njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 13,144
- 6,942
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliisubiri hii Siku kwa hamu kuwaona kina maalim seifu na mbowe wakiumbuka. Lipumba roho ilimsuta aliona mbali. Hence proved prof ni prof tu
Kinondoni hakuwi kuwa na mbunge wa Chadema.. Acha kambaYaani mimi toka mbunge wa Kinondoni alivyojitoa Chadema pale niliichoka siasa, maana alinifanya 2015 niende kumpigia kura huku nina kachanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu nipishe na wewe Mtulia hakua anawakilisha UKAWA? Au ulitaka niseme CUF.? Nilimpigia kura sababu CHADEMA kilikua chama kimoja wapo kati ya vinavyounda UKAWA na mimi nilikua nakisupport CHADEMA
Kuna chama gani mbadala wa ccm?Yoyote anaye support CCM mie huwa nashangaa sana hivi hawaoni suffering of Tanzanian people?..very selfish people ...kuweka matumbo Yao mbele mxiewww
Tufanye mambo mazuri siyo siasa tena...😎😎vipi hivyo??
Hebu nipishe na wewe Mtulia hakua anawakilisha UKAWA? Au ulitaka niseme CUF.? Nilimpigia kura sababu CHADEMA kilikua chama kimoja wapo kati ya vinavyounda UKAWA na mimi nilikua nakisupport CHADEMA
Uwe unajiongeza.
JamiiForums mobile app
Nanukuu "oil chafu imemimininwa kwenye bulldozer"Mbona kila anayeandika humu anaona negative impact kwa ccm tu,vipi negative impact kwa CDM mbona haziandikwi au kusemwaswmwa sana
Kama vile kuna ukweli!Upinzani uliopo ndani ya CCM ni hatari kuliko ya ule unaojulikana na kupewa ruzuku.
Lissu akigombea 2020 itakuwa ndiyo mwisho wake kisiasa. Baada ya uchaguzi hatakuwa na cheo chochote cha kumfanya apatate jukwaa la kusemea. Bora apambanie kurudi bungeni, vinginevyo, atabaki kuwa raia wa kawaida kama mimi. Atakuwa kama Dr. Silaa japo Dr.Silaa yeye alizawadiwa ukatibu mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi binafsi sipendi unafiki, niseme kwa ukweli kuondoka kwa Lowasa CHADEMA kutaleta positive impact tofauti na fisiem sijui wataongea nini kwa wafuasi wao.Sawa,uko sahihi lakini inammana kweli hakuna impact ambayo ni negative kwa CDM??
Mbona kila anayeandika humu anaona negative impact kwa ccm tu,vipi negative impact kwa CDM mbona haziandikwi au kusemwaswmwa sana