Duterte: Sitotuma wanajeshi wangu kuisaidia Marekani kama Marekani ikijiingiza vitani Ukraine

Duterte: Sitotuma wanajeshi wangu kuisaidia Marekani kama Marekani ikijiingiza vitani Ukraine

Hivi kinachotuaminisha kua Kua Rusia ana silaha kali za Nyukilia kuliko US ni nini? Kwamba US ambaye ni nchi pekee ambayo imewahi kutumia silaha ya Nyukilia miaka ya 1945, Je, kwamba tokea kipindi hicho chote ilikua haiendelezi silaha zake. Ni nini hasa kinachowaminisha kua Rusia inaweza kuisambalatisha USA?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kwa sababu Marekani alikua anapigana na vi nchi dhaifu kama Iraq,Somalia na vikundi kama Taliban,Al qaeda.hivyo hakua katika hatari ya kuzidiwa.
Lakini Sasa kama USA atajaribu kuiingiza jeshi kukabiliana na Urusi Hali yake itakua dhofuli Hali.
Na hilio ndio Dutertte ndio hataki kujiingiza katika janga la kumsaidia USA maana a ajua TU huko mbele Kuna kuombwa msaada na USA.
Kwa kifupi Dutertte kashasoma mchezo,
Kaweka akina ya maneno kabisa kuwa kama USA akijiingiza yeye Dutertte hayumo.hataki maneno.
marekani hawezi ingia vitani ana masilahi ya kiuuchumi - hivi una miaka mingapi kwanza mbna kama uelewa wako ni mdogo sana
 
Ishu hapa ni kuwa Duterte kagoma kutii mkataba wa kumsaidi Marekani kama akijiingiza.
Hapa sioni nini kinacho zungumzwa hivi marekani ni kuomba msaada Kwa durtete kweli?? Hana hata system defence moja hata ya mabati au plastic ya kutengeneza mwenyewe ............
 
Hapa sioni nini kinacho zungumzwa hivi marekani ni kuomba msaada Kwa durtete kweli?? Hana hata system defence moja hata ya mabati au plastic ya kutengeneza mwenyewe ............
Kamuulize Marekani kwa nini alisaini mkataba wa kusaidiana na Ufilipino kijeshi
 
Acha kutaja jina la inchi dhaifu........bajeti ya jeshi Dola milioni 400
Kamuulize Marekani kwa nini alisaini mkataba wa kulindana kijeshi na Ufilipino

 
Kamuulize Marekani kwa nini alisaini mkataba wa kulindana kijeshi na Ufilipino

Huu ni ufala WA zilipendwa
 
Huo ndio Ukweli wenyewe.
Na baada ya vita hii,mifumo mingi sana ya kidunia itabadilika.
Putin kamchapa mtoto mbele ya baba yake na kaka zake nyumbani kwao Huku wakubwa zake mtoto huyo wakiangalia TU bila kumsaidia.
Kibaya zaidi mtoto analia na anaomba msaada kwa uchungu na maumivu wanamwngalia TU,yaani hata majirani wanatazama wakiwa madirishani bila msaada wowote.
Da inasikitisha sana aisee.
Ndio maana pamoja na Ukrane kuchapika lakini Marekani analazimisha waendelee kukomaa, maana Ukrane ikisalimu amri ya Urusi ni aibu na kushindwa kwa Marekani...Dunia nzima itamwona USA hana lolote.
 
Back
Top Bottom