Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
- Thread starter
- #41
Kabisa mkuu wangewapa nafasi mara moja wajaribu waone kwa sababu hao ANC wameshindwa.Kabisa wa SA wakiacha mara moja yale mawazo ya zamani weupe na weusi na kuweka maslahi kwa mara ya kwanza kwa Taifa mbele basi wangechagua kwa nguvu Democratic alliance hichi chama cha wazungu unaweza kusema ila na uhakika wangeirudisha SA sehemu yake inayostahili. ANC ni group la watu wenye njaa wanapokezana kula tu wenyewe kwa wenyewe.