Tatizo ni elimu kwa wananchi wetuPunguza unafiki. Watu wanalimwa riasi 16 unadai upinzani haupo serious?. Wewe ndio haupo serious.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ni elimu kwa wananchi wetuPunguza unafiki. Watu wanalimwa riasi 16 unadai upinzani haupo serious?. Wewe ndio haupo serious.
Maji ni hujuma gani ilifanywa!?Kuna hujuma zilizofanywa kuna kifaa kiliibwa mahali ndiyo kuleta shida ya umeme
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
24 Mei 2023Maji ni hujuma gani ilifanywa!?
Ukosefu wa ajira ni hujuma gani!?
Gharama za maisha kupanda!?
Usalama uliopungua kwa kiasi kikubwa
Kwa kifupi ANC imeonesha madhaifu ya kuongoza kama ilivyo kwa mataifa mengine mengi chini ya jangwa la sahara
Naunga mkono hoja ! Hata CCM watang'oka hapo Kwa mbinde.Kinachomuweka ANC juu ni historia ya ukombozi SA nje ya hapo Hana jipya. Miaka Ishirini ijayo ANC itatolewa madarakani maana kundi kubwa la vijana halitaijua hiyo Historiaa.
Au kama asingekuwa na makandokando mengine yaliyomwandama (kama Trump).Zuma angekuwa bado kijana angeisumbua sana anc
Ni kweli imeishiwa pumzi ni bora ipumzike.Maji ni hujuma gani ilifanywa!?
Ukosefu wa ajira ni hujuma gani!?
Gharama za maisha kupanda!?
Usalama uliopungua kwa kiasi kikubwa
Kwa kifupi ANC imeonesha madhaifu ya kuongoza kama ilivyo kwa mataifa mengine mengi chini ya jangwa la sahara
Wawape Makaburu uongozi muhula mmoja waone tofauti. Sasa wame aminiwa ila wanaipeleka Afrika kusini kwenye umasikini.24 Mei 2023
Afrika Kusini inaelekea katika majira ya baridi kali huku kukiwa na matarajio ya kukatika kwa umeme kwa kiwango kikubwa kuwahi kutokea hadi saa 16 kwa siku. Chanzo cha tatizo hilo ni usimamizi mbovu, rushwa na hujuma.
Alhamis moja alasiri, Novemba mwaka jana, mkandarasi wa matengenezo alifikisha mkono wake chini kwenye shimo kubwa kwenye kituo cha umeme kikuukuu nchini Afrika Kusini.
Ilimchukua mwanaume huyo sekunde chache tu kufungua plagi ya chuma, ndogo kuliko kikombe cha kahawa.
Aliposogea mbali na eneo lile, mafuta ya kulainisha yenye thamani yalianza kuchuruzika haraka kutoka ndani ya shimo hilo. chembe za chuma zilizokuwa ndani zilipasha joto kupita kiasi na baada ya muda kinu cha makaa ya mawe, na kwa hiyo moja ya mitambo minane ya kituo hicho, ilisimama ghafla na kwa gharama kubwa.
MATANGAZO
Ikiwa unatazamia kuelewa mapambano ya sasa ya Afrika Kusini - kuongezeka kwa viwango vya uhalifu na ukosefu wa ajira, ukosefu wake wa usawa na uchumi uliodumaa, ufisadi wake usiokoma na kukatika kwa umeme, na mwelekeo wake mpana kuelekea kile ambacho wengine wanahofia kinaweza kuwa "taifa la majambazi" au hata " taifa lililoshindwa" basi kitendo hiki kimoja cha hujuma ya viwanda, kwenye kituo cha kuzalisha umeme kwa makaa ya mawe kwenye nyanda za juu mashariki mwa Johannesburg, ni mahali pazuri pa kuanzia.
Anayedaiwa kuhujumu, Simon Shongwe, 43, alikuwa akifanya kazi kama mkandarasi mdogo huko Camden - kiwanda ambacho kilijengwa miaka ya 1960, kilicholipuliwa na wanaharakati wa kupinga ubaguzi wa rangi katika miaka ya 1980, kilichopigwa na nondo katika miaka ya 1990, na hivi karibuni kutolewa nje. kustaafu ili kusaidia nchi ambayo sasa inapambana kuweka taa.
Kuna nadharia kadhaa kuhusu hujuma inayodaiwa.
Inaweza kuwa imeundwa kuvunja kinu cha makaa ya mawe ili kuwezesha kampuni ya ukarabati wa kifisadi kuja kurekebisha kwa gharama ya juu.
Huenda ilifanyika kama njia ya kutishia usimamizi wa Camden ili kukubali kandarasi nyingine mbovu.
Au inaweza kuwa sehemu ya njama pana za kisiasa za kuharibu miundombinu ya nishati ya Afrika Kusini na kudhoofisha serikali ya ANC inayozidi kuonekana kuyumba baada ya takribani miongo mitatu madarakani.
Kilicho hakika ni kwamba hujuma katika kitengo cha 4 halikuwa tukio la pekee.
Badala yake, kilikuwa kitendo kimoja kidogo katika biashara kubwa ya uhalifu, inayoendelea, na yenye mafanikio makubwa ambayo inahusisha mauaji, sumu, moto, wizi wa kebo, magenge katili na wanasiasa wenye nguvu.
Ni biashara ambayo inahatarisha kuharibu majaribio ya kimataifa ya kuiondoa Afrika Kusini kutoka kwa utegemezi wake wa makaa ya mawe na kuelekea vyanzo vya nishati mbadala.
Katika kipindi cha muongo mmoja uliopita imeleta shirika la umeme la umma la Afrika Kusini ambalo lilikuwa la hadhi ya kimataifa, Eskom, kwenye ukingo wa kuporomoka na kuacha nyumba nyingi nchini humo gizani kwa saa nyingi kila siku.
[https://ichef-bbci-co-uk]
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Ila kwa siasa linajua mkuu. Lina jiamini na lina ushawishi sana hasa kwa Wazulu wenzake.Upuzi sana, hilo Zuma lifisadi na libakaji bado linakubalika, siasa za Afrika hovyo sana.
Leo Jumapili ndio watatangaza matokeo ya jumla nadhani itabidi kuwe na coalition government.Kwan Kwa matokeo haya wataenda Kwa second run off?
Upo jimbo gani huko mkuu, naona una details sana kuhusu SA..?Maji ni hujuma gani ilifanywa!?
Ukosefu wa ajira ni hujuma gani!?
Gharama za maisha kupanda!?
Usalama uliopungua kwa kiasi kikubwa
Kwa kifupi ANC imeonesha madhaifu ya kuongoza kama ilivyo kwa mataifa mengine mengi chini ya jangwa la sahara
Ndio elimu bado ni changamoto haija tukomboa.Tatizo ni elimu kwa wananchi wetu
Hata Trump anakubalika pamoja na jinai zake na kashfa zake. Mapenzi na chuki ni vitu vibaya sana.Upuzi sana, hilo Zuma lifisadi na libakaji bado linakubalika, siasa za Afrika hovyo sana.
Wakuu mliopo huko bondeni endeleeni kutupa taarifa za matukio yanayo endelea huko. Pia kama Watanzania mjuliane hali kujua usalama wa kila mtu. Kwa sababu hao Wazulu wanaweza kuingia barabara mda si mrefu wakiona mambo haya eleweki kwenye utangazaji wa matokeo.24 Mei 2023
Afrika Kusini inaelekea katika majira ya baridi kali huku kukiwa na matarajio ya kukatika kwa umeme kwa kiwango kikubwa kuwahi kutokea hadi saa 16 kwa siku. Chanzo cha tatizo hilo ni usimamizi mbovu, rushwa na hujuma.
Alhamis moja alasiri, Novemba mwaka jana, mkandarasi wa matengenezo alifikisha mkono wake chini kwenye shimo kubwa kwenye kituo cha umeme kikuukuu nchini Afrika Kusini.
Ilimchukua mwanaume huyo sekunde chache tu kufungua plagi ya chuma, ndogo kuliko kikombe cha kahawa.
Aliposogea mbali na eneo lile, mafuta ya kulainisha yenye thamani yalianza kuchuruzika haraka kutoka ndani ya shimo hilo. chembe za chuma zilizokuwa ndani zilipasha joto kupita kiasi na baada ya muda kinu cha makaa ya mawe, na kwa hiyo moja ya mitambo minane ya kituo hicho, ilisimama ghafla na kwa gharama kubwa.
MATANGAZO
Ikiwa unatazamia kuelewa mapambano ya sasa ya Afrika Kusini - kuongezeka kwa viwango vya uhalifu na ukosefu wa ajira, ukosefu wake wa usawa na uchumi uliodumaa, ufisadi wake usiokoma na kukatika kwa umeme, na mwelekeo wake mpana kuelekea kile ambacho wengine wanahofia kinaweza kuwa "taifa la majambazi" au hata " taifa lililoshindwa" basi kitendo hiki kimoja cha hujuma ya viwanda, kwenye kituo cha kuzalisha umeme kwa makaa ya mawe kwenye nyanda za juu mashariki mwa Johannesburg, ni mahali pazuri pa kuanzia.
Anayedaiwa kuhujumu, Simon Shongwe, 43, alikuwa akifanya kazi kama mkandarasi mdogo huko Camden - kiwanda ambacho kilijengwa miaka ya 1960, kilicholipuliwa na wanaharakati wa kupinga ubaguzi wa rangi katika miaka ya 1980, kilichopigwa na nondo katika miaka ya 1990, na hivi karibuni kutolewa nje. kustaafu ili kusaidia nchi ambayo sasa inapambana kuweka taa.
Kuna nadharia kadhaa kuhusu hujuma inayodaiwa.
Inaweza kuwa imeundwa kuvunja kinu cha makaa ya mawe ili kuwezesha kampuni ya ukarabati wa kifisadi kuja kurekebisha kwa gharama ya juu.
Huenda ilifanyika kama njia ya kutishia usimamizi wa Camden ili kukubali kandarasi nyingine mbovu.
Au inaweza kuwa sehemu ya njama pana za kisiasa za kuharibu miundombinu ya nishati ya Afrika Kusini na kudhoofisha serikali ya ANC inayozidi kuonekana kuyumba baada ya takribani miongo mitatu madarakani.
Kilicho hakika ni kwamba hujuma katika kitengo cha 4 halikuwa tukio la pekee.
Badala yake, kilikuwa kitendo kimoja kidogo katika biashara kubwa ya uhalifu, inayoendelea, na yenye mafanikio makubwa ambayo inahusisha mauaji, sumu, moto, wizi wa kebo, magenge katili na wanasiasa wenye nguvu.
Ni biashara ambayo inahatarisha kuharibu majaribio ya kimataifa ya kuiondoa Afrika Kusini kutoka kwa utegemezi wake wa makaa ya mawe na kuelekea vyanzo vya nishati mbadala.
Katika kipindi cha muongo mmoja uliopita imeleta shirika la umeme la umma la Afrika Kusini ambalo lilikuwa la hadhi ya kimataifa, Eskom, kwenye ukingo wa kuporomoka na kuacha nyumba nyingi nchini humo gizani kwa saa nyingi kila siku.
[https://ichef-bbci-co-uk]
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Kabisa Tramph ataleta ushindani mkubwa sana na anaweza kushinda. Watu wana angalia mtu ambaye ana uzalendo na utaifa hasa kujali wazawa. Kuhusu ufisadi hata Cyril Ramaphosa anafanya sana hana tofauti kubwa na huyo Zuma.Hata Trump anakubalika pamoja na jinai zake na kashfa zake. Mapenzi na chuki ni vitu vibaya sana.
Kipendacho moyo hula nyama mbichi.
Kwani kasema DA ni ya malema?Mkuu Mtambachuo, Democratic Alliance ni chama cha wazungu na hakiongozwi na Julius Malema. Chama cha Malema ni Economic Freedom Fighters ( EFF).
Ndiyo. Alipoandika mwanzoni alisema DA inaongozwa na Malema. Nilipomrekebisha naye akarekebisha andiko lake. Tafadhali soma mchango wake aliponijibu ujionee(mchango nambari 12)Kwani kasema DA ni ya malema?