Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mziki wa US sio wa kitoto broh,
marekani hawezi ingia vitani ana masilahi ya kiuuchumi - hivi una miaka mingapi kwanza mbna kama uelewa wako ni mdogo sanaKwa sababu Marekani alikua anapigana na vi nchi dhaifu kama Iraq,Somalia na vikundi kama Taliban,Al qaeda.hivyo hakua katika hatari ya kuzidiwa.
Lakini Sasa kama USA atajaribu kuiingiza jeshi kukabiliana na Urusi Hali yake itakua dhofuli Hali.
Na hilio ndio Dutertte ndio hataki kujiingiza katika janga la kumsaidia USA maana a ajua TU huko mbele Kuna kuombwa msaada na USA.
Kwa kifupi Dutertte kashasoma mchezo,
Kaweka akina ya maneno kabisa kuwa kama USA akijiingiza yeye Dutertte hayumo.hataki maneno.
Wanajeshi gani Bana wewe .......hivi unafikiri kikinuka SASA hivi Yule ana jeshi la maana kupigana na Russia??Kamuulize Marekani ambaye aliiomba Ufilipino waingie nae mkataba wa kusaidiana kijeshi.
View attachment 2155888
Ishu hapa ni kuwa Duterte kagoma kutii mkataba wa kumsaidi Marekani kama akijiingiza.Wanajeshi gani Bana wewe .......hivi unafikiri kikinuka SASA hivi Yule ana jeshi la maana kupigana na Russia??
Hapa sioni nini kinacho zungumzwa hivi marekani ni kuomba msaada Kwa durtete kweli?? Hana hata system defence moja hata ya mabati au plastic ya kutengeneza mwenyewe ............Ishu hapa ni kuwa Duterte kagoma kutii mkataba wa kumsaidi Marekani kama akijiingiza.
Kamuulize Marekani kwa nini alisaini mkataba wa kusaidiana na Ufilipino kijeshiHapa sioni nini kinacho zungumzwa hivi marekani ni kuomba msaada Kwa durtete kweli?? Hana hata system defence moja hata ya mabati au plastic ya kutengeneza mwenyewe ............
Acha kutaja jina la inchi dhaifu........bajeti ya jeshi Dola milioni 400Kamuulize Marekani kwa nini alisaini mkataba wa kusaidiana na Ufilipino kijeshi
Kamuulize Marekani kwa nini alisaini mkataba wa kulindana kijeshi na UfilipinoAcha kutaja jina la inchi dhaifu........bajeti ya jeshi Dola milioni 400
Huu ni ufala WA zilipendwaKamuulize Marekani kwa nini alisaini mkataba wa kulindana kijeshi na Ufilipino
![]()
Mutual Defense Treaty between the Republic of the Philippines and the United States of America, August 30, 1951 | GOVPH
The Agreement was concurred in by the Senate, S.R. No. 84, May 12, 1952. The Philippine instrument of ratification was signed by the President, August 27, 1952. The Agreement entered into force, August 27, 1952 upon the exchange of ratification between the Parties. It was proclaimed by the...www.officialgazette.gov.ph
Ndio maana pamoja na Ukrane kuchapika lakini Marekani analazimisha waendelee kukomaa, maana Ukrane ikisalimu amri ya Urusi ni aibu na kushindwa kwa Marekani...Dunia nzima itamwona USA hana lolote.Huo ndio Ukweli wenyewe.
Na baada ya vita hii,mifumo mingi sana ya kidunia itabadilika.
Putin kamchapa mtoto mbele ya baba yake na kaka zake nyumbani kwao Huku wakubwa zake mtoto huyo wakiangalia TU bila kumsaidia.
Kibaya zaidi mtoto analia na anaomba msaada kwa uchungu na maumivu wanamwngalia TU,yaani hata majirani wanatazama wakiwa madirishani bila msaada wowote.
Da inasikitisha sana aisee.