EACJ: Vyama vya Upinzani vyashinda kesi dhidi ya Tanzania, kuhusu mabadiliko ya Sheria za Vyama vya Siasa

EACJ: Vyama vya Upinzani vyashinda kesi dhidi ya Tanzania, kuhusu mabadiliko ya Sheria za Vyama vya Siasa

... alikuwa mtu wa ajabu kuwahi kutokea katika historia ya taifa hili.
Sitarajii kama Taifa hili siku moja litakuja kuangukia mikononi mwa Rais wa ajabu kama Magufuli.

Marehemu, kama ilivyo kwa Amin nchini Uganda, au Hitler kwa Ujerumani, hatakuja kusahaulika. Duniani hapa ukitaka ukumbukwe milele, au uwe mzuri sana kama Mwl Nyerere au uwe mbayasana kama alivyokuwa Magufuli.
 
Inabidili wakaisajili hukumu mahakama kuu ili kuikazia, mahakama kuu ikisajili hukumu hii basi itatakiwa kutekelezwa kwa sasa ilivyo haina madhara! ni kama ceremonial judgement!

Hata ingekuwa ni hukumu ya mahakama kuu, bado serikali inaweza kufanya itakavyo kwani serikali iko juu ya sheria. Kwa ujumla hukumu zinazotekelezwa kwa wakati ni zile zisizoibana serikali.
 
‪ Mahakama ya haki ya Afrika ya mashariki (The East African Court of Justice - EACJ) katika shauri namba 3 la mwaka 2020 lililofunguliwa na Freeman Mbowe na wenzake watatu dhidi ya mwanasheria mkuu wa Tanzania, imetoa hukumu yake leo, 25/3/2022,

Katika shauri hilo, Freeman Mbowe na wenzake walikuwa wanalalamika kuhusu ukiukwaji wa mkataba wa Afrika Mashariki, ukikukwaji wa masharti ya utawala bora, na haki za binadamu ambayo mabadiliko ya sheria ya vyama vya siasa 2019 inaonekana kukiuka.

Mahakama ya EACJ imetoa hukumu kwamba Mabadiliko ya sheria ya vyama vya Siasa ya mwaka 2019 (the Political Parties Amendments Act 2019) yanakiuka mkataba wa uanzishwaji wa Jumuiya ya Afrika ya Afrika Mashariki (EAC) sehemu ya 6(9)(72),

Hivyo mahakama ya hiyo ya EACJ imeamuaru serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kurekebisha sheria ya vyama vya siasa haraka iwezekanavyo ili iendane na mkataba wa uanzishwaji jumuiya ya Afrika ya mashariki.

Pia, mahakama hiyo ya EACJ imeamuru gharama za kesi kwa kila mleta maombi kulipwa na serikali. Freeman Mbowe na wenzake katika shauri hilo waliwakilishwa kisheria na mawakili John Mallya, Jebra Kambole na Sheki Mfinanga.

#MMM‬
Mungu ibariki CHADEMA
 
Jaji:
Na kwamba sheria kumpa msajili uhuru wa kuingilia mambo ya ndani ya chama cha siasa!

Na kwamba msajili sio mtu huru kwa kuwa anateuliwa na mwenyekiti wa chama cha siasa.

Ni maoni ya mahakama hii kuwa sheria hii inampa msajili nguvu kubwa dhidi ya vyama vya siasa jambo ambalo ni kinyume cha mkataba wa Jumuiya

Hitimisho

Mahakama hii ina declare kuwa sheria ya vyama vya siasa inakiuka vifungu vya mkataba sehemu 6d 72 ya Jumuiya ya Afrika

Jamhuri ya Tanzania inaamriwa kurekebisha sheria ya vyama siasa iendane na mkataba.

Gharama za kesi kwa kila mmoja

Jaji anahitmisha

Angekuwa yule pendwa wa mchongo, hapo:

Jaji: Hoja za walalamikaji hazikuweza kuitingisha misingi imara ya hoja zozote za serikali.

Mahakama inaziona hoja za walalamikaji kuwa hazina mashiko.

Mahakama inazitupilia mbali zote, kwa gharama ya walalamikaji.

Natoa Amri.
 
Angekuwa yule pendwa wa mchongo, hapo:

Jaji: Hoja za walalamikaji hazikuweza kuitingisha misingi imara ya hoja zozote za serikali.

Mahakama inaziona hoja za walalamikaji kuwa hazina mashiko.

Mahakama inazitupilia mbali zote, kwa gharama ya walalamikaji.

Natoa Amri.
Kwa maoni yangu mimi naona pingamizi halina mashiko kiaheria
 
Juzi walikubaliana na Mbowe waimbe haki. Sasa mtego mwingine huo.

5 March 2022
Dar es Salaam, Tanzania



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amesalimiana na kuzungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe alipowasili Ikulu Jijini Dar es Salaam usiku wa tarehe 04 March 2022 baada tu ya kutoka gerezani.

Rais Samia Suluhu Hassan amemsihi mheshimiwa Freeman Aikaeli Mbowe na chama chake kuhakikisha wote kwa pamoja wanasimamia misingi ya kuaminiana, haki na kuheshimiana ili wote kwa pamoja waweze kuijenga Tanzania. Naye kiongozi wa chama cha upinzani CHADEMA Freeman Mbowe amesema yupo tayari kumsaidia Rais Samia na chama chake (CCM) kuijenga Tanzania. Video: Ikulu_mawasiliano
Source : BBC News Swahili
 
Kwa vile 2025, Watanzania wazalendo tumeisha amua twende na mgombea mwanamke, nashauri Mama asichoshwe

P
Mayala ,umeandika kama vile hujawaji kwenda shule! Mpaka mtu anaweza jiuliza "HIVI WATU HIWA WANAENDA SHULE KUSOMEA UJINGA"??? Hongera sana mkuu kwa KUTIA AKILI mfukoni....!!! ENDELEA KUSUBIRI TEUZI.......😀😃😅
 
Hii Chadema si mchezo , nimekutana na Mzee mmoja Mnyakyusa ananifahamu akaniuliza , hivi nyinyi Chadema mbona mnatulaza na viatu , mbona hamchoki ?

Mimi nikamjibu kwa kifupi tu , KATIBA MPYA .
Utakuwa labda umekutana na 'mzee Kobe'....
 
Kwa vile 2025, Watanzania wazalendo tumeisha amua twende na mgombea mwanamke, nashauri Mama asichoshwe

P
Mkuu heshima yako!!
Kwakuwa una malengo ya kuwa kiongozi kwa ngazi yoyote ile hasa hizi za kuteuliwa....naomba uitunze heshima yako usiwagawe watanzania baadhi tunakuombea na kukusuppport.

Maana ukiteuliwa utawahudumia hawa hawa unaowakandia hapa....please ruhusu demokrasia hata kwenye chama chako maana kuna baadhi ya wanaccm haturidhishwi na hali halisi ya sasa.

Asante.
 
EACJ ina meno ya kuishauri na kuzitaka serikali za EAC kukazia hukumu inazotoa :


The domestic impact of the decisions of the East African Court of Justice


2 EACJ and its human rights competence​

Established under article 9 of the EAC Treaty, the EACJ is the Community’s judicial arm, whose core function is to ensure the adherence to law in the interpretation and application of the Treaty.8 The Court’s jurisdiction covers both contentious and non-contentious matters relating to the interpretation and application of the Treaty.9 The Court may be seized of a matter through references by natural and juristic persons resident within the Community, EAC member states and the EAC Secretary-General.10 The EAC Council may also seek advisory opinions from the Court under article 14 of the Treaty.

The EACJ does not have express jurisdiction to hear and determine human rights cases. Article 27(2) of the EAC Treaty suspends the Court’s human rights jurisdiction until a protocol has been adopted that would extend its jurisdiction to include human rights cases. A protocol adopted in 2014 under article 27(2) of the EAC Treaty excluded human rights jurisdiction based on the argument that member states already have acceded to the African Charter on Human and Peoples’ Rights (African Charter) and, therefore, any human rights cases emanating from the member states should be argued at the African Court on Human and Peoples’ Rights (African Court).11 Furthermore, member states have argued that they have sufficient national constitutional safeguards for the protection of human rights without the need for a sub-regional human rights court.12

Nonetheless, the EACJ through a mix of judicial activism and creative interpretation has claimed for itself limited human rights jurisdiction. The landmark case in this regard was James Katabazi & 21 Others v the Secretary-General of the EAC & Another, where the Court held that although it not yet had jurisdiction to deal with human rights issues, it had jurisdiction to interpret the Treaty even if the matters complained of included human rights violations.13 Accordingly, the Court proceeded to ‘interpret’ and ‘apply’ articles 6(d), 7(2) and 8(1)(c) of the Treaty and made a finding that the facts of the case disclosed a violation of the principle of the rule of law and, consequently, a contravention of the EAC Treaty.

This position continues to be ......
The EACJ is not an appellate court from the domestic jurisdiction. Rather, it fulfils a complementary function to the national courts.16 The EAC Treaty creates a system whereby national courts have limited jurisdiction to determine disputes relating to the application of Community law, but at the same time recognising that this is subject to the supremacy of the EACJ in the interpretation of all law made within the EAC framework.17 As such, decisions of the EACJ, being part of Community law, take precedence over decisions of national courts insofar as the interpretation and application of the EAC Treaty is concerned. This position is reinforced by articles 8(4) and 33(2) of the EAC Treaty and was reaffirmed by the EACJ in the case of Attorney-General of the Republic of Uganda v Tom Kyahurwenda.18
The EACJ lacks its own implementation framework and, therefore, relies on national legal systems to implement its decisions, and in particular those that require some form of action at the national level. Judgments that impose a pecuniary obligation on a person are executed as per the rules of civil procedure of the member state concerned, thereby enforcing the EACJ’s judgments in the same manner as decisions of national courts.19 Those that do not impose pecuniary obligations are implemented under the broad framework of article 38(3) of the EAC Treaty, which requires the Council of Ministers or the member states to take measures to expeditiously implement the Court’s decisions, thus to a large extent hingeing compliance on the political goodwill of member states.

3 Evaluating the national impact of the human rights judgments of the EACJ​

Since its inauguration in 2001 the EACJ through its adjudicative, interpretative and advisory jurisdiction has played a critical role as the plumb line for policy, legislation and administrative action taken by member states in relation to the implementation of their Treaty obligations. As will be demonstrated in the cases analysed in this section, the EACJ through its bold and innovative decisions has distinguished itself as a champion for the promotion and protection of human rights notwithstanding the lack of express human rights jurisdiction. These cases have been selected having taken cognisance, among others, of the human rights issues that were raised in the arguments before the Court, the decisions of the Court thereon and their contribution to the human rights discourse and jurisprudence both at the EAC level and within the respective member states’ national legal framework.....


READ MORE : Lando, V - African Human Rights Law Journal (AHRLJ)

 
Kwa vile 2025, Watanzania wazalendo tumeisha amua twende na mgombea mwanamke, nashauri Mama asichoshwe

P
Pascal wewe ni sawa na Steven Kanyerere😀😀
 
Back
Top Bottom