Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Kwa umri, hali ya afya , tamaa ya kuwa mgombea na uchumi alikuwa hana namna ya kubaki upinzani. Samahani kwa hili hapo ni Anajiandalia maziko mema tu hakuna kingine. Je Makonda amekubali hili litokee. Matapishi.
 
Hii ndio tunaita konnect dot...Kazi kwako LISSU....
Hapa ndipo tunaposema siasa ni mchezo mchafu mno......
Maskini Kamanda wetu Mbowe ndio yupo anateseka peke yake!
 
Dr Slaa itabidi arudi CHADEMA sasa,maana "Fisadi" amerudi kwenye zizi lake
Mkuu labda hujui ile "vita" ilifikia viwango vipi lakini pia kwa umri wa Dr Slaa sidhani atahitaji tena mikiki ambayo alisalitiwa na watu aliowaamini mno baada ya kujitoa maisha yake kipindi cha hatari sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli uzee dawa . Mzee amefanya jambo la kutukuka . Niliisha sema atakae baki CHADEMA apimwe akili kama ziko sawa . Tulikumiss mzee
si mlisema annajiharishia nyie?? Kweli ndiyo maana watu wenye akili wannaikimbia siasa na kuwaacha wapumbavu kuwatawala wapumbavu wenzao na werevu pia!!
 
Niliwahi kuandika huko nyuma Lowassa kenda kuwasuta na pia nikaandika akiisha watengenezea watamuanzia visa wamtupe nje. Mzee kastuka mapema kasepa.

Chadema siasa hawaijui ni waropokaji tu . Utaanza kuwasikia waropokaji haswa Le
 

Attachments

  • Screenshot_2019-02-26-11-06-34.png
    Screenshot_2019-02-26-11-06-34.png
    176.2 KB · Views: 26
Fisadi mwingine huyo yeye na Sumaye yalikuwa makosa makubwa sana kuwakaribisha Chadema mafisadi hawa wawili. Hawana impact yoyote ile ndani ya Chadema.
Nilikuwa nikijiuliza Lowassa yuko Chadema ila kimuonekano kama yupo CCM yaani yupo kimya vyama vya upinzani visiludie tena kosa kama hili walitumia nguvu kubwa kumsafisha.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wakati tulipoasi Chadema ile dakika mlipomuasi Dr Slaa sababu ya huyu jamaa tulitukanwa sana. Naomba niseme kwa nia njema na ya dhati kabisa. Tuombane radhi maisha yasogee otherwise hatuisaidii Tanzania. Zile hatua za 2015 yalikuwa makosa ya karne, kubalini tujipange upya wakuu. Hakuna haja ya kushupaza shingo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dr Slaa atahama ccm? Kinyesi sasa kimekuja chumbani Haya huyo jiwe wenu ndio anapambana na mafisadi kwa style hii? Seriously?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom