Taarifa sahihi zinapatikana dvprogram.state.govSi walisema ni free? Au umetumia link tofauti
Mkuu nani huyo?Umeshapigwa na matapeli
Wewe ni Tanzania.Nani alisema naweza? Na hii statement imetokea wapi? Au ulikuwa unachangia uzi mwingine ukapost huku bahati mbaya?
Kwani huwezi kuuza nje ya nchi hadi uwe raia wa nchi husika? Umewahi kusikia kitu kinaitwa AGOA?ukipata uraia chukua fursa rudi bongo lima kauze marekani
Mimi ni Francis, hili swali lina uhusiano gani na mjadala huu? Au unacomment uzi mwingine huku kimakosa?Wewe ni Tanzania.
We jamaa tangu jana nimekwambia, acha kuharibu thread za watu. Hii thread imewekwa kama taarifa. Hakuna mahali mleta uzi kauliza swali au kuomba ushauri.Mimi ni Francis, hili swali lina uhusiano gani na mjadala huu? Au unacomment uzi mwingine huku kimakosa?
mkuu wewe ulicheza ukapata? au kuna uliowachezea wakapata?TAARIFA MPYA
DV-2023 PROGRAM INAANZA RASMI KUCHEZWA TAREHE 6/10/2021,
MWISHO NI TAREHE 9/11/2021.
JIANDAE MAPEMA NA CHEZA MAPEMA.
HAISHAURIWI KUSUBIRIA TAREHE ZA MWISHONI.
KWA MASWALI AU MSAADA/ USHAURI BURE NIPIGIE SIMU WAKATI WOWOTE.
ANGALIZO:
IWAPO UTANIHITAJI KWA MAJADILIANO/KUKUTANA ANA KWA ANA NAMI AU KUCHEZEWA/KUJAZIWA FOMU KWENYE MTANDAO,
ITAKUGHARIMU WEWE KUFIDIA MUDA WANGU,- KIUNGWANA.
SIMU/WHATSAPP: +255 714 59 15 48.
UZI ni huu huu,namaanisha nchi haina uchumi kama wa hiyo nchi inayotoa bahati nasibu.Mimi ni Francis, hili swali lina uhusiano gani na mjadala huu? Au unacomment uzi mwingine huku kimakosa?
Lengo la Uzi wangu huu ilikuwa kutoa taarifa na kila anaejua itamhusu apambane kivyake kudodosa taarifa zaidi ili ajiandae kikamilifu na mapema iwapo alikuwa analo lengo la kushiriki.Alicholeta jukwaani kinaitwa ‘mada’, na unapoichangia ‘mada’ kama unavyofanya wewe tunaita ni ‘mjadala’ unafanya. Kima ndio nini?
Mkuu achana na huyo punguani, vipi hii form ni vizuri kuijaza kwa Capital letters au small letters.Lengo la Uzi wangu huu ilikuwa kutoa taarifa na kila anaejua itamhusu apambane kivyake kudodosa taarifa zaidi ili ajiandae kikamilifu na mapema iwapo alikuwa analo lengo la kushiriki.
Hakipo cha kujadili.
Na ndio maana nikasema ukihitaji nakutumia pdf ukiongezee ufahamu wewe mwenyewe.
Hiyo pdf sijaiandaa mimi na wala Mimi si mjuzi kupita waandaaji wake:
Iqrah (Soma):
dvprogram.state.gov
Sijui naeleweka?
Wewe ukisema hatuwezi, na mimi nikisema tunaweza, tutafika mwisho kweli?, toa contendable arguements kubeba hicho unachokisema, na sio mitazamo inayoelewa hewani. Mfano naamini Tanzania tunaweza sababu ya rasilimali zilizopo zinazosubiri kuanza kuvunwa, moja wapo ni Bwawa la Nyerere nk.UZI ni huu huu,namaanisha nchi haina uchumi kama wa hiyo nchi inayotoa bahati nasibu.
pia kutunia mbinu zao kama taifa hatuwezi sisi wategemea misaada.
Hiki ulichopost ndio mjadala ndani ya mada, ukitaka usiwe mjadala itabidi ufute comment zote, ubakize mada uliyoleta tu. Tuendelee kujadili au unafunga mjadala? Its up to you.Lengo la Uzi wangu huu ilikuwa kutoa taarifa na kila anaejua itamhusu apambane kivyake kudodosa taarifa zaidi ili ajiandae kikamilifu na mapema iwapo alikuwa analo lengo la kushiriki.
Hakipo cha kujadili.
Na ndio maana nikasema ukihitaji nakutumia pdf ukiongezee ufahamu wewe mwenyewe.
Hiyo pdf sijaiandaa mimi na wala Mimi si mjuzi kupita waandaaji wake:
Iqrah (Soma):
dvprogram.state.gov
Sijui naeleweka?
Nisivyokuwa muelewa , ulichokiandika hapa ningekianzishia Uzi wake mahsusi.Wewe ukisema hatuwezi, na mimi nikisema tunaweza, tutafika mwisho kweli?, toa contendable arguements kubeba hicho unachokisema, na sio mitazamo inayoelewa hewani. Mfano naamini Tanzania tunaweza sababu ya rasilimali zilizopo zinazosubiri kuanza kuvunwa, moja wapo ni Bwawa la Nyerere nk.
Mijadala unaitengeneza wewe ndani ya taarifa.Hiki ulichopost ndio mjadala ndani ya mada, ukitaka usiwe mjadala itabidi ufute comment zote, ubakize mada uliyoleta tu. Tuendelee kujadili au unafunga mjadala? Its up to you.
Mchangia mada alisema hatuwezi kwakuwa hatuna uchumi kubwa kama wao, nami nikamjibu tunaweza na nikatoa huo mfano. Kama uelewa wako ni mdogo sina msaada juu ya hilo.Nisivyokuwa muelewa , ulichokiandika hapa ningekianzishia Uzi wake mahsusi.
Lakini kwakuwa una akili nyingi kupitiliza unakileta kwenye Uzi usiohusiana nacho na unaonekana wa ajabu🤔