MmhHangaya anasemaje!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmhHangaya anasemaje!
uzi wa moto sana huunzi wa kijani hafurukuti
Aibu nyingine tena kwa Ccm na wahuni wake.sijui huwa wanawaza nini kupitisha vitu vya hovyo kama hivi. Mijitu takribani 300 imekaa bungeni kupitisha ushenzi kama huu
Sitarajii kama Taifa hili siku moja litakuja kuangukia mikononi mwa Rais wa ajabu kama Magufuli.... alikuwa mtu wa ajabu kuwahi kutokea katika historia ya taifa hili.
Juzi walikubaliana na Mbowe waimbe haki. Sasa mtego mwingine huo.Tunataraji haki kutendeka vilivyo
Inabidili wakaisajili hukumu mahakama kuu ili kuikazia, mahakama kuu ikisajili hukumu hii basi itatakiwa kutekelezwa kwa sasa ilivyo haina madhara! ni kama ceremonial judgement!
Juzi walikubaliana na Mbowe waimbe haki. Sasa mtego mwingine huo.
Mungu ibariki CHADEMA Mahakama ya haki ya Afrika ya mashariki (The East African Court of Justice - EACJ) katika shauri namba 3 la mwaka 2020 lililofunguliwa na Freeman Mbowe na wenzake watatu dhidi ya mwanasheria mkuu wa Tanzania, imetoa hukumu yake leo, 25/3/2022,
Katika shauri hilo, Freeman Mbowe na wenzake walikuwa wanalalamika kuhusu ukiukwaji wa mkataba wa Afrika Mashariki, ukikukwaji wa masharti ya utawala bora, na haki za binadamu ambayo mabadiliko ya sheria ya vyama vya siasa 2019 inaonekana kukiuka.
Mahakama ya EACJ imetoa hukumu kwamba Mabadiliko ya sheria ya vyama vya Siasa ya mwaka 2019 (the Political Parties Amendments Act 2019) yanakiuka mkataba wa uanzishwaji wa Jumuiya ya Afrika ya Afrika Mashariki (EAC) sehemu ya 6(9)(72),
Hivyo mahakama ya hiyo ya EACJ imeamuaru serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kurekebisha sheria ya vyama vya siasa haraka iwezekanavyo ili iendane na mkataba wa uanzishwaji jumuiya ya Afrika ya mashariki.
Pia, mahakama hiyo ya EACJ imeamuru gharama za kesi kwa kila mleta maombi kulipwa na serikali. Freeman Mbowe na wenzake katika shauri hilo waliwakilishwa kisheria na mawakili John Mallya, Jebra Kambole na Sheki Mfinanga.
#MMM
Jaji:
Na kwamba sheria kumpa msajili uhuru wa kuingilia mambo ya ndani ya chama cha siasa!
Na kwamba msajili sio mtu huru kwa kuwa anateuliwa na mwenyekiti wa chama cha siasa.
Ni maoni ya mahakama hii kuwa sheria hii inampa msajili nguvu kubwa dhidi ya vyama vya siasa jambo ambalo ni kinyume cha mkataba wa Jumuiya
Hitimisho
Mahakama hii ina declare kuwa sheria ya vyama vya siasa inakiuka vifungu vya mkataba sehemu 6d 72 ya Jumuiya ya Afrika
Jamhuri ya Tanzania inaamriwa kurekebisha sheria ya vyama siasa iendane na mkataba.
Gharama za kesi kwa kila mmoja
Jaji anahitmisha
"Mahakama hiihii"? Wewe ni kichaa, asiyeweza kutambua anachoona?Lakini ni mahakama hiihii ilimkuta Mbowe na kesi ya kujibu kwenye ugaidi
Mungu ibariki CHADEMA... Chadema ilijulikana mbele ya Kiti cha Enzi kabla ya misingi ya dunia kuwepo! Mungu wa haki, Mungu wa amani awatangulie watu wake.
Kwa maoni yangu mimi naona pingamizi halina mashiko kiaheriaAngekuwa yule pendwa wa mchongo, hapo:
Jaji: Hoja za walalamikaji hazikuweza kuitingisha misingi imara ya hoja zozote za serikali.
Mahakama inaziona hoja za walalamikaji kuwa hazina mashiko.
Mahakama inazitupilia mbali zote, kwa gharama ya walalamikaji.
Natoa Amri.
Juzi walikubaliana na Mbowe waimbe haki. Sasa mtego mwingine huo.
Lakini ni mahakama hiihii ilimkuta Mbowe na kesi ya kujibu kwenye ugaidi
Mayala ,umeandika kama vile hujawaji kwenda shule! Mpaka mtu anaweza jiuliza "HIVI WATU HIWA WANAENDA SHULE KUSOMEA UJINGA"??? Hongera sana mkuu kwa KUTIA AKILI mfukoni....!!! ENDELEA KUSUBIRI TEUZI.......😀😃😅Kwa vile 2025, Watanzania wazalendo tumeisha amua twende na mgombea mwanamke, nashauri Mama asichoshwe
PWatanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
Wanabodi, Kati ya maeneo magumu sana kwenye tasnia ya habari ambayo kwa sisi Tanzania tumelikosa, tunaendelea kulikosa, na kama hawatajitokeza watu wenye uwezo wa kulifanya, tutaendelea kulikosa, ni eneo la "news analysis" uchambuzi wa habari. Kazi kuu za traditional media ni kuhabarisha...www.jamiiforums.com
Utakuwa labda umekutana na 'mzee Kobe'....Hii Chadema si mchezo , nimekutana na Mzee mmoja Mnyakyusa ananifahamu akaniuliza , hivi nyinyi Chadema mbona mnatulaza na viatu , mbona hamchoki ?
Mimi nikamjibu kwa kifupi tu , KATIBA MPYA .
Mkuu heshima yako!!Kwa vile 2025, Watanzania wazalendo tumeisha amua twende na mgombea mwanamke, nashauri Mama asichoshwe
PWatanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
Wanabodi, Kati ya maeneo magumu sana kwenye tasnia ya habari ambayo kwa sisi Tanzania tumelikosa, tunaendelea kulikosa, na kama hawatajitokeza watu wenye uwezo wa kulifanya, tutaendelea kulikosa, ni eneo la "news analysis" uchambuzi wa habari. Kazi kuu za traditional media ni kuhabarisha...www.jamiiforums.com
Amefikia deal.,Punguza hasira huu mchezo hauitaji ku panic.
Pascal wewe ni sawa na Steven Kanyerere😀😀Kwa vile 2025, Watanzania wazalendo tumeisha amua twende na mgombea mwanamke, nashauri Mama asichoshwe