Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Habari zenu Wana JF,
Nimeishi hapa Dodoma, ingawa sio mzaliwa wa hapa nilikuwa kikazi toka mwaka 1998 hadi Sasa. Nimekuwa nikilinganisha maisha ya mikoa mwingine kama vile Mbeya, Kilimanjaro nk.
Hapa Dodoma maisha yako juu sana, ukichanganya na maji yako gharama ya juu. Bill za maji hazishikiki, maji kutoka kwenyewe ni mtihani, kila siku ni malalamiko tu. Maji sio anasa, maji ni uhai.
Ahsanteni.