Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Lakini ni mahakama hiihii ilimkuta Mbowe na kesi ya kujibu kwenye ugaidi
Hamna mahakama Tanzania, bali kuna majengo ya mahakama yaliyoko chini ya wahuni wa ccm.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini ni mahakama hiihii ilimkuta Mbowe na kesi ya kujibu kwenye ugaidi
Mahakama ya haki ya Afrika ya mashariki (The East African Court of Justice - EACJ) katika shauri namba 3 la mwaka 2020 lililofunguliwa na Freeman Mbowe na wenzake, leo, 25/3/2022, imetoa hukumu kwamba Mabadiliko ya sheria ya vyama vya Siasa ya mwaka 2019 (the Political Parties Amendments Act 2019) yanakiuka mkataba wa uanzishwaji wa Jumuiya ya Afrika ya Afrika Mashariki (EAC) sehemu ya 6(9)(72).
Hivyo mahakama ya EACJ imeamuaru serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kurekebisha sheria ya vyama vya siasa ili iendane na mkataba. Pia, gharama za kesi kwa kila mleta maombi kulipwa na serikali.
Freeman Mbowe na wenzake katika shauri hilo waliwakilishwa kisheria na mawakili John Mally, Jebra Kambole na Sheki Mfinanga.
Vyama vinne vya upinzani nchini Tanzania vilishtaki serikali ya Tanzania katika mahakama ya Afrika Mashariki kuhusu haki ya EACJ kufuatia mabadiliko ya sheria ya vyama vya siasa.
Sheria hiyo ambayo ilitiwa saini na Rais John Pombe Magufuli wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwezi Februari na kuchapishwa katika gazeti la serikali siku 10 baadaye, ilizua mjadala mkubwa nchini.
#MMM
Pia, soma:
1). Vyama vya Upinzani vyafungua kesi kwenye Mahakama ya Afrika Mashariki kupinga Sheria kandamizi ya vyama vya siasa kutumika
Inabidili wakaisajili hukumu mahakama kuu ili kuikazia, mahakama kuu ikisajili hukumu hii basi itatakiwa kutekelezwa kwa sasa ilivyo haina madhara! ni kama ceremonial judgement!Shida ipo hapo. Hiyo mahakama haina nguvu ya ku enforce.
Maana hata mtikila alishinda kesi ya mgombea binafsi ila mpaka leo hakuna mabadiliko.
| Application filed on: 27th May 2019. Articles: 6(d), 7(2), 8(1) & 38(2) of the Treaty for the Establishment of the East African Community. Rule: 21 of the EACJ Rules of Procedure, 2013. Subject matter: Refraining order against the Respondent from applying and using certain provisions of the Political Parties (Amendment) Act 2019. |
| 123 | 12th, April 2019 | Reference No. 04 of 2019 Legal And Human Rights Centre Vs Attorney General of The United Republic of Tanzania The Applicant alleges that the amendment of some provisions of the Political Parties Act come as an unjustified restriction of democracy, good governance and freedom of association. The Applicant alleges that there has been the violation of Articles 6 (d), 7 (2) and 8 (1) (2) of the EAC Treaty. |
| Application filed on: 27th May 2019. Articles: 6(d), 7(2), 8(1) & 38(2) of the Treaty for the Establishment of the East African Community. Rule: 21 of the EACJ Rules of Procedure, 2013. Subject matter: Refraining order against the Respondent from applying and using certain provisions of the Political Parties (Amendment) Act 2019. |
| 123 | 12th, April 2019 | Reference No. 04 of 2019 Legal And Human Rights Centre Vs Attorney General of The United Republic of Tanzania The Applicant alleges that the amendment of some provisions of the Political Parties Act come as an unjustified restriction of democracy, good governance and freedom of association. The Applicant alleges that there has been the violation of Articles 6 (d), 7 (2) and 8 (1) (2) of the EAC Treaty. |
Wewe inaonekana uelewa wako ni zero. Mahakama ya East Africa ni sawa na mahakama ya Tanzania?Lakini ni mahakama hiihii ilimkuta Mbowe na kesi ya kujibu kwenye ugaidi
... alikuwa mtu wa ajabu kuwahi kutokea katika historia ya taifa hili.Jiwe bhana , sijui alikuwa analipeleka wapi taifa
Sifa na utukufu ni kwa Mola wetuJiwe bhana , sijui alikuwa analipeleka wapi taifa
Mambo yazidi kuwa makubwa. Je, Mwanasheria mkuu wa serikali atakata rufaa kama enzi za mwendazake?
REJEA TOKA MAKTABA :
Kesi ilipofunguliwa
Source: Pending Cases - East African Court of Justice
123 12th, April 2019 Reference No. 04 of 2019 Legal And Human Rights Centre Vs Attorney General of The United Republic of Tanzania
The Applicant alleges that the amendment of some provisions of the Political Parties Act come as an unjustified restriction of democracy, good governance and freedom of association. The Applicant alleges that there has been the violation of Articles 6 (d), 7 (2) and 8 (1) (2) of the EAC Treaty.
... despite assurances provided by then Tanzanian Minister for Constitutional and Legal Affairs (now Foreign Minister), H.E. Mr. Palamagamba Kabudi, during the Council’s High-Level Segment [5], the situation has continued to deteriorate. Source : Tanzania: 38 NGOs call on states to express concern over human rights
#Tanzania: Activists & journalists are experiencing a rapid decline in #civicspace. 38 rights groups call on #UN Member States to take action at the Human Rights Council
Mola wetu mlezi habahatishi. Hukumu zake ni za haki.Sifa na utukufu ni kwa Mola wetu
It add a value kwamba Tz watunga sheria ni vihiyo.Hakuna cha kushupaza shingo. Hakuna sheria ya kuilazimisha nchi yoyote kutekeleza uamuzi wa mahakama hii na ndio maana gharama za kesi hizi kila mmoja anabeba msalaba wake ajijue kuwa ameshinda au ameshindwa na ndio mwisho wake hapo.
Hivyo sheria ya Vyama vya Siasa lazima iheshimiwe na itaendelea kutekelezwa kama ilivyo na Chadema lazima waiheshimu wakiikiuka watawakuta kwa mujibu wa Sheria za Tanzania
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
🤛🤛poweeer....Mambo ni mengi ila muda ndiyo siku zote hautoshi. Peoples ✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾
Kwani huko Kingai hakuwepo, na PGO ilitumika?