TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

Kama taifa lingetambua nafasi ya huyu mwamba basi msiba huu ungekuwa msiba wa taifa. Wote waliopita shule za kata ombolezeni msiba wa mwamba huyu.
Mungu amsamehe mapungufu yake na amapokee kwake
Alipambana sana kwenye ujenzi wa shule za kata.wivu wa viongozi wenye hulka za kimaskini walikatisha ndoto ya huyu mwamba.
 
Nikiambiwa nitaje Wanasiasa BORA wa muda wote yaani pure Politicians hapa Tanzania nitawataja hawa:-

1) J.K Nyerere (R.I.P)

2) E. M. Sokoine (R.I.P)

3) Salim Ahmed Salim

4) E. N. Lowassa (R.I.P)
Hiyo namba 3 lini tena?
 
namtafuta Brian Lowasa kama yupo humu jeife. mtoto wa mdogo wake Lowasa. Brian uko wapi rafiki?

r.i.p mzee wetu we meru people and masai ni kitu kimoja.
 
R.i.P Classmate....[emoji25]
Hapa ndipo tutauona unafiq grade one wa wanasisasa kwenye msiba wako..[emoji26]
Nakumbuka sana Lowasa jinsi avyochangamsha ule uchaguzi Mkuu wa 2015.
Nakumbuka zile pushap za JPM majukwaani.

Pengine tungekuwa na tume huru kipindi Kile, huyu ndiye angekuwa Rais wetu halali, na Leo pengine ingekuwa tunatangaziwa kifo Cha Rais anaetarajia kumaliza awamu yake ya pili ya urais.

Rest in peace Edward Lowasa.
 
Kumbe kuna wakati pesa hazina msaada wowote kwa Mwanadamu......

Hivi kweli Lowassa ni wa kufia Muhimbili????

Nakumbuka aliwahi kusema "sitakufa kabla sijawa Rais wa Tanzania" mwisho wa kunukuu!

Sasa we huamini kwamba alishida urais au.
 
Back
Top Bottom