Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Mkuu kila mtu ana theory yake!

Theory yako wewe haimaanishi ni ya kweli,na yangu haimaanishi yaweza kua kweli pia!

Huenda ikawa kweli au uongo,hapa tunaangalia kila mtu na opinion yake!

Wewe shika yako na mimi nishike yangu mkuu!

Haina noma,pamoja sana!
Sawa kiongozi,tumsifu yesu kristo,allah Akbar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na mambo mengine siasa ni ujasusi, information is power, ni vyema kujua next move ya mpinzani wako. Kwa kuwa CCM imekula chumvi ya muda mrefu upande huu wako makini sana.
Lowassa atamkabidhi mwenyekiti wa CCM ripoti nzito ya miaka mitatu yenye kurasa 5000 muda wowote kuanzia kesho, ripoti hiyo imeshikiria ubunge wa wabunge kibao wa Chadema. Ripoti za vikao vyote vya Chadema kuanzia siku ya kwanza Lowassa anatambulishwa Chadema ,mikutano yote ya Chadema hasa ukizingatia Lowasa ndio alikuwa analipia ukumbi basi Chadema waliongea yote wakijua ni mwenzao kumbe jasusi.
 
Kuna ccm makalai wanafurahia lowasa kuludi ccm kumbe hawajuwi kua chadema inajiandaaa kuchukua Inch natayari washamuandaa Mh Lisu kuamgombea sasabasi huu nimpango maalum wa chadema ambao kamatikuu imekaa na kumpeleka mzee Lowasa lengo ni kutibua mipango ya ccm katika uchaguzi mkuu. (Yajao Yanafuraisha)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lowassa hakuwahi kuwa mpinzani, hela yake ndio ilimpa nafasi ya kugombea urais kupitia cdm.[/QUOT wewe ni mmoja ya memba wa JF ambaye hujawahi kabisa kumuamini Lowassa kama mwanamabadiliko. Heshima kwako kwa umakinifu.
Siku zote uzisoma comments zako kwa jicho la tatu.
 
Wimbo ulianza kwa chadema, hakuna kupinga. Kila pembe ilikuwa ni "Lowassa fisadi, Lowassa fisadi" alipokosa kuteuliwa kuwania urais wa tiketi CCM akajitoa CCM na kuhamia chadema, akapewa nafasi ya kugombea urais kwa tiketi ya chadema, ghafla chorus ya "Lowassa fisadi, Lowassa fisadi" ikawa inaimbwa na wana CCM.

Sasa karudi CCM nani ataiimba chorus hiyo?

Siasa ni mchezo mbaya sana.
Hat wewe si uliimba Lowasa fisadi! All in all, kama mtu mzima anaweza fanya mambo kama haya, basi hata huo uraisi ingelikuwa mashaka makubwa,ingawa na aliyepo sasa hivi naye ni majanga matupu! Ufisadi huo huo! wote mafisadi!
 
Mpinzani pekee kwa Magufuli alikuwa Lowasa na sio Lissu wala Zitto wanaojibaraguza mitandaoni. Lowasa hayupo sana mitandaoni ila field yupo vizuri sana kuliko Lissu na Zitto.

2015, Lowasa alionyesha nguvu ya upinzani dhidi ya Ccm, mtanange ulikuwa mkubwa kweli na haikushabgaza yeye kupata kura nyingi ila wabunge na madiwani wachache kulinganisha na asilimia ya kura alizopata.

Lowasa kurudi Ccm ni pigo kubwa kwa upinzani haswa Chadema na neema kubwa kwa Ccm.

Kwa sasa upinzani una option chache mno, Lissu ambaye uwezo wa kuzunguka nchi nzima hatokuwa nao 2020 na hata akiwa nao bado watanzania hawajamuelewa.

Zitto, huyu ana umaarufu mkubwa sana mitandaoni ila field ukiondoa Kigoma mjini hana impact yoyote. Akisema asimame na Magufuli ni kipigo cha mbwa mwizi.

Mbowe?
Sumaye?

Ila kiuhalisia Lawama zote anastahili kuzibeba Mbowe kwa tamaa zake na kama ana busara lazima akampigie magoti Dr Slaa.

Njia ya Ikulu tayari imesafishwa na Lowasa Leo.
IMG-20190301-WA0030.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habari zenu

Moja kwa moja tuende kwenye mada

Kwanza rest in peace Ruge

Lakini pia huenda kuna MTU anajiandaa kuzikwa kwa heshima ya kitaifa maana bila hivyo hataipata

Leo Lowasa amerejea nyumbani binafsi kilichomleta chadema ni uraisi tu

Na kitu hicho ndicho kilichomkasirisha slaa akaamua kubwaga manyanga akaenda zake ccm na kupewa ubalozi

Kingine ni ufisadi ambao slaa anaamini lowasa ni mojawapo wa mafisadi papa nchini Tanzania

So akaondoka chadema kisa lowasa na kwenda ccm kwa sababu lowasa ni fisadi na hawezi kukaa chungu kimoja na fisadi wala hayuko tayari kumruhusu fisadi kugombea urais

Sasa lowasa amerejea ccm

Je daktari slaa atarudi chadema au yuko tayari kukaa na fisadi chungu kimoja hapo ccm?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mchambuzi nguli, nimekuheshimu sana. Jibu atatupatia Slow slow na Dr Slaa. Swali kubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ATM ya chadema imeondoka kwenda CCM Lisu hela ya chakula,mavazi ,kodi ya pango na ada ya wanawe atatoa wapi.Poleni chadema kwa kuondokewa na ATM
Pole yako wewe uliyekuwa unalipwa buku7 hapo Lumumba kumtukana Lowasa , haya sasa amerudi huko sisiem endeleeni kumtukana , Lisu ni next level hata JIWE hamfikii

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Niko msibani ila nimeona niwacheke tu..

Baadae 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Endeleeeni kuishabikia Chadema yenu 😀😀😀
 
Katika hili kuna funzo.. Na siri kubwa upinzani.. Sitaki kuamin kama intelligence ya chadema haikuliona hili au kulijua!!..

Kuna kitu kimejificha upinzani hasa CDM.. haiwezi kuwa kila siku ni hivi vituko vinatokea..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanazungumzwa mengi kuhusu kuhama kwa Lowassa na kurudi CCM. Mimi nimelitazama katika angle tofauti.
Hii Sasa sii Vita ya CCM na upinzani, la hasha! Mzee mzima kaelemewa huko ndani ya Nyumba Yake. Hali sii Hali, hususani kuwepo kwa harufu ya wenye Chama halisi dhidi ya huyu Mzee. Zipo taarifa za watu kujipanga ndani ya Chama ili kufanya yao 2020. Ni kwa muktadha huu Magufuli ameamua kuwarudisha katika timu the Kings makers EL na RA. Hii Ni kujiandaa na mashambulizi kutoka kwa Mzee Membe ambae ukimya wake katika mikakati kumewavuruga Gweregwere. Kwa Hali ilivyo, Magufuli Yuko tayari kuunga nguvu na yoyote Yule ilimradi pawepo na uwezekano wa yeye kushinda ndani ya Chama 2020.
Team Mangula (Mzee wa mafaili) na Wote mliojitoa ufahamu 2015, mliemchukia KARUDI. MEMBE KAA STANDBY. USIMSAHAU DOGO LAKO NAPE. KARMA lazima iwatembelee 2020!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom