Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema itabaki tupu asikudanganye mtu chadema itabaki nyeupe
Nakumbuka siku hii! Mamvi alitumia dakika 5 tu kuongea! Sijui alikuwa na nini huyu baba!
Hakuna cha kumukosea mungu, hili ni moja ya matukio muhimu kwa wanachama na wapenzi wa siasa za upinzani kwanza kuwatafakari viongozi wao waliowaweka madarakani na pili kujitafakari na wao wenyewe Kama je hivi vyama vina viongozi sahihi? Je vina wapenzi na wanachama sahihi? Kwa sababu ukitaka kutafuta mahali palipokosewa, utabaini kuwa viongozi walikaribisha lakini pia wanachama na wapenzi wakashangiria sana kwa huo ukaribisho.Nimestaajabu tu hapa mm ..sijui tumemkosea nn Mungu
Ndio shida ya kuhama au kuhamia chama kwa kwa kutizama mtu na sio imani katika misingi na itikadi. Dr Slaa atapata tabu sana katika hili....bila shaka na wengine wengi huku jamvini ambao ujio wa EL uliwafanya wa switch kwenda ccm....tusubiri waanze kula matapishi yao....both sides, of course!Sasa nadhani rafiki yangu nayemuheshimu Dr Slaa atarudi CHADEMA,maana asiyempenda kaja.
Kabisa naamin wamejifunza kitu sasa
[emoji101][emoji101]Kazi ameshamaliza!! Kuna mwingine bado yuko huko anakamilisha kazi...!!
Na amejua siri zao. Kiungwana wasimtukane wakae kimya wajenge chama chao.
Dr slaa ndo alikua hot kwa kipindi kile ni kama sasa ilivyo kua juu tundu lisu,,,,,Kwahiyo wewe una amini Lowassa alitoa hela kuingia CHADEMA?
Really?
Kiasi gani labda?