Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,200
- 12,762
Alipambana sana kwenye ujenzi wa shule za kata.wivu wa viongozi wenye hulka za kimaskini walikatisha ndoto ya huyu mwamba.Kama taifa lingetambua nafasi ya huyu mwamba basi msiba huu ungekuwa msiba wa taifa. Wote waliopita shule za kata ombolezeni msiba wa mwamba huyu.
Mungu amsamehe mapungufu yake na amapokee kwake
Walaniwe waloshiriki kukutesa na kukunyima haki yako 2014/2015
Hiyo namba 3 lini tena?Nikiambiwa nitaje Wanasiasa BORA wa muda wote yaani pure Politicians hapa Tanzania nitawataja hawa:-
1) J.K Nyerere (R.I.P)
2) E. M. Sokoine (R.I.P)
3) Salim Ahmed Salim
4) E. N. Lowassa (R.I.P)
Amefia wapiAliyewahi kugombea nafasi ya Urais kupitia CHADEMA, Edward Ngoyai Lowassa amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu
Siwezi leta habari ya uongo hasa ya kifo, taarifa imetangazwa na Dkt.Philipo Mpango makamu wa Rais wa JMT.Haya sasa, umepata wapi hizi habari! Nisije kuweka RIP watu wakanishangaa, ngoja kwanza nisikilize kwa makini.
Nakumbuka sana Lowasa jinsi avyochangamsha ule uchaguzi Mkuu wa 2015.R.i.P Classmate....[emoji25]
Hapa ndipo tutauona unafiq grade one wa wanasisasa kwenye msiba wako..[emoji26]
Aliwasaliti wakamsalitiTangu augue, chadema hawajawahi kwenda kumsalimia
Kumbe kuna wakati pesa hazina msaada wowote kwa Mwanadamu......
Hivi kweli Lowassa ni wa kufia Muhimbili????
Nakumbuka aliwahi kusema "sitakufa kabla sijawa Rais wa Tanzania" mwisho wa kunukuu!
Watu Wameichoka Sana CCM Ndiyo Maana Alipopiga U Turn Akaonekana KutoshaSijui alituroga na uchawi gani watz mpaka wakamwamini
Alikatwa na sababu zilikuwepo na hasa matumizi makubwa ya pesa.Walikata jina lake CCM bila sababu akaenda upinzani akashinda akanyimwa haki ya kuongoza