Ebitoke amletea fujo Yusuph Mlela kwenye mkutano, mabaunsa wamdhibiti

Samahani mkuu, hapo TCRA wakujaje?
 
Wahaya wanajua kuwa huyu binti ni mhaya wakati binti ni mkerewe
 
Kaka kaanza kulalamika muda tu kwa Ebi amewafungia vioo ndugu wote kisa Mlela wakijua kabisa hakuna penzi anatapeliwa, Mimi Nina wasiwasi na huyu "Kaka" wa Ebitoke
Ukiona kaka anaingilia faragha ya dada yake, basi ujuwe huyo kaka ana ulemavu kwenye kutambua mbambo. Na ukiona familia inaruhusu kaka kuingilia faragha ya dada yake, basi ujuwe hiyo familia ipo na tatizo..
 
Siku hizi kila msanii anamkutano tena mkutano wenyewe sio waeleze ya maana wanaleta tena usanii,Uwoya,Kiba,Mlela..........,Haya na waendelee kutuzuga tuache kufuatilia mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…