Ninachotaka kusema hapa ni kwamba kama kuna mtu atapata wakati mgumu Zaidi kwenye Urais Marekani, ni Donald Trump. Urais Marekani si lelemama, unatakiwa uwe na hekima, busara, uvumilivu na utunze kumbukumbu...sifa ambazo Trump hana, naomba tuzidi kuwa watazamaji.
Mkuu mag3 bora hata ungeendelea kukaa kimya,maana ulichoandika umeandika kitanzania haswaa...!! Yaani mpaka leo bado mnaamini trump atakwama!!? Kweli bado tuna safari ndefu. Mpaka leo hapa jukwaani mtu akiandika tofauti na maoni yenu anaonekana adui wa jukwaa..!! Ngoja me niendelee kusoma tu...