Duru za Siasa: Matokeo ya Uchaguzi Marekani

Duru za Siasa: Matokeo ya Uchaguzi Marekani

Hivi kabisa unaamini huyo Jill Stein alitaka hiyo recount kwa nia njema?

Unaamini kabisa kuwa hakuna mkono wa Dems nyuma yake uliokuwa unamsukuma kuomba hizo recounts?
Huyo Jill Stein aliulizwa kwanini hajaenda kuomba recount New Hamphire ambapo Hillary alishinda kwa margin ndogo zaidi (kura 2, 736) ukilinganisha na MI, PA na WI? Hakuwa na jibu la maana.
 
Mzee...naona una gloss over political motivation iliyopo.

Hivi kabisa unaamini huyo Jill Stein alitaka hiyo recount kwa nia njema?

Unaamini kabisa kuwa hakuna mkono wa Dems nyuma yake uliokuwa unamsukuma kuomba hizo recounts?

Halafu hujaona kabisa jinsi narrative inavyobadilika? Ilikuwa recounts na sasa imekuwa Russian hacking na tayari baadhi ya Dems wanawaaza wale electoral college electors wasimchague Trump.

Yaani kabisa unataka kunambia hakuna politricks zinazoendelea hapo?

Hebu soma hii....
Mbona hili nililiongelea mapema kabisa? Kwamba Dem walikuwa na interest nalo kwasababu ya matokeo. Nilisema, ni vema kwavile sheria inaruhusu suala hilo likamalizwa ili kuondoa utata na kutoacha mazonge zonge kama ya Al Gore ambayo hadi leo kuna hili na lile linasemwa kwasababu tu process haikumalizika hata kama isingebadilisha matokeo kwa namna yoyote

Hili nililizungumzia katika muktadha kwamba, as long as sheria inaruhusu and the guy has money hakuna sababu za kumzuia, that's US tofauti na nchi masikini

The same kuhusu hacking, kama kuna sababu za kufanya hivyo, uchaguzi ukiwa decisive hakuna namna inaweza kubadili matokeo.

Tena ni nzuri kwa Trump kwasababu itampa nafasi nzuri ya kusonga mbele bila mazonge zonge.

Unaona chaguo la SoS linavyoanza kutiliwa mashaka.
Of course ni politics lakini inapokuwa na attached strings inakuwa na tatizo sana.

Siasa za US zina namna zake, angalia emails zilivyomtesa Hillary
The time amekuja kutaka kulimaliza, it was too late

Dem wana concern kuhusu hacking iliyotokea. Kwanini vyombo husika visifanye kazi kwasababu in the end vitatakiwa ushahidi. Ndivyo Comey alivyojichanganya aliposema 'hajasoma kwa undani' na kujua nini kilionekana. Tayari akawa amebeba mzigo ambao hadi leo unamwandama

What if, Trump akakaa kimya kwavile alishinda kwa landslide na wanaohangaika wakagota?
 
Huyo Jill Stein aliulizwa kwanini hajaenda kuomba recount New Hamphire ambapo Hillary alishinda kwa margin ndogo zaidi (kura 2, 736) ukilinganisha na MI, PA na WI? Hakuwa na jibu la maana.
Hakuna kabisa ushahidi wowote ule uonyeshao kuwa hiyo hacking ilichangia kwenye vote totals za wagombea.

Oh and by the way, Trump ka gain kura 160+ huko WI.
 
Mbona hili nililiongelea mapema kabisa? Kwamba Dem walikuwa na interest nalo kwasababu ya matokeo. Nilisema, ni vema kwavile sheria inaruhusu suala hilo likamalizwa ili kuondoa utata na kutoacha mazonge zonge kama ya Al Gore ambayo hadi leo kuna hili na lile linasemwa kwasababu tu process haikumalizika hata kama isingebadilisha matokeo kwa namna yoyote

Hili nililizungumzia katika muktadha kwamba, as long as sheria inaruhusu and the guy has money hakuna sababu za kumzuia, that's US tofauti na nchi masikini

The same kuhusu hacking, kama kuna sababu za kufanya hivyo, uchaguzi ukiwa decisive hakuna namna inaweza kubadili matokeo.

Tena ni nzuri kwa Trump kwasababu itampa nafasi nzuri ya kusonga mbele bila mazonge zonge.

Unaona chaguo la SoS linavyoanza kutiliwa mashaka.
Of course ni politics lakini inapokuwa na attached strings inakuwa na tatizo sana.

Siasa za US zina namna zake, angalia emails zilivyomtesa Hillary
The time amekuja kutaka kulimaliza, it was too late

Dem wana concern kuhusu hacking iliyotokea. Kwanini vyombo husika visifanye kazi kwasababu in the end vitatakiwa ushahidi. Ndivyo Comey alivyojichanganya aliposema 'hajasoma kwa undani' na kujua nini kilionekana. Tayari akawa amebeba mzigo ambao hadi leo unamwandama

What if, Trump akakaa kimya kwavile alishinda kwa landslide na wanaohangaika wakagota?
Miaka minne ilopita wakati Mitt Romney anasema kwamba Russia ndo biggest geopolitical threat kwa Marekani Dems walimkebehi na kumkejeli sana.

Leo ghafla bin vuu Dems wanamlaumu Putin na Russia yake kuwa wame influence uchaguzi wa Marekani na kumfanya Trump ashinde.

The whole thing has politics and hypocrisy written all over it.

Na ndo maana naamini kwamba kwenye hiyo investigation hakuna lolote zaidi ya political gamesmanship.

Dems wanacheza mchezo wa ku plant doubt kwenye minds za watu kwamba Trump ni kibaraka wa Putin kwa sababu Russia supposedly wali hack sijui emails za Hillary na DNC na hivyo kubadili attitudes dhidi yake.

Iweje miaka minne ilopita Dems wa brush off claims za Russia kuwa adui wa US halafu leo wageuze kibao baada ya kushindwa?

Halafu hata kabla ya uchaguzi Trump ni mara ngapi alisema kuwa the system is rigged lakini akaishia kukejeliwa na hao hao Dems ambao sasa wanasema system iliingiliwa na outside forces?

Na Trump naye kageuka na sasa haioni tena hiyo rigging aliyoidai muda wote huo.

Hapo hakuna there there. Kuna siasa tu na wanasiasa wamejificha conveniently nyuma ya madai ya kuutafuta ukweli ilhali wanasukumwa na maslahi yao ya kisiasa.

Halafu huyu huyu Obama alipeleka watu wa timu yake huko Israel mwaka jana na kumuunga mkono mpinzani wa Benjamin Netanyahu kipindi cha uchaguzi wao mkuu na kule Uingereza kwenye kura ya maoni ya Brexit.

Nakumbuka Nigel Farage alimchana sana Obama wakati wa kampeni za Brexit.

Yeye alichokifanya si ku influence hizo chaguzi?
 
Hakuna kabisa ushahidi wowote ule uonyeshao kuwa hiyo hacking ilichangia kwenye vote totals za wagombea.

Oh and by the way, Trump ka gain kura 160+ huko WI.
Wameshaachana na Recount efforts na media haimpi tena Jill airtime. Hata recount ilikuwa ni kwa sababu ya 'Russia hacking' na imefeli.

Wamehamia kwenye 'Russia hacking' katika form nyingine.
 
Labda ndio maana FBI wanapishana na CIA kuhusiana na suala la 'Russian hacking'. FBI wamesema hawajaona evidence beyond reasonable doubt kuhusiana na hayo madai.
Oh God, on this who would know better! What would FBI know or you are not even aware of their limitations or jurisdiction for that matter. I am starting to think am in the wrong forum.
 
Halafu huyu huyu Obama alipeleka watu wa timu yake huko Israel mwaka jana na kumuunga mkono mpinzani wa Benjamin Netanyahu kipindi cha uchaguzi wao mkuu na kule Uingereza kwenye kura ya maoni ya Brexit. Yeye alichokifanya si ku influence hizo chaguzi?
Ni kweli nakumbuka vizuri sana BB akilalamika. Nakumbuka Maseneta walikuja Dodoma 2005 wakasema 'He is a Goodman'
Kama hatufanyi kitu hilo si tatizo lao

Utakumbuka kulikuwa na ''cyber attack'' ambazo hawakujua zinatokea wapi.

Hacking ya DNC katika uchaguzi kwao ni deal, in fact Republican wengine walionya kushangilia suala hilo na mmoja akiwa Marco Rubio.

Wanachotaka ni kwenda to the bottom na kujiridhisha kuwa hakuna influence kutoka nje.

Wanataka kujua ili kuzuia kama lipo tatizo, ndiyo maana congress, Intel community na elites wote wanaunga mkono uchunguzi, si kubadili matokeo au ku question bali kuelewa nani alikuwa behind

Mkuu si unajua kuwa mauaji ya JF Kennedy bado watu wanachimba more than 50yrs?
Sisi kama hatujishughulishi na nini kilitokea kwa Sokoine kwanini liwe tatizo lao?

Mimi sioni tatizo kwa Trump, ni knee jerk reaction ambayo ina mu expose katika mazingira magumu
Kwa mfano tifu na intel community si jambo zuri. Akaulizwa kuhusu briefing na kujibu katika hali inayoleta mjadala. Akasema kwanini suala la hacking halikuletwa kabla kitu ambacho si kweli
 
Hebu msikilize Nigel Farage akizungumzia mambo ya interference....

Hebu sikiliza hapo kuhusu Obama ku meddle kwenya uchaguzi wa Israel...

Hypocrisy much...?
 
Oh God, on this who would know better! What would FBI know or you are not even aware of their limitations or jurisdiction for that matter. I am starting to think am in the wrong forum.
No sir, you're in the right forum at right time with right info.
You have a lot to share with an audience bigger than an individual so to speak
 
REX TILLERSON

Baada ya tweet ya Mitt Romney iliyosema anamshukuru pres elect kwa fursa, vyombo vya habari vimetaarifu atakayeuwa SoS ni CEO wa Exxon mobil, Bwana Rex Tillerson

Bwana Tillerson ana uzoefu katika mambo ya biashara akiwa kiongozi wa moja ya kampuni kubwa duniani. Katika nyanja zadiplomasia, Rex ambaye ni Engineer kwa profession hajawahi kushika nyadhifa

Bwana Tillerson anakabiliwa na confirmation mbele ya seneti.
Rex anatarajiwa kukumbana na maswali kuhusu mahusiano yake na Putin na Russia kama hayaingilia masilahi mapana ya Marekani

Tillerson ni mtu anayeunga mkono hoja ya climate change ikiwemo mkataba wa Paris
Anaamini kwa dhati mahusiano kati ya mwanadamu na mazingira na jitihada za kuhifiadhi mazingira

Kuchaguliwa kwa Tillerson kumekuja kwa urahisi kutokana na sifa zake kama CEO anayeheshimika lakini pia mtifuano ndani ya transition team ambayo kundi la loyalist linahisi kutupwa mkono

Uwezekano wa kumchagua Romney ulikwaza na Loyalist walijitokeza wazi kupinga uteuzi wake
 
Hebu sikiliza hapo kuhusu Obama ku meddle kwenya uchaguzi wa Israel...

Hypocrisy much...?

Hivi huyu Rais Obama si ndiye aliyewaambia Wakenya kuwa wakimchagua Uhuru Kenyatta kuwa Rais (na kumuacha Raila Odinga) 'there will be consequences'?
 
Unashusha hadhi ya jukwaaa...!
Mwezi uliopita Rais Obama alienda Germany kuwaambia wajerumani wampigie kura Angela Merkel.

Wewe na nguruvi3 mnatoa doubtful analysis kwenye hii thread. Sijajua huwa mnaandika bila kujua au mnaamua kwa makusudi kuwa biased. Mkishapata habari toka kwenye liberal media outlets mnazileta huku bila kuzichambua. Mkiambiwa mna-panic.

Kwani hili jukwaa ni la Liberals tu? Hata CNN huwa akina Kayleigh McEnany na wengine wanatoa analysis zao ambazo mara nyingi ni tofauti na za progressives, liberals na democrats kama akina Van Jones.

Sir, healthy discussion ni pamoja na kuelewa kwamba kuna perspectives tofauti. Mimi nimebase kwenye Facts na naandika Facts tu humu.
 
Mwezi uliopita Rais Obama alienda Germany kuwaambia wajerumani wampigie kura Angela Merkel.

Wewe na nguruvi3 mnatoa doubtful analysis kwenye hii thread. Sijajua huwa mnaandika bila kujua au mnaamua kwa makusudi kuwa biased. Mkishapata habari toka kwenye liberal media outlets mnazileta huku bila kuzichambua. Mkiambiwa mna-panic.

Kwani hili jukwaa ni la Liberals tu? Hata CNN huwa akina Kayleigh McEnanny na wengine wanatoa analysis zao ambazo mara nyingi ni tofauti na za progressives, liberals na democrats kama akina Van Jones.

Sir, healthy discussion ni pamoja na kuelewa kwamba kuna perspectives tofauti. Mimi nimebase kwenye Facts na naandika Facts tu humu.

Rais Obama hakusema maneno unayodai na hata huyo msemaji anayemsema Nyani Ngabu anaongelea kesi ambayo Uhuru na Rutto walikuwa nayo huko ICC kwamba ingeweza kuleta matatizo mbele ya safari.
 
Oh God, on this who would know better! What would FBI know or you are not even aware of their limitations or jurisdiction for that matter. I am starting to think am in the wrong forum.

No sir, you're in the right forum at right time with right info.
You have a lot to share with an audience bigger than an individual so to speak

First of all, I'm aware of the jurisdictions of CIA and FBI. But, I'm also aware that apart from handling domestic intelligence, the FBI also has offices overseas which helps in gathering information.

Secondly, Pres. Obama is also aware of the different responsibilities of all US intelligence agencies.

Lets think a little bit deeper,

POTUS orders US intelligence agencies lead by James Clapper (Director of National Intelligence) to conduct the so called 'full review' of the alleged Russian hacking. Why would Pres. Obama not simply order John Brennan (Director of CIA) to do the review because according to you CIA should know better? Why include 16 other Intelligence agencies?

DNI told Congress that HIS AGENCIES (17) does NOT have 'good insight' into a direct link between WikiLeaks and the emails supposedly hacked by a Russian operation from Democrats and the Hillary Clinton campaign. What do you make out of his statements?
 
Nguruvi3, Trump ndiye Rais mteule wa Marekani lakini, pamoja na madoa yanayomkosesha usingizi kama hayo uliyoyataja, hili la popular votes pia linamkera kweli kweli. Angekuwa ameshinda na kwenye hili watu wangemkoma lakini sasa anaanza kuyaona matatizo huko mbele ya safari. Tayari imani kwa wale waliokuwa wakitegemea mabadiliko kama alivyojinadi inaanza kupungua kadiri anavyoendelea kufanya teuzi zake.

Latest Popular votes update...
  • Hillary Clinton: 65,737,041.....48.08%
  • Donald trump: 62,896,704......46.00%
  • The difference: 2,841,337.......2.08%
Hata kama wako wanaopuuzia tofauti hii lakini inampunguzia Trump uhalali wa kudai kapewa mandate na Wamarekani walio wengi. Tayari wapo wanaoanza kuamini tuhuma zinazoelekezwa kwa Urusi kuingilia mchakato wa uchaguzi na pengine kuwa na mkono katika ushindi wa Trump. Trump aliyeapa kwamba akishindwa hatakubali hadi uthibitisho upatikane kwamba hapakuwepo na faulo katika ngazi zote za mchakato.
Yaani matokeo ya popular votes yamkoseshe usingizi na kumkera Trump ambaye yupo busy kuteua watu katika serikali yake? Trump alichokifanya ni kuanzisha mazungumzo na amewaachia wananchi wajadiliane ndio maana hazungumzii tena mambo ya popular votes.

Trump anajua kuwa counties zenye watu wengi ndizo zilimpa Hillary kura nyingi na ndio maana amekuwa akisisitiza umuhimu wa Electoral College. Kuna counties 3,144 na Trump ameshinda counties 2,600+ (sawa na 83%) wakati Hillary akishinda counties kama 500 (sawa na 15%).

Ukitazama county map utaona namna EC inavyofanya popular vote kutokuwa na maana yeyote.

Cx-XosCVIAARD2N.jpg

Rais Obama alishinda 22% ya counties na Hillary alishinda 15% ya counties, hii inaonesha kuwa Rais Obama na Hillary walitegemea zaidi counties zenye idadi kubwa ya watu ili kushinda.

Hillary alishinda counties 8 tu kati ya 36 za Oregon, akashinda counties 2 tu kati ya 16 za Nevada, akashinda counties 12 tu kati ya 39 za Washington n.k.

Hillary ameshinda States 20 tu na anaonekana kuongoza kwenye popular vote na suppoters wake wanadhani mgombea wao alikubalika zaidi ya Trump ambaye ameshinda States 30. Kwa mara nyingine, Electoral College imefanikiwa kuzuia counties chache zenye watu wengi kumchagua Rais wa US..
 
GAV RICKY PERRY

Baada ya uteuzi wa SoS Rex Tillerson, mjadala mzito umezuka kuhusiana naye
Sehemu kubwa ya mjadala ni mahusiano ya Rex na Putin/Russia

Kutangazwa kwake kumehitimisha nafasi ya Mitt Romney aliyemnanga sana Trump kabla hawajabadilika kuwa washirika kuelekea SoS

Kutangazwa kwa Tillerson hakukuwa na mbwembwe kama ilivyotarajiwa
Hili ni kuhakikisha hakuna maudhi kwa the estab au loyalist

Badala yake habari hii imefunikwa na habari nyingine kuua mjadala wa Rex

Trump kamteua Gav wa Texas kuwa Sec of Energy.

Perry amegombea mara mbili na zote akishindwa kuvuka hatua ya '5 bora'

Wakati huo huo Trump ameonekana na Kanye West, mwanamuziki mweusi mwenye utata
Haitegemewi Kanye kuwa na nafasi yoyote katika serikali. Kinachotokea ni vitu viwili

Kwanza, kutangazwa kwa Perry na Kanye siku alipotangaza SoS , mtu muhimu sana ililenga kuua mjadala wa SoS Tillerson na utata unaomzunguka

Pili, kuonekana na Kanye west ni kuonyesha Trump anajali weusi kuondoa tuhuma dhidi yake ikizingatiwa amezungukwa na wenye utata kama Bainnon, Seccessions na Gen Flynn

Mbinu za kuhamisha mjadala ni nzuri zinampa nafasi ya kutokuwa na distractions

Tatizo, mbinu hizo ni za muda mfupi na hazitoi suluhu ya kudumu

Kwa mfano, Tillerson atapitia senate kupata confirmations, mjadala utaibuka tena

Au, itakapotokea msigashano uwe unaohusu alt right au black live matters itabadi asimame kama Rais, na ni ngumu kuwa sehemu mbili kwa wakati mmoja.

Tusemezane
 
PE Trump's Great and Historic Cabinet so far:

(1) State: Rex Tillerson, 64

Chairman and CEO of ExxonMobil (world's largest energy company).

He has broad experience, has mastered complex negotiations and has deep understanding of geopolitics.

He has built close relationships with many world leaders by closing massive deals across Eurasia and the Middle East on behalf of ExxonMobil.

He signals a desire to ease Washington’s estrangement with Russia.

Trump promised smart deals for US and significant change of US foreign policy against many countries.​

(2) Treasury: Steven Mnuchin, 53

An entrepreneur (launched Dune Capital Management), a Wall Street investor(was a partner at Goldman Sachs) and a Hollywood producer.

Has deep understanding of finance and markets,

Served as the Trump campaign’s national finance chairman,

He has been in favour of lowering taxes and lifting regulations which are key policies Trump promised to enforce.​

(3) Defense: James Mattis "mad dog", 66

A retired four star Marine general, Mattis commanded US forces in the Middle East and Southwest Asia from 2010 to 2013.

He has particular interest on challenges posed by Iran.

He would have to get a congressional waiver from a law that bars generals from serving as defense secretary for seven years after leaving active duty.

Trump promised peace through strength and make the country strong again.​

(4) Attorney General (Justice): Jeff Sessions, 69

Former Alabama Attorney General

He has been tough on illegal immigration.

He is expected to restore integrity of the office of the AG and improve race relations.

Sessions is an advocate of 'law and order' just like Trump.​

(5) Homeland Security: John Kelly, 66

The retired Marine general most recently led the US Southern Command, which covers US military operations in Central and South America.

He is expected to be very tough on illegal immigration and the illicit drugs trade.

Trump promised to end illegal immigration and remove the drug cartels and criminal gangs from the streets to make the country safe again.​

(6) Commerce: Wilbur Ross, 79

Private equity firm owner and billionaire, Ross is best known for buying failing steel and coal firms and selling them for profit.

He was once known as the "king of bankruptcy" for his history of investing in such businesses.

Trump has promised to revive the steel industry and put miners back to work.​

(7) Education: Betsy DeVos, 58

A wealthy activist and a champion of alternatives to local government schools.

Advocates the use of tax credits and vouchers to allow parents to opt out of the public school system.

Trump promised to bring education local and allow for school choice.​

(8) Health and Human Services: Tom Price, 62

The Georgia lawmaker and former orthopedic surgeon.

He is a robust critic of Pres. Barack Obama's signature health care reform law, the Affordable Care Act.

Trump promised to repeal and replace ObamaCare.​

(9) Housing and Urban Development: Ben Carson, 65

The retired neurosurgeon and onetime rival to Trump for the Republican presidential nomination.

He is so far the only African American named to Trump's cabinet.

He will be tasked with turning around America's troubled inner cities.

Trump promised to rebuild US inner cities.​

(10) Labor: Andrew Puzder, 66

The chief executive of CKE Restaurants, which owns fast food chains Carl's Jr and Hardee's.

He believes in raising the minimum wage to a level that doesn't cost jobs.

He knows how to create jobs.

Trump promised to create millions of jobs including bringing back jobs that have been shifted abroad.​

(11) Transportation: Elaine Chao, 63

The Taiwan-born former US labor secretary under president George W. Bush and served as the deputy secretary of transportation in his administration.

She was the first Asian-American woman to serve in the cabinet.

Trump promised to rebuild American infrastructure.​

(12) Energy: Rick Perry, 66

The former Texas governor is a strong critic of the energy department.

A US Air Force veteran.

Perry publicly supports the proposed 1,172-mile underground Dakota Access Pipeline.

Obama administration blocked the Dakota Access Pipeline easement through Lake Oahe. The incoming Trump administration has said it will review the decision.

Mr. Trump said he would intervene if the matter is not resolved before he is inaugurated.

Mr. Trump and Perry also support 1,179-mile Keystone XL pipeline from Canada to Nebraska.

Mr. Trump promised to grow the extractive industry including shale oil and gas and clean coal to create millions of high paying jobs and make the country energy independent.​

- Top positions with Cabinet-rank status -

Ambassador to the United Nations: Nikki Haley, 44

White House Chief of Staff: Reince Priebus, 44

Environmental Protection Agency: Scott Pruitt, 48

He has been critical of EPA for several years.

He is expected to lead an effort to slash stifling environmental regulations that makes it harder to do business in the US.​

Small Business Administration: Linda McMahon, 68

- Non-cabinet positions -

Chief Strategist: Steve Bannon, 63

He assisted Mr. Trump to win the election.

He is a patriot, skillful and a great advisor.​

National Security Advisor: Michael Flynn, 57

CIA Director: Mike Pompeo, 52

He has been critical of the CIA in the House Intelligence commitee.

A strident critic of the Iran nuclear deal.

He is expected to bring back the integrity of the CIA.​

White House Counsel: Donald McGahn, late 40s

Other cabinet positions still open: Agriculture, Interior, Veterans Affairs
 
Back
Top Bottom