Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,200
- 12,762
Alipambana sana kwenye ujenzi wa shule za kata.wivu wa viongozi wenye hulka za kimaskini walikatisha ndoto ya huyu mwamba.Kama taifa lingetambua nafasi ya huyu mwamba basi msiba huu ungekuwa msiba wa taifa. Wote waliopita shule za kata ombolezeni msiba wa mwamba huyu.
Mungu amsamehe mapungufu yake na amapokee kwake