"Education is better than money" Una oppose au una propose?

Jo Assistant

Senior Member
Joined
Jun 20, 2014
Posts
195
Reaction score
199
Debate za enzi hizo shuleni... Nani opposer na nani proposer?

===

Utakuwa unakumbuka midahala enzi za shule, moja kati ya mada kubwa ambayo watu wengi waliwahi kujadili katika maisha ya shule ni hii ya ‘Education is better than money’

Kila mmoja alikuwa na upande wake. Katika maisha halisi walioko kazini huwa wanasisitiza wengine wasome ili wakipata nafasi makazini wawe na nafasi nzuri au ku-secure kesho zao

Mbali na hayo watu kadhaa wamekuwa wakija na mada za kuona kama elimu haina kazi sana kwenye maisha halisi. Hili linaonesha huu mdahalo bado unaendelea. Mdau anauliza Je elimu na pesa bora kipi

Karibu tuendelee na mdahalo ambao labda hatukuujadili vizuri tulipokuwa shule
 
Hivi kwa ugumu na changamoto za maisha ya siku hizi Elimu unawezaje kuilinganisha na kitu chochote (kwa mfano). Ukiwa na elimu angalau hata kama umekwama unajua wapi umekwama na kuna uwezekano mkubwa ukajinasua kuliko asiye na elimu. Kuhusu pesa ni sula la muda na fursa tu!
 
Mkuu tofautisha elimu na akili basi.

Kwa jinsi watumishi wanavyokimbilia kukopa kwenye vitaasisi ambavyo vimeanzishwa na wasio na elimu. I OPPOSE THE MOTION.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikataa kabisa hii motion "elimu ni bora kuliko pesa" nilishindwa na kuonekana popoma kwa sababu wengi walikubali

Leo hii napiga Kofi kifuani huku nikisema nashukuru sikukubali kuwa upande wa waseng*e

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwa ugumu na changamoto za maisha ya siku hizi Elimu unawezaje kuilinganisha na kitu chochote (kwa mfano). Ukiwa na elimu angalau hata kama umekwama unajua wapi umekwama na kuna uwezekano mkubwa ukajinasua kuliko asiye na elimu. Kuhusu pesa ni sula la muda na fursa tu!
Nimekupata mkuu...
 
Hujui utamu wa njaa wewe, elimu ni cheti tu sikuhizi.
 
Back
Top Bottom