Arajiga kiboko ya makolo......Arajiga achezeshe derby,yaani mnachekesha balaa mtani,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbumbu hawaelewYanga hajashindwa kesi halafu mbona mnaongea vitu ambavyo hamvijui asee muwe mnauliza muambiwe
Mkuu ....wewe unaweza acha mkate then kujiuzuruKujiuzulu mtu hautekelezeki kivipi?
Ile ni Taasisi...sio mtuHuyu dogo ndiyo anawaburuza hivo kama mazuzu mnakubali tuu
Wasipo cheza fukuzia huko mbali mbona timu zipo nyingi
Au ita polisi watembeze kipigo cha mbwa koko
Jimama utamuNo Reforms No Elections. Wasitutoe kwenye reli hawa
Mlikuwa wapi siku zote.Walipe hela zetu za mwaka jana ... hatutaki kuendeshwa na busara
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Akina Mguto hawataki kuachia mkateMkuu ....wewe unaweza acha mkate then kujiuzuru
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hilo swali halina msingi.. Maana huwezi kumpangia mtu muda wa kuja kudai..Mlikuwa wapi siku zote.
Simba ndiyo chanzo cha yote haya.Hii kitu lazima mmoja hapo akubali kuumia, kama sio yanga Bali hao tff, maana naona wameamua kuonyeshana ubabe.....
Cha ajabu Simba ndo alianzisha huu upuuzi yeye sa hivi yupo kando kama hamna kitu vile
Familia ya Yanga ile,hajawahi kuchezesha mechi za Simba na ipate hata sare,yupo kwenye payrol yenu yule
Hahahaha eti Kalpana wewe ni kisugu? πππUyo ni Kisugu kavaa kinyago cha AVATAR ya Mwanamke
Nguvu ya Nguvu Moja Haina nguvu bila ya nguvu ya KARAI na wahuni wenzake.Tuliza kiwewe zuzu pori wee....hivi mnawaona Simba wametulia unawachukulia poa ee...eti kwa tarehe mtakayoamua ....sasa ndo mtajua nguvu ya Nguvu moja.
Hata ww ndo wamekuweka hapo ujue...huyo karai anakula na viongozi wako pia...the cycle is real...Nguvu ya Nguvu Moja Haina nguvu bila ya nguvu ya KARAI na wahuni wenzake.