Jo Assistant
Senior Member
- Jun 20, 2014
- 195
- 199
Debate za enzi hizo shuleni... Nani opposer na nani proposer?
===
Utakuwa unakumbuka midahala enzi za shule, moja kati ya mada kubwa ambayo watu wengi waliwahi kujadili katika maisha ya shule ni hii ya ‘Education is better than money’
Kila mmoja alikuwa na upande wake. Katika maisha halisi walioko kazini huwa wanasisitiza wengine wasome ili wakipata nafasi makazini wawe na nafasi nzuri au ku-secure kesho zao
Mbali na hayo watu kadhaa wamekuwa wakija na mada za kuona kama elimu haina kazi sana kwenye maisha halisi. Hili linaonesha huu mdahalo bado unaendelea. Mdau anauliza Je elimu na pesa bora kipi
Karibu tuendelee na mdahalo ambao labda hatukuujadili vizuri tulipokuwa shule