digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kiongozi,tumsifu yesu kristo,allah AkbarMkuu kila mtu ana theory yake!
Theory yako wewe haimaanishi ni ya kweli,na yangu haimaanishi yaweza kua kweli pia!
Huenda ikawa kweli au uongo,hapa tunaangalia kila mtu na opinion yake!
Wewe shika yako na mimi nishike yangu mkuu!
Haina noma,pamoja sana!
Wewe huna mpya. Tangu ulipoomba maandamano eti ya kudai Uhamiaji wampore ZZKabwe uraia nimekudharauKazi ameshamaliza!! Kuna mwingine bado yuko huko anakamilisha kazi...!!
HANA IMPACT ARUDI TU HANA ISSUE
Lowassa hakuwahi kuwa mpinzani, hela yake ndio ilimpa nafasi ya kugombea urais kupitia cdm.[/QUOT wewe ni mmoja ya memba wa JF ambaye hujawahi kabisa kumuamini Lowassa kama mwanamabadiliko. Heshima kwako kwa umakinifu.
Siku zote uzisoma comments zako kwa jicho la tatu.
Hat wewe si uliimba Lowasa fisadi! All in all, kama mtu mzima anaweza fanya mambo kama haya, basi hata huo uraisi ingelikuwa mashaka makubwa,ingawa na aliyepo sasa hivi naye ni majanga matupu! Ufisadi huo huo! wote mafisadi!Wimbo ulianza kwa chadema, hakuna kupinga. Kila pembe ilikuwa ni "Lowassa fisadi, Lowassa fisadi" alipokosa kuteuliwa kuwania urais wa tiketi CCM akajitoa CCM na kuhamia chadema, akapewa nafasi ya kugombea urais kwa tiketi ya chadema, ghafla chorus ya "Lowassa fisadi, Lowassa fisadi" ikawa inaimbwa na wana CCM.
Sasa karudi CCM nani ataiimba chorus hiyo?
Siasa ni mchezo mbaya sana.
Wewe ni mchambuzi nguli, nimekuheshimu sana. Jibu atatupatia Slow slow na Dr Slaa. Swali kubwa sana.Wakuu habari zenu
Moja kwa moja tuende kwenye mada
Kwanza rest in peace Ruge
Lakini pia huenda kuna MTU anajiandaa kuzikwa kwa heshima ya kitaifa maana bila hivyo hataipata
Leo Lowasa amerejea nyumbani binafsi kilichomleta chadema ni uraisi tu
Na kitu hicho ndicho kilichomkasirisha slaa akaamua kubwaga manyanga akaenda zake ccm na kupewa ubalozi
Kingine ni ufisadi ambao slaa anaamini lowasa ni mojawapo wa mafisadi papa nchini Tanzania
So akaondoka chadema kisa lowasa na kwenda ccm kwa sababu lowasa ni fisadi na hawezi kukaa chungu kimoja na fisadi wala hayuko tayari kumruhusu fisadi kugombea urais
Sasa lowasa amerejea ccm
Je daktari slaa atarudi chadema au yuko tayari kukaa na fisadi chungu kimoja hapo ccm?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole yako wewe uliyekuwa unalipwa buku7 hapo Lumumba kumtukana Lowasa , haya sasa amerudi huko sisiem endeleeni kumtukana , Lisu ni next level hata JIWE hamfikiiATM ya chadema imeondoka kwenda CCM Lisu hela ya chakula,mavazi ,kodi ya pango na ada ya wanawe atatoa wapi.Poleni chadema kwa kuondokewa na ATM
Acha woga, itakua ni faida zaidi kwa CDM kuondoka kwa huyo mamvi hata ile nguvu yake ya ushawishi ishakata moto...
Ndugu umenena ukweli wa mwisho na hakuna jibu lingine.Lowassa kaharibu sana siasaza tz, panse zote mbili haziwezi komalia ufisadi kama ajenda kuu .