Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hats iweje sisi haturudi nyuma. Achanganye kongoro mbele.
Maskini Kamanda wetu Mbowe ndio yupo anateseka peke yake!Hii ndio tunaita konnect dot...Kazi kwako LISSU....
Hapa ndipo tunaposema siasa ni mchezo mchafu mno......
Mkuu labda hujui ile "vita" ilifikia viwango vipi lakini pia kwa umri wa Dr Slaa sidhani atahitaji tena mikiki ambayo alisalitiwa na watu aliowaamini mno baada ya kujitoa maisha yake kipindi cha hatari sana.Dr Slaa itabidi arudi CHADEMA sasa,maana "Fisadi" amerudi kwenye zizi lake
Prof lipumba aliliona hili zamani sana na akamkataa,,,
Pigo la kwanza hili ka maalim seif,,,
Sent using Jamii Forums mobile app
si mlisema annajiharishia nyie?? Kweli ndiyo maana watu wenye akili wannaikimbia siasa na kuwaacha wapumbavu kuwatawala wapumbavu wenzao na werevu pia!!Kweli uzee dawa . Mzee amefanya jambo la kutukuka . Niliisha sema atakae baki CHADEMA apimwe akili kama ziko sawa . Tulikumiss mzee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa nadhani rafiki yangu nayemuheshimu Dr Slaa atarudi CHADEMA,maana asiyempenda kaja.
NIAMBIE MUHUTU? UNASALIMIWA NA GABRIEL CLEMENT NDAHANINani kakwambia hivyo? Muache muda utaongea
Nilikuwa nikijiuliza Lowassa yuko Chadema ila kimuonekano kama yupo CCM yaani yupo kimya vyama vya upinzani visiludie tena kosa kama hili walitumia nguvu kubwa kumsafisha.Fisadi mwingine huyo yeye na Sumaye yalikuwa makosa makubwa sana kuwakaribisha Chadema mafisadi hawa wawili. Hawana impact yoyote ile ndani ya Chadema.
Dr Slaa atahama ccm? Kinyesi sasa kimekuja chumbani Haya huyo jiwe wenu ndio anapambana na mafisadi kwa style hii? Seriously?Wakati tulipoasi Chadema ile dakika mlipomuasi Dr Slaa sababu ya huyu jamaa tulitukanwa sana. Naomba niseme kwa nia njema na ya dhati kabisa. Tuombane radhi maisha yasogee otherwise hatuisaidii Tanzania. Zile hatua za 2015 yalikuwa makosa ya karne, kubalini tujipange upya wakuu. Hakuna haja ya kushupaza shingo.
Sent using Jamii Forums mobile app