Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
complected, duh.Mission complected
Posisi ndo nini?Mpinzani tishio kwa magufuli 2020 ni lissu na endapo uchaguzi utakuwa ni huru na wahaki, maana mnategemea posisi na tume kushinda
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga ndio kama huu, sio lazima uwe wa mwisho darasaniSasa Lowassa amerudi CCM, chama cha muajiri wako. Tunaomba tamko lako Mh. balozi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo akili hawezi kuwa nazo. Huyo ndio kioo cha/mfano wa siasa za kibongo na ambazo zinarithishwa kwa kizazi kipya cha uvccm. Tutahitaji miaka mingine 100 jamii hii (simaanishi nchi) kujikomboa kifikira.The best option was to retire with honour from politics instead of going back . shame
Kwa ukumbusho tu...Dr slaa naona Leo anacheka kweli asset au liability majibu yameonekana Leo .
Ni kweli kauawa na boss mmoja wa jiji la Dsm hakufa kwa mapenzi ya mungu cha ajabu waliomuua wanajidai kuwa na majonzi utadhani mungu hawaoniRuge huyu jamaa itakuwa ameuwawa na sumu kali sana sana kama polonium-210 tena itakuwa alikula, aliivuta au alikunywa huenda ilikuwa ni dozi ndogo aliyopewa na mtaalam wa hali ya juu. Mazingira yanaonyesha kabisa maana tangia mwaka jana alipoanza kujisikia vibaya akiwa kwenye hafla fulani.
Dalili za kupewa sumu ndo hizo kujisikia vibaya kuharisha, kutapika na baadhi ya organ za mwili kushindwa kufanya kazi vizuri na mwishowe kifo. Anyway hii inaonyesha serekale tuliyonayo ni ya aina gani.
Kwenye kumuaga Ruge kuna watu watalia sana kuliko wenye msiba ila ili ku shift attention wakaona wafanye wanamleta mzee Lowassa ila watambue CCM makada ipo siku watakuwa wakimbizi. Waanze kuandaa sehemu z kukimbilia maana sasa mambo yamekwiva
Sent using Jamii Forums mobile app