Duterte: Sitotuma wanajeshi wangu kuisaidia Marekani kama Marekani ikijiingiza vitani Ukraine

Abu sayaf wameshinda hayo ya ukraine wapi na wapi?
 
Hivi kinachotuaminisha kua Kua Rusia ana silaha kali za Nyukilia kuliko US ni nini? Kwamba US ambaye ni nchi pekee ambayo imewahi kutumia silaha ya Nyukilia miaka ya 1945, Je, kwamba tokea kipindi hicho chote ilikua haiendelezi silaha zake. Ni nini hasa kinachowaminisha kua Rusia inaweza kuisambalatisha USA?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
marekani hawezi ingia vitani ana masilahi ya kiuuchumi - hivi una miaka mingapi kwanza mbna kama uelewa wako ni mdogo sana
 
Wanajeshi gani Bana wewe .......hivi unafikiri kikinuka SASA hivi Yule ana jeshi la maana kupigana na Russia??
Ishu hapa ni kuwa Duterte kagoma kutii mkataba wa kumsaidi Marekani kama akijiingiza.
 
Ishu hapa ni kuwa Duterte kagoma kutii mkataba wa kumsaidi Marekani kama akijiingiza.
Hapa sioni nini kinacho zungumzwa hivi marekani ni kuomba msaada Kwa durtete kweli?? Hana hata system defence moja hata ya mabati au plastic ya kutengeneza mwenyewe ............
 
Hapa sioni nini kinacho zungumzwa hivi marekani ni kuomba msaada Kwa durtete kweli?? Hana hata system defence moja hata ya mabati au plastic ya kutengeneza mwenyewe ............
Kamuulize Marekani kwa nini alisaini mkataba wa kusaidiana na Ufilipino kijeshi
 
Acha kutaja jina la inchi dhaifu........bajeti ya jeshi Dola milioni 400
Kamuulize Marekani kwa nini alisaini mkataba wa kulindana kijeshi na Ufilipino

 
Huu ni ufala WA zilipendwa
 
Ndio maana pamoja na Ukrane kuchapika lakini Marekani analazimisha waendelee kukomaa, maana Ukrane ikisalimu amri ya Urusi ni aibu na kushindwa kwa Marekani...Dunia nzima itamwona USA hana lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…