Mkuu Rais wa mioyo yenu karudi kule alikotokaga...!
Nawaza tuu kama ni msafi bado au keshakuwa fisadi..? [emoji3][emoji3][emoji3]
Nae atasema neno tuu, labda mda huu ndo anaamkaHaswaaa! Imebaki ya yule "Kachero" mropokaji wa Uskochi.
Arejee asirejee it doesn't help the economy - shilingi inaendelea kufa kifo cha mende against dollar!Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa Amerejea Rasmi CCM Leo.
Amepokelewa Lumumba Makao Makuu Madogo Ya Chama Cha Mapinduzi Na Katibu Mkuu Dr Bashiru Ally.
Aidha, katika mapokezi hayo walikuwepo Rais Magufuli, Rostam Aziz, Mzee Phillip Mangula, Waziri Mkuu Majaliwa Kassim, Humphrey Polepole n.k
View attachment 1035375
View attachment 1035448
Unaweza soma pia:
Edward Lowassa na Frederick Sumaye mbioni kurejea CCM - JamiiForums
Edward Lowassa: Wanaodhani nitarudi CCM wanapiga porojo na kuota ndoto - JamiiForums
Lowassa hana namna zaidi ya kuipigia magoti CCM, Mkwewe Sioi Sumari mpaka sasa yupo lockup - JamiiForums
It looks like an optical illusion.
Ccm ipo mikononi mwa Jiwe hivyo hakuna mtu wa kuuliza kitu
Katika siasa hakuna rafiki wala adui wa kudumu,maisha yataendelea kama kawaidaKama ilivyo kawaida, endapo atajitokezza kiumbe kumkashfu au KUMSEMA vibaya Lowasa Basi ajiandae kupambana na jeshi la polisi.
Awali maneno yake yalikuwa ya uchochezi ila leo Mhe. Dingilai kasema amefutiwa dhambi zake na amekuwa mpya.
Usimtamkie mabaya mzee wetu, Msukuma yule jamaa yako uliyemtusi amerudi kwao Sasa jiandae kumfanya rafiki ukigoma acha chama.
Nape mzee karudi so jiandae kumsujudia,
Makonda jiandae kumsalimia kwa heshima mzee baba la sivyo utapoteza ukuu wa mkoa.
Ridhiwan baba karudi, ulimkejeli Sasa amerejea jamvini
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada nimekumiss lakini...!Watu wana wivu jamani! Yani wameona msiba wa Ruge umetikisa nchi wamenuna. Wanaogopa isijekuwa “Msiba wa Ruge ulikuwa mkubwa kuliko huu”
Hata hivyo nimejifunza, nilimpenda na kumuamini sana Lowassa nikasahau ni mwanasiasa tu ambaye maslahi yake binafsi ndio kipaumbele chake kikuu.
Sitaki kuwa shabiki wa mtu tena, nitafanya siasa huru pasi na kumuamini yeyote.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nimekuwa nikifuatilia comments humu nimekuwa nikiamini ww ni MTU makini ila huu ujinga uliondikwa na hii account hufanani nao labda kama kijana wako ndio kaandika ....hebu tuthibitishie Hela aliyochukua MboweLeo nitakesha kwenye bar kwa furaha ya Lowassa kuondoka cdm. Alaaniwe Mbowe na genge lake kupokea hela ya Lowassa na kumpa nafasi ya kugombea urais.
CCM imekushikisha adabu Ngoma ya watoto haidumu tuliwaambia mkatutukana . CCM chama kikongwe nyie vitoto tu vicheza Ngoma isiyokeshaWatu wana wivu jamani! Yani wameona msiba wa Ruge umetikisa nchi wamenuna. Wanaogopa isijekuwa “Msiba wa Ruge ulikuwa mkubwa kuliko huu”
Hata hivyo nimejifunza, nilimpenda na kumuamini sana Lowassa nikasahau ni mwanasiasa tu ambaye maslahi yake binafsi ndio kipaumbele chake kikuu.
Sitaki kuwa shabiki wa mtu tena, nitafanya siasa huru pasi na kumuamini yeyote.
Sent from my iPhone using JamiiForums
HahahahaDr. Slaa sasa upo tayari kufanya kazi na choo, wakati ule uliikimbia ukasema ilikiwa sebureni lakini harufu ikakutoa nduki, sasa imerejea chumbani kabisa...tunasubiri ufafanuzi wako
HahahahaDada nimekumiss lakini...!
Tutoe mioyo kwa wanasiasa.!