Ebitoke ni maskini sana jamani khaaa.

Uncle, tatizo huyu Ebitoke ana nyodo sana ,mara kwa mara amekuwa akiwaponda wenzake ,ameshagombana na wengi sana akiwemo shilole na gigy, sasa tulitarajia huenda ametokea maisha bora au ana maisha bora kumbe........
Kwani kugombana na watu sharti uwe umetokea maisha bora au mazuri?

Wewe utakuwa ni gigi money au shilole.

Kwanza hao anaogombana nao wenyewe ni vichwa vigumu pia.
Badilika aise
 
Mleta mada ni zwazwa yani unataka mtu akizaliwa maskini aendelee kuwa maskini mpaka kufa?
Life changes bro hata huku kwetu kuna mama anaitwa prof Tibaijuka, alizaliwa nyumba ya nyasi ila sahizi ana mihela mingi mpaka shopping ya mboga anafanya Doha Qatar
 
Hivi bado yupo au wameshakachezea na kukaacha?
 
Nimeangalia avatar mara mia mia nikilinganisha 'mchambo' na ID. Aisee kuna watu wana uwezo mkubwa wa kuwabadili wanaume! Kha!
 
ungekaa kimya na picha yako hi ,ungekuwa na busara sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…