Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Kama elfu Moja na mia Tano(1,500).Unit moja wanauza sh. ngapi?
Ooh basi ukija Dar utawalalamikia Dawasa pia na kuwaona Duwasa wana afadhali maana huku unit moja ni sh. 1679.63Kama elfu Moja na mia Tano(1,500).
Cheap sana hiyo Arusha AUWASA wanauza 1,800+Kama elfu Moja na mia Tano(1,500).
Busokelo _Mbeya,utumie ,usitumie unalipa 3,500Nchi hii hii Moja,Maji sio Anasa,Hata Musa alilalamikiwa tuu kwa ajili ya na Wana wa Israel!Ooh basi ukija Dar utawalalamikia Dawasa pia na kuwaona Duwasa wana afadhali maana huku unit moja ni sh. 1679.63
Kumbe analalamika bure tuCheap sana hiyo Arusha AUWASA wanauza 1,800+
Hayakupaswa kuwa bei juu!Walitakiwa wapige flat rate.Basi yatoke Sasa!Cheap sana hiyo Arusha AUWASA wanauza 1,800+
Bei ya unit Moja shs 1525 kwa ndoo 50 lita20 yaani 50×20=1000lita kwa shs 1525Habari zenu Wana JF,Nimeishi hapa Dodoma,ingawa sio mzaliwa wa hapa nilikuwa kikazi Toka mwaka 1998 hadi Sasa.Nimekuwa nikilinganisha maisha ya mikoa mwingine kama vile Mbeya, Kilimanjaro nk.
Hapa Dodoma maisha Yako juu sana!ukichanganya na maji Yako gharama ya juu!Bill za maji hazishikiki ,maji kutoka kwenyewe ni mtihani,kila siku ni malalamiko tuu Maji sio Anasa ,maji ni uhai.
Ahsanteni.
We unaonaje?Maji hayapaswi yawe bei juu mkuu sio Anasa,pia tunavyanzo vingi vya maji.Tuwe wakweli Mkuu, tuache siasa na utani tuna ndugu wanateseka kwa ajili ya maji,usijifikilie Wewe tu,kisa una uwezo kesho na keshokutwa huna!Kumbe analalamika bure tu
Rudi mapema,toa maoni!Nitarudi
KAZI ni kipimo cha utu.
Flat rate inakuwa ngumu kwa sababu kuna mikoa mingine vyanzo vya maji ni shida kama hapo Dodoma nkHayakupaswa kuwa bei juu!Walitakiwa wapige flat rate.Basi yatoke Sasa!
Sawa ,We unaonaje?Maji hayapaswi yawe bei juu mkuu sio Anasa,pia tunavyanzo vingi vya maji.Tuwe wakweli Mkuu, tuache siasa na utani tuna ndugu wanateseka kwa ajili ya maji,usijifikilie Wewe tu,kisa una uwezo kesho na keshokutwa huna!
Ni ndogo hiyo ?!Bei ya unit Moja shs 1525 kwa ndoo 50 lita20 yaani 50×20=1000lita kwa shs 1525
Kote bei ni Hizo na ikipita unit moja watakupigia kwa 1700Kama elfu Moja na mia Tano(1,500).
Sasa hata kama ni gharama,si kwa maji,tunamapato mengi yakushusha gharama hizi.Flat rate inakuwa ngumu kwa sababu kuna mikoa mingine vyanzo vya maji ni shida kama hapo Dodoma nk
Duuh Hatari!Kote bei ni Hizo na ikipita unit moja watakupigia kwa 1700
Mkuu hadi useme bei juu umelinganisha na mkoa Gani??Habari zenu Wana JF,Nimeishi hapa Dodoma,ingawa sio mzaliwa wa hapa nilikuwa kikazi Toka mwaka 1998 hadi Sasa.Nimekuwa nikilinganisha maisha ya mikoa mwingine kama vile Mbeya, Kilimanjaro nk.
Hapa Dodoma maisha Yako juu sana!ukichanganya na maji Yako gharama ya juu!Bill za maji hazishikiki ,maji kutoka kwenyewe ni mtihani,kila siku ni malalamiko tuu Maji sio Anasa ,maji ni uhai.
Ahsanteni.