DUWASA-Dodoma punguzeni bei ya maji

DUWASA-Dodoma punguzeni bei ya maji

Kimwakaleli

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2018
Posts
7,755
Reaction score
11,737
Habari zenu Wana JF,

Nimeishi hapa Dodoma, ingawa sio mzaliwa wa hapa nilikuwa kikazi toka mwaka 1998 hadi Sasa. Nimekuwa nikilinganisha maisha ya mikoa mwingine kama vile Mbeya, Kilimanjaro nk.

Hapa Dodoma maisha yako juu sana, ukichanganya na maji yako gharama ya juu. Bill za maji hazishikiki, maji kutoka kwenyewe ni mtihani, kila siku ni malalamiko tu. Maji sio anasa, maji ni uhai.

Ahsanteni.
 
Habari zenu Wana JF,Nimeishi hapa Dodoma,ingawa sio mzaliwa wa hapa nilikuwa kikazi Toka mwaka 1998 hadi Sasa.Nimekuwa nikilinganisha maisha ya mikoa mwingine kama vile Mbeya, Kilimanjaro nk.
Hapa Dodoma maisha Yako juu sana!ukichanganya na maji Yako gharama ya juu!Bill za maji hazishikiki ,maji kutoka kwenyewe ni mtihani,kila siku ni malalamiko tuu Maji sio Anasa ,maji ni uhai.
Ahsanteni.
Bei ya unit Moja shs 1525 kwa ndoo 50 lita20 yaani 50×20=1000lita kwa shs 1525
 
Kumbe analalamika bure tu
We unaonaje?Maji hayapaswi yawe bei juu mkuu sio Anasa,pia tunavyanzo vingi vya maji.Tuwe wakweli Mkuu, tuache siasa na utani tuna ndugu wanateseka kwa ajili ya maji,usijifikilie Wewe tu,kisa una uwezo kesho na keshokutwa huna!
 
Habari zenu Wana JF,Nimeishi hapa Dodoma,ingawa sio mzaliwa wa hapa nilikuwa kikazi Toka mwaka 1998 hadi Sasa.Nimekuwa nikilinganisha maisha ya mikoa mwingine kama vile Mbeya, Kilimanjaro nk.
Hapa Dodoma maisha Yako juu sana!ukichanganya na maji Yako gharama ya juu!Bill za maji hazishikiki ,maji kutoka kwenyewe ni mtihani,kila siku ni malalamiko tuu Maji sio Anasa ,maji ni uhai.
Ahsanteni.
Mkuu hadi useme bei juu umelinganisha na mkoa Gani??
 
Back
Top Bottom