Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
- Thread starter
- #61
Na katiba ya ipo vizuri sanaKwanini ANC wanaogopa kuiba na CCM inaiba au kwasababu sisi Watanzania ni Mambumbumbu?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na katiba ya ipo vizuri sanaKwanini ANC wanaogopa kuiba na CCM inaiba au kwasababu sisi Watanzania ni Mambumbumbu?!
Alikuwa vizur ila alijikanyaga majuzi hapa kuhusu sera ya chama hikoMalema na EFF yake wameshika nafasi ya 4 kwa asilimia 9%
Mjinga aelimishwe CCM itoke Watanganyika wapate Uhuru.Kuna mjinga amesema wakitoka wao CCM nchi itatikisika.Bogus sana!
Sawa sawa mkuu, kwa elimu nzuriCCM wanaiba kura kwa urahisi kutokana na vyombo vya ulinzi na usalama kuwa tawi la ccm pia tume ya uchaguzi ni tawi la ccm na mahakama ni tawi la ccm. Hao wanageuza kura kiulaini mno kwa kuwa ccm mikono yao inageuzageuza kura kiulaini.
Anc walivyopewa nchi na makaburu kuna maeneo na vitengo kadhaa hawakufanikiwa (hawakuruhusiwa) kutia mikono yao. Kama masuala ya ardhi(mpaka leo makaburu wanamiliki ardhi), mfumo wa mahakama(ndio maana marais wanapelekwa mahakamani),ishu za uchaguzi (ndio maana anc wanapoteza uchaguzi)
Hali ngumu ya kiuchumi na ukosefu wa ajira ni changamoto mno. Hizo changamoto ndio zimesababisha Anc kupoteza nguvu. Hata 2025 kama vijana wakipiga kura upinzani na pasipokuwa na wizi wa kura ccm inaweza ikatoka madarakani mwaka 2025.Kabisa suala la ukosefu wa ajira kwa vijana ni jambo kubwa sana.
Okey sera zipi hasa?Alikuwa vizur ila alijikanyaga majuzi hapa kuhusu sera ya chama hiko
Kwa upinzani upi mkuu,hapa kwetu upinzani aupo serioisHapa kwetu fair play ikifanyika uchaguzi mkuu ujao, ccm itapoteza majimbo mengi haijawahi kutokea.
Labda CCM imeguke mtu/watu wenye ushawishi watoke CCM waje kugombea upinzani.Usitegemee chochote kwa hawa akina lissu, mbowe,zitto nk hawana jipya ni wafurahisha genge tu ni ukweli mchungu lakini hakuna namnaKizazi kipya cha vijana wapigakura ndio maana anc wanapoteza ushawishi. Hao vijana ndio wanapitia magumu na ukosefu wa ajira. Lazima kizazi kipya kichague chama kingine.
Hata uchaguzi wa 2025 utakuwa na kizazi kipya cha vijana wapigakura waliozaliwa mwaka 2007-2002 ambao hawakupiga kura mwaka 2020.
Hichi kizazi kipya kikipigia kura upinzani, na kura zikihesabiwa kwa haki bila wizi, CCM watashindwa.
CCM wanashinda kwa wizi wa kura.
CCM wanaiba kura sana. Ndio maana wanashinda.Labda CCM imeguke mtu/watu wenye ushawishi watoke CCM waje kugombea upinzani.Usitegemee chochote kwa hawa akina lissu, mbowe,zitto nk hawana jipya ni wafurahisha genge tu ni ukweli mchungu lakini hakuna namna
Sawa mkuu lakini mbona Katiba mpya wanazuia isipatikane.?Labda CCM imeguke mtu/watu wenye ushawishi watoke CCM waje kugombea upinzani.Usitegemee chochote kwa hawa akina lissu, mbowe,zitto nk hawana jipya ni wafurahisha genge tu ni ukweli mchungu lakini hakuna namna
Vichwa vyao vimechoka kama umri wa chama chao.Hawa ni wa kufukuzwa kama vichaa na makopo yao.Mbiombio!Hata wakilia,hakuna huruma kama KANU.Mjinga aelimishwe CCM itoke Watanganyika wapate Uhuru.
Labda CCM imeguke mtu/watu wenye ushawishi watoke CCM waje kugombea upinzani.Usitegemee chochote kwa hawa akina lissu, mbowe,zitto nk hawana jipya ni wafurahisha genge tu ni ukweli mchungu lakini hakuna namna
CCM kamwe haitegemei kupigiwa Kura na mtu yoyote yule ktk Uchaguzi wa Siasa hapa Tanzania ili iendelee kubaki madarakani. Hat wakipata Kura sifuri kwenye Uchaguzi, bado wagombea wao watatangazwa kuwa ni washindi katikà Uchaguzi.CCM wanaiba kura sana. Ndio maana wanashinda.
Uchaguzi ukiwa wa huru bila wizi wa kura hata hao wafurahisha genge wanatosha kuiangusha ccm vibaya mno.
"Hatushindwi" 🤣CCM kamwe haitegemei kupigiwa Kura na mtu yoyote yule ktk Uchaguzi wa Siasa hapa Tanzania ili iendelee kubaki madarakani. Hat wakipata Kura sifuri kwenye Uchaguzi, bado wagombea wao watatangazwa kuwa ni washindi katikà Uchaguzi.
Rejea Uchaguzi wa Zanzibar wa 2015 na kile alichofanya Mkuu we tume ya Uchaguzi wa huko, Bw. Jecha baada ya Maalim Seif wa CUF kupata Kura nyingi sana kumzidi Dk.Shein wa CCM.
Rais Ali Hassan Mwingi aliwahi kusema kwamba "wakati tulipokubali mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania, CCM tulihakikisha kwamba HATUSHINDWI."
NB: Fanya tafakuri ya kina ya neno 'hatushindwi.'
Ubaguzi unawaponza wasenge wale,vinajiona kama china vile.Siwapendi wajinga wale halafu dhahabu inaenda kukata Joburg yote kwa chini wameshaimalizaKi vipi yani ? na wanadai maisha yamekuwa magumu sana.
Ni kweli ubaguzi sio mzuri ila naona ni athari za kutawaliwa kipindi kile.Ubaguzi unawaponza wasenge wale,vinajiona kama china vile.Siwapendi wajinga wale halafu dhahabu inaenda kukata Joburg yote kwa chini wameshaimaliza
Believe me licha ya fair play, ccm itatikisa tu, upinzani bado hujawa serious kuonyesha unataka nini..wapo wapo tuHapa kwetu fair play ikifanyika uchaguzi mkuu ujao, ccm itapoteza majimbo mengi haijawahi kutokea.
Lakini ndugu mbona wananchi wakiomba katiba mpya na tume huru wanakataa kama wanajiamini .?Believe me licha ya fair play, ccm itatikisa tu, upinzani bado hujawa serious kuonyesha unataka nini..wapo wapo tu
UNafikiri ni kwann ccm hawatoi hiyo katika mpya??Lakini ndugu mbona wananchi wakiomba katiba mpya na tume huru wanakataa kama wanajiamini .?
Nimekuelewa vizuri sana. Kwa hiyo tafsiri ni kwamba uelewa bado ni mdogo miongoni mwa wa Tanzania. Bado elimu haija tukomboa.UNafikiri ni kwann ccm hawatoi hiyo katika mpya??
Moja ya sababu ni kwamba hakujawa na presha ya watanzania wenyewe kudai hiyo katiba mpya, laiti kama kweli watanzania wangeitaka katiba yao , hakuna namna cxm wangezuia mchakato, never. Wasingeweza. Ila sasa hii inatoa picha kuwa takwa la katiba moya wala sio concern ya wananchi (kwa wingi wao) bali ni kikundi cha watu ambao wanapopuuzwa bas wanakosa namna ya ku enforce.
Ndio maana hata mchakato wa katiba ya warioba ulipositishwa licha ya kugharim mamilion, bado hakuna hata mtanzania aliye amka kulianzisha, why?? It is not their thing at all!!.
Ndio maana vyama mbadala kama cdm vinapata wakat mgumu kwakua wanaotetewa wala hawana mpango na utetezi.
Mpaka siku watanzania waamke na akili ziwakae sawa ndio haya mambo yataonekana yana maana na hata chaguzi zitakua na maana ila kwasasa ccm wanajua wananchi % kubwa wala hawapindui kuhusu chama chao.
NATAMAN SANA UWE UMENIELEWA