Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Polepole anasemaje ss,bado hafai au anafaa?[emoji23][emoji23][emoji23]

sent using...tecno wereva[emoji23]
 
Ni hivi Jiwe kashindwa kuongoza nchi hasa masuala ya uchumi na fedha ,hivyo ili kuepuka fedheha kaamua kuwarudidha Rostam na Lowasa wamsaidie maana maji yamemfika shingoni hana namna .Jiwe kaproove massive failure ,na hao aliowarudisha hawajasamehe jinsi alivyowananga .Wewe jiwe walikuwa kazungukwa na wasiojua chochote kwenye chama ,Polepole ,Bashiru ,Bashite ,Musiba ,lazima awaangukie wanaokijua chama nnje ndani ,maana uchaguzi huko mlangoni ,yeye mwenyewe jiwe hajui chochote kuhusu mbinu za uchaguzi na figisu figisu zinazotumika kuibeba ccm .
 
Kweli kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Unadhani kufanya siasa nchi hii lazima uwe mbunge au rais? Huu ushauri tunaona ukitolewa sana, lakini sababu ya hofu hii ni uwezo wa Lissu kujenga hoja kumfananisha na Magufuli. Wanaotoa ushauri huu wanaogopa Magufuli asikutane na wakati mgumu kama JK aliokutana nao uchaguzi wa 2010 dhidi ya Slaa. Ni hivi Lissu atagombea huo urais na mjiandae kutumia nguvu ya jeshi kupora ushindi wake.
 
Kamuacha Chairman Mbowe Gerezani! Kweli huyu ni morani!😀
 
Kwa mtazamo wangu Lowasa anamwogopa mnoo Tundu Lisu na anahofu atagombea 2020 na kushinda, hivyo kaamua akimbie mapemaaa.

Eti nashangaa sijasikitika kuondoka kwake japo nimemwazia tu Mbowe yupo rumande sijui kajisikiajee.

Anyway siasa za tz zilishaniboaga muda Sana...nimekuwa mtazamaji tu Kama sipo vile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona anatembeza bakuli usa?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hana uwezo wa kufanya kazi na yuko ugenini kwenye matibabu baada ya jiwe kuagiza ashambuliwe. Hebu ww kaa zaidi ya mwaka kitandani bila kufanya kazi kama hujaona tukitembea na mkeo chumbani kwako. Ww mwenyewe ukiumwa mafua tu unachangiwa ndio itakuwa matibabu ya Ulaya?
 

Nashauri huyu mzee wamtunze kama mzee Kingunge na wampe miradi kadhaa ili azeeke nayo, ameshafanya kazi ya kutosha
 
Anakimbizwa na njaa yake ya urais.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa Lowassa namfananisha na mtoto mkali hadi sometime unalia pekeako,amekugombanisha na familia kisa walikuwa wanasema ana tabia mbaya, leo karudi kwa lijamaa lake la zamani lililokuwa linamtesa na kumuita malaya...
Hahaha,.kaona kifo chake yule...kaona bora akifuate tuu huko huko..
 
Membe akienda chadema watampokea?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtulia aligombea kwa ticket ya CUF na alikuwa aki wakilisha CUF hakuna chama kinaitwa UKAWA

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu lakini palikuwa na makubaliano ya ushirikiano wa baadhi ya vyama vya upinzani ukiitwa UKAWA. Huo ndio uliofanya wapenzi wa chadema kipigia kura mgombea kwa tiketi ya chama cha cuf.
 
As long as mzee karudi kustaaf hatna shida naye

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hiyo ipo wazi...

Haihitaji rocket science kujua hilo!

TL is a nightmare Jiwe kaamua kuangukia group la Wana Mtandao la wanaCCM!

Na asipotumia akili vizuri jiwe atatafunwa!
 
Yanga afrika na sie hatuko nyuma kumshawishi rostam aje kuokoa jahazi kwenye timu yake pendwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…