Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

Hivi Makongoro Nyerere ana hali gani huko CCM mzee wa Matusi!
 
Wakati Dr. Slaa anaondoka chadema alisema kuwa muda utatoa jibu iwapo ujio wa lowassa chadema ni liability ama asset , yaani utaleta faida au hasara?

Sasa kwa kuwa lowassa amesha rejea alikotoka, yaani ccm, je LOWASSA ALIKUWA ASSET AMA LIABILITY HUKP
 
Kwa mtazamo wangu, wamaasai ni watu wenye msimamo sana. Sasa kwa alichokifanya huyu mzee mie natabiri mambo makubwa sana tena mabaya mno yanakuja huko mbele. Natabiri unyerere unarudi kwa speed ya ajabu na usalama kidogo ukiwa NYINYIEM tu. Leo nimeshuhudia kwa macho yangu watu wanahangaika katikati ya Saadalame kutafuta sehemu ya kuuza dollar zao
 
Huyo ni mwanasheria nguli hivyo usimfananishe na wasio na professions
Lissu akigombea 2020 itakuwa ndiyo mwisho wake kisiasa. Baada ya uchaguzi hatakuwa na cheo chochote cha kumfanya apatate jukwaa la kusemea. Bora apambanie kurudi bungeni, vinginevyo, atabaki kuwa raia wa kawaida kama mimi. Atakuwa kama Dr. Silaa japo Dr.Silaa yeye alizawadiwa ukatibu mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom