Sasa ulichoandika kina uhusiano gani na demokrasia. Una utandu kwenye ubongo we chawa mwandamizi.Atapanga na ataenda,ngoja uchaguzi uishe..
Katika watu wapumbavu ni nyie Chadomo mkidhani kwamba Ulaya watawasaidia.
Sio tuu hawana hiyo jeuri lakini.pia hawako tayari kupoteza soko lao kisa nyumbu wa Chadomo.
View: https://www.instagram.com/reel/DKAJOqyIVTe/?igsh=Z21lenN4NWhoaTYy
No Reforms, No ElectionOctober is coming.
Una mtindio wa akili weweIfike mahali tuache kushobokea hizi fake news oulets
wewe ni dunderheadUna mtindio wa akili wewe
Kubaka, kuua na kutesa wanaokupinga sio ukomanndoo. Bookmark this. Huyu keshajaa ni suala la muda tu ana arrest warrant yake ICCAaa wapi huyu ni KOMANDO. Hukuona jinsi alivyowafokea wale watovu wa adabu waliotaka kuleta vurugu nchini kwetu?
KUFOKA=KUJIAMINI
Trump is double standard.Natamani hizi habari zimfikie na Trump 🤣🤣.
Maana jamaa halina simile.
Hii ni safi sana.
Wambane kila kona aishie kwenda Burundi, Msumbiji, Uganda, na jamhuri zingine za midizi kama ilivyo nchi anayoitawala.
Hakuna pa kujificha wala pa kukimbilia.
View: https://youtu.be/VgcKuwarg1I?si=DtEUKkMHS6Yd0fvW
Sawa Mkuu,hiyo arrest warrant kwanini isimuhusu mtu kama Mu7 miaka yote anadunda Tu?Kubaka, kuua na kutesa wanaokupinga sio ukomanndoo. Bookmark this. Huyu keshajaa ni suala la muda tu ana arrest warrant yake ICC
Itaanza na Samia kwanzaSawa Mkuu,hiyo arrest warrant kwanini isimuhusu mtu kama Mu7 miaka yote anadunda Tu?
Demokrasia ni nini? According to nani?Sasa ulichoandika kina uhusiano gani na demokrasia. Una utandu kwenye ubongo we chawa mwandamizi.
Kwani akili zinapatikana form 4? Angekuwa hana iweje akushughulikie kama madikteta unaodhani Wana akili?Shida ya dikteta huyu wako akili hana, form 4 alitaga!
Safi sana.
Alifikiri wazungu wanaangalia WANJA ALIOPAKA au IDADI YA KUNGU MANGA ALIZOKULA???
Ila waTanzania!!Safi sana.
Alifikiri wazungu wanaangalia WANJA ALIOPAKA au IDADI YA KUNGU MANGA ALIZOKULA???
Toka wameanza hakuna kinachotokea sanasana ndo maovu yanaongezeka..!!Una roho ya kishujaa sana bi dada.
Watu wanazani kutapika mitandaoni ndio tatizo limeisha.
Hakuna mwenye ubavu wa kumbana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hakuna.Hii ni safi sana.
Wambane kila kona aishie kwenda Burundi, Msumbiji, Uganda, na jamhuri zingine za midizi kama ilivyo nchi anayoitawala.
Hakuna pa kujificha wala pa kukimbilia.
View: https://youtu.be/VgcKuwarg1I?si=DtEUKkMHS6Yd0fvW
Wapo wengi tu.Hakuna mwenye ubavu wa kumbana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hakuna.
Acha kujiaminisha ujinga. Nikisema, hakuna, jua HAKUNA!Wapo wengi tu.
Yeye ni nani asibanwe? Anaimiliki dunia?
Unategemea Babu Tale azungumze hoja ya kuwajibu bunge la Ulaya? Au kibajaji?Zitamfikia tu. Dunia ni kijiji mkuu. Wanafikiria kuuwa hoja kwa luwasingizia watu mambo ya uongo itasaidia kuwanasua?
Yaani bunge la ulaya linajadili mambo yoote . Wao badala ya kujibu hoja wanakimbilia kupimana mik.. . Ndu?
Acha tuone sasa