Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
πππππ Unajua jamaa aliondoka na kijiji nahisi hata muanzisha mada nae alichanganyikiwa maana vishu kama alitawala kwa ule mjadala...
Na watu wakaanza kuunga hoja sijui walikua wanajaribu daaah πππππ
Kwamba jamaa ana kichwa kibovu auSiwezi chukua ushauri hapa nikaufanyia kazi
Nimekutumia ujumbe kuleeeee kasomeKwamba jamaa ana kichwa kibovu au
Huwez amini zinafanya kazi, aseeh ni zile tape Za nyimbo kina vyone chaka chaka, Isa matona, kina dully sykes, alikiba 2005,kuna lady jaydee na zile kwaya Za miaka ya 90Labda utumie umeme lakini kwa batteries itabidi uwe na Bik karibu π
Mapemaaa chapNimekutumia ujumbe kuleeeee kasome
AiseeHuwez amini zinafanya kazi, aseeh ni zile tape Za nyimbo kina vyone chaka chaka, Isa matona, kina dully sykes, alikiba 2005,kuna lady jaydee na zile kwaya Za miaka ya 90
Gari Za kizamani zile radio yake bado nzimaAisee
Kumbe? Unatumia radio cassette ipi
Father alikuwa na National Panasonic yaani nimekumbuka mbali sana
Kuanika betri kwenye jua ndio zilikuwa zetu
Lakini enzi hizi tulikuwa na viwanda vya uhakika mpaka cha Batteries
Tungeendelea vile leo tungetengeneza magari
Kama ungekuwa umecheza hilo game usingeweza unaleta threads za mapishi humu JF.Ilo game nime cheza sana mzee alikuwa ana lificha
View attachment 3400739
Hii taa ipo kama pambo siwez acha kila niendako ninayo
Ile science ilikuaje wakati hata panel hatukuwa nazo...nyumba za watu juu zimejaa betri tu, halafu zamani nyingi zilikuwa covered na bati.Aisee
Kumbe? Unatumia radio cassette ipi
Father alikuwa na National Panasonic yaani nimekumbuka mbali sana
Kuanika betri kwenye jua ndio zilikuwa zetu
Lakini enzi hizi tulikuwa na viwanda vya uhakika mpaka cha Batteries
Tungeendelea vile leo tungetengeneza magari
Anajifanya old guard huyo π€£π€£Kama ungekuwa umecheza hilo game usingeweza unaleta threads za mapishi humu JF.
Malegendary wote tunapikiwa sasa na karibia tuitwe mababu.
Santuri (vinyl) tunazo zipo na ubora wake kwenye sanduku la bati tunazo hadi leo, nitafuta player yake nikitulia.Huwez amini zinafanya kazi, aseeh ni zile tape Za nyimbo kina vyone chaka chaka, Isa matona, kina dully sykes, alikiba 2005,kuna lady jaydee na zile kwaya Za miaka ya 90
Nakumbuka enzi hizo nimefaulu std 7 kwenda sec ,vipaji maalum, mshua alinunulia redio walk man , hy brick game ,dahMwachiluwi ebu njoo uwachanganye wadogo zakoπ€£π€£
Kuna mtu atasema ni majani ya chai
View attachment 3400705
Kuna mtu atasema hii thermos
View attachment 3400716
Kuna mtu atasema hili ni bomu la hamas
View attachment 3400728
Kuna mtu atasema hii ni nyuzi za kushonea gunia
View attachment 3400743
Kama haukuonea rambo kwenye hii kitu usiongee na mimiπ€£π€£
View attachment 3400770
Kuna vijana watasema pesa ya mjerumani hiiπ€£π€£
View attachment 3400798
Kabla hajafika mjengoni, tulimjua hivi
View attachment 3400815
Ni vipi kama ndio kipaji au kitu napenda kufanya? Sawa mm wa 2006 vip hapoKama ungekuwa umecheza hilo game usingeweza unaleta threads za mapishi humu JF.
Malegendary wote tunapikiwa sasa na karibia tuitwe mababu.
Kwahy mm dogo tu ππAnajifanya old guard huyo π€£π€£
Sidhani kama za sasa unaweza kuzianika πIle science ilikuaje wakati hata panel hatukuwa nazo...nyumba za z watu juu zimejaa betri tu, halafu zamini nyingi zilikuwa covered na bati.
Je betri za sasa zitakubali? π