Edmund Mndolwa: Awamu ya Tano tulilazimishwa kukalia misumari

Watetea legacy ni wananchi wa kawaida huko kwa Ground!! Wala haikuwa viongozi ndio watetea legacy !! Nenda kwa ground utawakuta watetea legacy wamejaa kama kawaida na huwaambii chochote kuhusu yule jamaa !!
Wananchi wa wapi hao ?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo ana makovi ya matundu ya mosumari?.
Ni kweli mwanamme mmoja alotunyamazisha kiasi hicho?
Sio yeye aliyekuwa na power hizo bali katiba mbovu. Katiba hii hata mwendawazimu akiingia pale anaweza kutenda chochote na hakuna cha kumfanya.
Anayepinga katiba mpya sasa hana akili kabisa.
 
Sio yeye aliyekuwa na power hizo bali katiba mbovu. Katiba hii hata mwendawazimu akiingia pale anaweza kutenda chochote na hakuna cha kumfanya.
Anayepinga katiba mpya sasa hana akili kabisa.
You nailed it !!
 
Kwakweli tunamshukuru Mungu kutuepushe na hile dhahama ya awamu ya tano
 
Nyie mbona kutwa mnamlinganisha Samia na marehemu??
 
Ndio maana sitaki kusoma PHD,

Kwa hapa Tanzania ukiwa na PHD lazima akili zipungue.
 
Kati ya yeye wa kupeleka moto na sisi nani yuko hai?

Laana itoke wapi? Kumzomea Magufuli aliyekuwa anafurahi kuitwa mungu na akina Prof Kabudi na Kangi Lugora?
Tupia clip wakati akifurahia kuitwa mungu. Twendeni na ushahidi Ili tuoneshe kweli Sisi ni great thinkers. Vinginevyo ni ujinga kuendelea kuandika vitu visivyo na uhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…